Posts

Showing posts from September 4, 2015

5 food favorites for the bachelorette!

Image
1.Stir chicken with Cashew nuts and mushrooms. This meal is exceptionally delightful because it is a combination of 3 delicious things – cashew nuts, mushrooms and chicken. The portions are enough for one and if you don’t have a huge appetite then you can save some for breakfast as well. It’s also a great meal to have because if you finish all the chicken and nuts, you’re left with its soup, which is a great evening drink – enjoyable during those cold rainy nights. It also goes well with some whole meal brown bread and melted butter. You can order the meal here  https://www.hellofood.co.tz/restaurant/t9mo/the-alcove-restaurant Being a single woman, I often find myself in the nerve-wracking situation being in the market not knowing what I want. It’s a constant debate in my head. Now this has a double meaning; the first one gives the impression that I’m out there in this big world, spoilt by choices as to whom to date or not; while the other one refers to being ...

WATAALAMU WA MAMBO YA SIASA WANAKWAMBIA KUWA ETI SLAA NI SHUJAA WA TAIFA

Image
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dokta Wilbroad Slaa. HOTUBA ya kwanza tangu ‘atoweke’ kwenye anga za siasa ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dokta Wilbroad Slaa, aliyoitoa juzi Jumanne juu ya kujiweka pembeni, imepokelewa kwa hisia tofauti huku wengi wakimuita kuwa ni shujaa wa taifa kutokana na ujasiri wake, Ijumaa lina kila kitu. Katika mahojiano yaliyowahusisha wananchi na wachambuzi mbalimbali wa mambo ya kisiasa kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam mara baada ya kiongozi huyo kukutana na waandishi wa habari, waliliambia Ijumaa kuwa, Dokta Slaa ni mtu wa aina yake ambaye taifa halijapata kuwa naye tangu kuondoka kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai, Mhe. Freeman Mbowe.Ana msimamo Wengi walionesha kufurahishwa na misimamo ya kiongozi huyo tangu ajiingize kwenye masuala ya siasa, kwani siku zote amekuwa mstari wa mbele kuwatetea wanyonge, kuan...

MAMA SAMIA AWAHUTUBIA WANANCHI WA TEMEKE

Image
Mgomea Mwenza wa Uraus kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni aliofanya leo katika Kata ya Buza, jimbo la jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo) Wananchi wakimshangilia Mama samia kwenye mkutano huo.

RAIS KIKWETE AKUTANA NA SPIKA NA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA BURUNDI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Image
  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na spika wa Bunge la Burundi Mhe.Paschal Nyabenda(kushoto) na Naibu Spika wa Bunge la Burundi Mhe.Agathon Rwasa ikulu jijini Dar es Salam leo mchana.Spika huyo na ujumbe wake walimtembelea Rais Kikwete leo.   Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Burundi Mhe. Paschal Nyabenda, naibu Spika wa Bunge hilo Mhe. Agathon Rwasa pamoja wajumbe wengine ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na spika wa Bunge la Burundi Mhe.Paschal Nyabenda(kushoto) na Naibu Spika wa Bunge la Burundi Mhe.Agathon Rwasa muda mfupi baada kufanya mazungumzo ikulu jijini Dar es Salam leo. Picha na Freddy MAro