Posts

Showing posts from December 17, 2013

Picha ya basi moja lililoletwa kwa ajili ya majaribio ya barabara ya mabasi yaendayo kasi.

Image

ANGALIA PICHA MKE WA MTU AMWAGA RADHI UKUMBINI

Image
MENENGUAJI wa kundi la Mavampaya lenye maskani yake jijini Dar es salaama Bi.Queens Michael 'Mama Tentemente' ambaye ni mke wa mtu mwishoni mwa wiki iliyopita alimwaga radhi mwanzo mwisho ndani ya ukumbi wa DDC ulipo pande za Nunge Mke wa Mtu Queens Michael' Mama Tentemente' akiwajibika jukwaani                                        Akizidi kunengua Mzuka ulipommpanda aliamu kuparamia ukumbi wa ukumbi huo na kunengua ambapo baadae mtandio aliovaa ulimwagika na  kila kitu kuonekana 'live' bila chenga,kutokana na kuzingatia maadili nimeshindwa kuweka picha hiyo  Dj aliyekuwa akimporomoshea muziki mke huyo wa mtu,akiwa bize                  Picha yenyewe inaongea Kiongozi wa kundi hilo Omary Tego akistuika baada ya wanenguaji wake kufanya mambo ya ajabu,ya kuchezeana makalio mbele za watu ...

KUWA STAR NI UFUSKA ANGALIA PICHA ZA BAADHI YA WASHIRIKI WA EBSS 2013 KATIKA MOJA YA SHOW ZA AIBU SANA

Image
                                         NI POZI AMA TEGO ELIZABETH MWAKIJAMBILE AMBAYE PIA ALIINGIA TOP FIVE YA BSS 2013    MOROMORO MAUNO!  ANAKWAMBIA HAPA KAZI TU.                                       WE MAINA  NI MWENDO WA KIUNO MAUNO WA MSHIRIKI WA BSS 2013 MAINA TADEI usisahau kulike ukurasa wetu wa facebook kupata habari zaidi

YULE MGANGA ANAYESEMA ANAWASAIDIA WASANII KUWANA PESA, AFUNGUKA NA KUSEMA DIAMOND PLATNUMZ ATAPOTEZWA VIBAYA NA MSANII RICH MAVUKO

Image
  Dokta Kamdege mtaalamu wa Mitishamba na amekuwa kivutio kikubwa kwa mastaa waheshimiwa na wasanii mbalimbali Afrika mashariki na kati, huku akisaidia watu kupata pesa, kuolewa au kuoa kufanikiwa kwenye biashara nk. Na Mwandishi Wetu Mganga mashuhuri nchini na mwenye sifa kubwa Dk Kamdege amesema kuwa mwanamuziki Rich Mavoko atamfunika vibaya mwanamuziki Diamond  kimafanikia ya muziki ifikapo mwaka 2014. Akiongea na blog yetu kwa njia ya simu toka Shinyanga alisema" Mwaka 2014 utakuwa wa mafanikio kwa mwanamuziki Rich Mavoko na huenda akampoteza vibaya mwanamuziki Diamond" Alisema Kamdege ambae ni mtaalamu wa miti shamba. Aidha Dokta Kamdege ambae ni maarufu kwa kuwapatia umaarufu na pesa wanamuziki, wasanii wa bongo movie pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali huku akitumia miti shamba tu kumpatia mtu umaarufu pamoja na mafanikio sio kama madokta wengine wanavyofanya kuwatapeli. Hata hivyo Dokta Kamdege amekuwa kivutio kikubwa sana kw...

ANGALIA PICHA KILICHOMO KWENYE NYUMBA YA MAKUMBUSHO YA CRISTIANO RONALDO.

Image
Hivi karibuni mshambuliaji Cristiano Ronaldo aliizindua tovuti yake mpya lakini pia Ronaldo amefungua nyumba ya makumbusho inayoonshe matukio mbali mbali  Jumba hilo la makumbusho limepewa jina la ‘CR7 Museum’ na lipo kwao kwenye kisiwa cha Madeira

HIVI NDIVYO VANESA MDEE ALIVYOFANYA MAAJABU HUKO NIGERIA KATIKA SHOW YA RHYTHM UNPLUGGED

Image
Weekend iliyopita msanii wa Tanzania Vanessa Mdee a.k.a Vee Money alikuwa nchini Nigeria kwa ajili ya kuhudhuria na kutumbuiza katika show kubwa ya mara moja kwa mwaka, ambayo huwakutanisha wasanii wa A-list wa nchi hiyo katika jukwaa moja. Jukwaa la ‘Rhythm Unplugged’ Baada ya show hiyo Vanessa alipost picha Instagram akiwa na dancers wa Naija waliopanda naye jukwaani kumpa support na kuandika; “These ladies gave me LIFE tonight S/O to Nigeria’s CLIMAX dancers! What a stage, what an audience, what a show, what a slayin!!!! THANKYOU JESUS!!!!”. Victoria Kimani Naye msanii wa Kenya mwenye makazi nchini Nigeria Victoria Kimani, kupitia Instagram aliandika kuwa kati ya vitu alivyovipenda kwenye tamasha hilo ni pamoja na show ya Vee Money ambaye ameiwakilisha vizuri Afrika Mashariki. “My Favorite Part of the Show from Top Left: My Gals @ceodancers Killed it as usual! @2faceidibia1 THE YOUNG LEGEND … Wycleff Jean Shut it Down! And my girl @vanessamdee Ma...

TASWIRA ZA KIJIJI CHA QUNU ALIKOZIKWA MZEE NELSO MANDELA JUMAPILI DESEMBA 15, 201

Image
 Daraja la waendao kwa miguu likipita juu ya barabara mpya ya lami inayojengwa kuelekea kijijini Qunu. Siku ya mazishi barabara ya kuelekea Qunu ilifungwa na ni magari yaliyokuwa na kibali tu ndiyo yaliyoruhusiwa kupita Ulinzi ulikuwa mkali kila sehemu kijijini Qunu Wageni wakiwa katika geti kuu la nyumba ya Mzee Mandela hapo Qunu Nyumba ya Mzee Mandela Nyumbani kwa Madiba kijijini Qunu Hema maalumu zilikofanyika shuguli zote za mazishi. Kaburi lake liko nje ya hema upande wa kushoto Hali ilivyokuwa saa kumi na moja alfajiri siku ya Jumapili Nyumbani kwa Madiba kumejaa magari hata kabla ya jua kupanda angani Sehemu ya kijiji cha Qunu. Mahema mbele ya nyumba ni ya wanahabari wa kimataifa waliopiga kambi hapo Mandhari ya Qunu Mandhari ya Qunu Ni kijiji chenye mandhari nzuri. Wakati wa majira ya baridi barafu huanguka hapa Qunu Kila engo Qunu inapendeza Kijiji cha Qunu Bango linalotangaza kijiji cha Qunu kuwa ch...