Posts

Showing posts from May 2, 2015

How to Survive After Breakup

Image
Breaking up is always tough, no matter the situation. One day you and your soul-mate are dreaming about your summer vacations and then the next thing you know that you won’t see each other again. Everything you have known and counted on and your whole world has suddenly vanished. There are no plans, hopes and dreams left. It feels as if a part of you is utterly lost. Instead of your Prince Charming there is only your broken heart and a gaping huge hole left in your life. You feel like you’ve been shattered to bits and you won’t find enough strength to survive. Bet it was one more trial that you have to endure, an experience that will make you wiser and stronger. Feeling depressed vulnerable and lonely you’ll want things to go back to what they were and you’ll try to do whatever it takes to get your ex back. If he is worth it – go for it. But if you know that something better awaits, try to follow these tips and get through your breakup like a queen. As they say “A brea...

MAN PACYAO AKIJIANDAA KWA AJILI YA PAMBANO LA LEO.

Image

phars.blogspot.com: BREAKING NEWZZ......MSANII ALI KIBA AVAMIWA NA NA ...

phars.blogspot.com: BREAKING NEWZZ......MSANII ALI KIBA AVAMIWA NA NA ... : Hivi punde tumepokea habari ya kusikitisha na kushtusha, msanii wa Bongo Fleva @officialalikiba usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kw...

phars.blogspot.com: HUYU NDO MSANII ALIYEWASHANGAZA WENGI KWA VAZI LAK...

phars.blogspot.com: HUYU NDO MSANII ALIYEWASHANGAZA WENGI KWA VAZI LAK... : We all know when actress Faiza Ally decides something it must be .....and this is what she wore to Zari's All White Party at Mlim...

phars.blogspot.com: DIAMOND, SHETTA, NAY, KHADIJA KOPA WALIVYOACHA HIS...

phars.blogspot.com: DIAMOND, SHETTA, NAY, KHADIJA KOPA WALIVYOACHA HIS... : Diamond akiwachengua mashabiki kwa wimbo wake wa Nasema Nawe aliomshirikisha Malkia wa Taarab, Khadija Kopa. Malkia wa Taarab nchini, ...

phars.blogspot.com: HAKIKA HUYU JAMAA NDIYE ALIKUWA GUMZO JANA KILA MT...

phars.blogspot.com: HAKIKA HUYU JAMAA NDIYE ALIKUWA GUMZO JANA KILA MT...

phars.blogspot.com: HAKIKA HUYU JAMAA NDIYE ALIKUWA GUMZO JANA KILA MT...

phars.blogspot.com: HAKIKA HUYU JAMAA NDIYE ALIKUWA GUMZO JANA KILA MT...

phars.blogspot.com: PICHA ZOTE za kilichojiri kwenye part ya Zari na D...

phars.blogspot.com: PICHA ZOTE za kilichojiri kwenye part ya Zari na D... : Diamond Platnumz akimbusu mpenzi wake Zari katika usiku wa Zari All White Party ndani ya Mlimani City usiku huu. Zari na Diamond katika ...

phars.blogspot.com: Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali ...

phars.blogspot.com: Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali ... : RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na...

Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi

Image
RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi. Kauli hiyo aliitoa  jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake. Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo "Mimi msafiri bado niko njiani sijui lini nitafika... naulizia watu kule ninakokwenda....”   na kukonga nyoyo za mashabiki wa muziki wa dansi waliomshangilia ambapo alijiamba kuwa na sauti ya mauzo. “Mmesikia sauti yangu si mbaya sana,  hakika nisingekuwa Rais wa Nchi hii basi nigekuwa msanii wa bongo fleva kama akina Ali Kiba, Diamond na wasanii wengine wakali nikiuza album zangu kwani ningekuwa tishio  kwa kuimba...” alisema. Rais pia alimpongeza...

PICHA ZOTE za kilichojiri kwenye part ya Zari na Diamond Mlimani city jana

Image
Diamond Platnumz akimbusu mpenzi wake Zari katika usiku wa Zari All White Party ndani ya Mlimani City usiku huu. Zari na Diamond katika pozi ndani ya Mlimani City. Zari na Diamond wakati wakiingia ukumbini usiku huu. Wasanii wa Yamoto Band wakiwa wametulia tayari kwa shoo ya usiku wa leo. Mpiga Picha Mkuu wa Global Publishers, Richard Bukos (kati) akipozi na watangazaji Sauda Mwilima wa Star TV(kulia) na Khadija Shaibu 'Dida' wa Times FM. Wanausalama wakiwaondoa baadhi ya watu waliokosa tiketi. Baadhi ya mabango waliyokuwa nayo mashabiki wa Diamond.

HAKIKA HUYU JAMAA NDIYE ALIKUWA GUMZO JANA KILA MTU ALIMTIZAMA NAKUFURAHI

Image

DIAMOND, SHETTA, NAY, KHADIJA KOPA WALIVYOACHA HISTORIA ZARI ALL WHITE PARTY SHOW!

Image
Diamond akiwachengua mashabiki kwa wimbo wake wa Nasema Nawe aliomshirikisha Malkia wa Taarab, Khadija Kopa. Malkia wa Taarab nchini, Khadija Kopa akiimba sambamba na Diamond Wimbo wa Nasema Nawe. Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Shetta akiwarusha mashabiki waliofika katika Usiku wa Zari All White Party. Diamond na Nay wa Mitego wakiimba ngoma yao ya Muziki Gani. Mashabiki wakijiachia. Diamond Platnumz akizikonga nyoyo za mashabiki. Ray Kigosi na Mama Rolaa nao ndani. Diamond akicheza na mashabiki wake. Nyomi iliyohudhuria shoo hiyo.

HUYU NDO MSANII ALIYEWASHANGAZA WENGI KWA VAZI LAKE LA JUU TU BILA KUVAA NGUO YA CHINI

Image
We all know when actress Faiza Ally decides something it must be .....and this is what she wore to Zari's All White Party at Mlimani City this night. only shirt.

BREAKING NEWZZ......MSANII ALI KIBA AVAMIWA NA NA MAJAMBAZI NYUMBANI KWAKE KUNDUCHI

Image
Hivi punde tumepokea habari ya kusikitisha na kushtusha, msanii wa Bongo Fleva @officialalikiba usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam, alivamiwa na kundi la watu wapatao 20 wanaodhaniwa kuwa ni majambazi. Watu hao waliokuwa na silaha za aina tofauti yakiwemo mapanga, visu na silaha za moto walifanikiwa kuvunja kuingia ndani na kuwadhuru baadhi ya ndugu wa Alikiba na kuiba mali na kila kitu ambacho waliweza kubeba, walimpiga na kumtesa mlinzi wa nyumba hiyo wakimtaka awaonyeshe alipo Alikiba, hata hivyo hawakufanikiwa kumpata na wakaondoka muda mfupi kabla ya polisi hawajafika nyumbani kwa staa huyo baada ya kupigiwa simu na majirani. Ikiwa utakuwa na taarifa zozote zitakazosaidia kupatikana kwa majambazi hao, unaweza kutoa taarifa katika kituo cha polisi ulicho karibu nacho  

IDRIS WA BBA NA MCHUMBA WAKE NDANI YA ZARI WHITE PARTY MLIMANI CITY

Image

HIVI NDIVYO UKUMBINI ULIVYOLIPUKA MARA BAADA YA DIAMOND NA ZARI WALIVYO WASILI ...NA NYOMI YA KUFA MTU

Image