
MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUGONGWA NA TRENI Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma anayejulikana kwa jina la Boid Mwakitalima amefariki dunia baada kugongwa na treni....Mwanafunzi huyo alikuwa mwaka wa tatu. Taarifa zinaeleza kuwa, mwanafunzi huyo alikuwa anatembea pembezoni mwa reli huku akiwa ameweka "headphone" sikioni, hali iliyomfanya ashindwe kusikia ama kuhisi chochote juu ya muungurumo wa treni hilo mpaka lilipomsogelea karibu na kumsukuma pembeni ambapo aliangukia chuma na kuaga dunia pale pale... Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Dodoma Prof.Idrisa Kikula akiwasili Collage ya Informatics Mbele ni Mshauri ...