Posts

Showing posts from November 22, 2013

LDCs RECORDED AN IMPRESSIVE PERFORMANCE IN GDP – REPORT

Image
United Nations Resident Coordinator in Tanzania, Dr. Alberic Kacou speaks to invited dignitaries during the official launching of the Least Developed Countries Report 2013 today at the ILO conference room in Dar es Salaam. .2013 LDCs report launches today in Dar . Demographic growth still a huge challenge to LDCs countries including Tanzania By Damas Makangale, MOblog The Least Developed Countries Report 2013 has indicated that despite the slow global recovery, real Gross Domestic Product (GDP) growth in the LDCs has picked up from 4.5 per cent in 2011 to 5.3 percent in 2012. (P.T) The LDCs report that was prepared by United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD) which was launched today said that the demographic change affects the environmental and socio-economic development of all countries, but especially the most vulnerable of the LDCs. The report said that although the proportion of people in those countries who live on less than USD 1.25 per day

PAPA FRANCIS AMKUMBATIA MTU AISYE NA USO ILI KUMPA FARAJA

Image
Two weeks after the Pope moved the world when he embraced victim of terrible disease, his compassion brings a moment of joy to another disfigured man Pope Francis paused during his weekly audience to greet disfigured man Stopped to speak and hug the man who lacked facial features His actions have touched many across the world and revitalised the Catholic church But for Pope Francis, comforting this stricken man after today's weekly audience in St Peter's Square was another simple act of compassion. In scenes strikingly similar to his encounter with the disfigured Vinicio Riva two weeks before, the pontiff first spoke with the worshipper and then put his arms around him, blessing him. The man's identity is not known, nor are the details of what caused such terrible damage to his face.    Saint Francis: Pope Francis I took the time after his weekly Papal audience in St. Peter's Square to bless a severely disfigured

HUKUMU YA BABU SEYA VILIO VYATAWALA MAHAKAMANI

Image
Babu Seya (katikati) na mwanae Papii Kocha wakati wakiingia mahakamani  wakiwa na nyuso za huzuni. ...Mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha'. ...Ndugu na jamaa wakiangua kilio baada ya hukumu. .Mwana muziki wa bendi ya Mapacha watatu Jose Mara naye alikuwa miongoni mwa waliohudhuria mahakamani mapema leo. ...Akiwa katika huzuni na majonzi makubwa. Wakili wa Marando, Bwana Mnyele ambaye alikuwa akiwatetea Babu Seya na mwanae akiongea na wana habari mara baada ya rufaa kutupwa.  mwana muziki wa bongo flava Dully Sykes(kulia) akiwa mahakamani na jamaa wengine. MSOTO WA BABU SEYA, PAPII KOCHA! Ile hukumu ya rufaa ya mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha' imewarejesha tena jela maisha baada ya hoja za serikali za kukazia hukumu kuzidi zile za upande wa utetezi. Babu Seya na Papii Kocha walihukumiwa kifungo cha maish

ANGALIA PICHA P-SQUARE WALIVYOTUA UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU NYERERE

Image
P Wale wakuitwa mapacha wawili P-SQUARE usiku huu wameshatinga ndani ya jiji la Dar es Salaam kwa kishindo #hadiRAHA sasa hiyo kesho Jumamosi pale viwanja vya  Leaders Club ndio patachimbika. Wasanii kutoka bongo watakaosindikiza show hii ni pamoja na Prof Jay, Lady Jay Dee, Joh Makini na Ben Pol.

AJABU NA KWELI YAMETOKEA : MWANAMKE ALALA NA MAITI YA MUME WAKE KWA MWAKA MMOJA KATIKA KITANDA KIMOJA

Image
 Mwanamke huyu kweli jasili sana alikuwa analala pembeni ya maiti ya mume wake kama inavyo onekana Inakuwa ni jambo gumu sana kuliamini hasa kabla haujatazama ni nini kilicho tokeawakati huo  2012, ambapo mwanamke mmoja aliamua kulala na maiti ya mume wake katika kitanda kimoja kwa kipindi kinacho dhaniwa kuwa kilikuwa ni mwaka mmoja.  mwanaume huyo marehemu  Marcel H, 79 alifariki mwezi wa kumi na moja mwaka jana katika nyumba za kupanga za Brussels ambapo kifochake kilisababishwa na ugonjwa wa Asthma, na mke wake mpenzi aliyekuwa na miaka 69 ambaye jina lake halikutajwa aliamua aendelee kukaa nae kwa kipindi chote hicho bila hata kujali harufu mbaya ambayo ilikuwa ikuitoka. hata hivyo majirani hawakuweza kutambua swala hilo kwamba yule mama alikuwa akilala na maiti ndani ya nyumba hiyo hadi ilipokuja kugundulika kwa sababu mwenye nyumba alikuwa akidai kodi yake ya mwaka , baada ya kuingia ndani ya nyumba ndipo alipo gundua hayo... sasa hivi ndivyo il

Hatimaye video ya Diamond yaanza kurushwa kwenye channel za kimataifa

Image
Lilikuwa swali kwamba inakuaje video iliyotumia ya gharama kubwa zaidi ya msanii wa bongoflava haipati airtime kwenye vituo vya kimataifa wakati video nyingine za wasanii wa muziki huu huu wanafanikiwa kupata airtime. Jibu la swali hilo hatimaye limepatikana baada ya video ya My number one kuanza kuchezwa kwenye vituo maarufu duniani. Diamond kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii aliwajulisha mashabiki wake kwamba wanaweza pia kuiona video ya My number one kwenye channel ya Trace na Sound City. Kupitia Trace video hiyo imetambulishwa kama video mpya na kwenye Sound city imerushwa kwenye trending video request na hizi ni picha kutoka kwenye screen wakati video hiyo ikipata airtime kwa mara ya kwanza kwenye vituo hivi.

Kova amtaja anayeshikilia laptop ya Mvungi

Image
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Sulaiman Kova Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Sulaiman Kova, amemtaja mkazi mmoja wa Jiji la Dar es Salaam kwamba ndiye anayeishikilia komputa mpakato (laptop) ya marehemu Dk. Sengondo Mvungi.   Mtu huyo (jina tunalihifadhi), mkazi wa  Vingunguti, anadaiwa kuwa ndiye anahodhi ya marehemu aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.   Kova alisema jana kuwa jeshi hilo limechukua hatua hizo baada ya kufanya uchunguzi wa kina katika upelelezi imegundulika kwamba kompyuta ya marehemu inamilikiwa isivyo halali na mtuhumiwa huyo.  Alisema mtu huyo ameingia katika sifa ya watu wanaotafutwa bila kificho wanted person(S) (Sheria hii pia inatumika Kimataifa na kuwa picha ya mtuhumiwa huyo itaonyeshwa katika vyombo vya habari ili mtu yeyote atakayemwona na kumtambua ajulishe Jeshi la Polisi kwa madhumini ya kumkamata n

HIZI HAPA KAULI WALIZOZITOA PAPII KOCHA NA BABU SEYA BAADA YA RUFAA YAO KUTUPILIWA MBALI

Image
Kwa upande wake, Babu Seya wakati akipelekwa na askari kwenye gari la Magereza alitoa kauli ambayo hakuipa ufafanuzi wowote baada ya kuisema kwamba ‘kwa binadamu ni makosa lakini kwa Mungu hakuna makosa’ Papii Kocha nae wakati anapelekwa kupanda gari arudishwe Magereza alisema ‘ sasa tunamuachia tu Rais ndie anaweza kutoa uamuzi wa mwisho’ Babu Seya na wanawe watatu walihukumiwa adhabu ya maisha gerezani na Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu June 25 2004 baada ya kupatikana na hatia ya kuwabaka na kuwalawiti watoto kumi wa kike wenye umri chini ya miaka 10