BREAKING: AJALI NYINGINE DUMILA MOROGORO YAACHA MASWALI
Ikiwa bado watanzania tukiomboleza kutokana ajali ya jana mkoani A rusha iliyoondoka na wanafunzi 32, na kuacha majonzi kwetu na TAIFA ZIMA. Habari za hivi punde toka Morogoro Dumila Eneo la Kutoka mvomelo ukipita matuta ya mwanzo kabla hujafika Makunganya kuna Gari ya abiria aina ya Eicher imegongwa na lori na inariportiwa kuwa hali mbaya sana.. Bado hakuna ripot ya kifo wala majeruhi @afande Anna Job kajulishwa Tumwombe Mungu atupiganie Tarifa kamili baada ya muda mfupi ujao.. Tayari AKISI TV iko njiani kuelekea eneo la tukio kukupa habari zaidi. Pia Tunarajia kupata taarifa kamili kutoka jeshi la polisi.