Posts

Showing posts from June 7, 2014

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA NISHATI KWA NCHI ZA AFRIKA

Image
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akiongea wakati wa mkutano wa Mawaziri wanaohusika na masuala ya Nishati ambapo aliwatangazia wajumbe hao kwamba Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Bara la Afrika kuhusu Nishati Endelevu katika muda utaopangwa na Umoja wa Mataifa . Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa siku tatu wa Nishati Endelevu kwa Wote ( SE4ALL) ulioandaliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Eng. Yahya Samamba Katibu wa Waziri na Eng. Styden Rwebangila Watanzania wengine ambao ni sehumu ya Ujumbe wa Tanzania. Kutoka kushoto ni Bi. Venosa Ngow ( TPDC) Eng. Leonard Masanja kutoka Wizara ya Nishati na Madini na Eng Jones fredrick Olutu kutoka Wakala wa Nishati Vijijini ( REA) Na Mwandishi Maalum, New York Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeelezea utayari wake wa kuwa mwenyeji wa mkutano wa Bara la Afrika kuhushu Nishati Endelevu kwa wote. Ahadi hiyo imetolewa siku ya Ijumaa, na Waziri wa Nishati na Madini , Profesa Sospeter M...

RAMBIRAMBI MSIBA WA KANALI MWANAKATWE

Image
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wake (wakati huo ikiitwa FAT), Kanali mstaa fu Ali Hassan Mwanakatwe kilichotokea leo asubuhi (Juni 7 mwaka huu) katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH) Lugalo jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa binti wa marehemu, Sophia, baba yake alianguka bafuni nyumbani kwake Mbezi Beach ambapo alikimbizwa katika Hospitali ya Lugalo ambapo ndipo umauti ulipomfika wakati madaktari wakimpatia matibabu. Kanali Mwanakatwe alichaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mpira wa Miguu Tanzania (FAT) katika uchaguzi uliofanyika mwaka 1993 mjini Kibaha mkoani Pwani. Baada ya kuondoka FAT, aligombea nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) na kufanikiwa kushinda katika uchaguzi uliofanyika mwaka 1997. Msiba huo ni mkubwa katika fani ya mpira wa miguu nchini na Afrika kwa ujumla kwani, Kanali Mwanakatwen enzi za uhai wake alitoa mchango mkubwa akiwa...

ANGALIA PICHA ZINGINE ZA DIAMOND NA KINACHOENDELEA AFRIKA KUSINI KABLA YA UTOAJI TUNZO

Image
credit.BongoClan

ANGALIA PICHA ZINGINE ZA DIAMOND NA KINACHOENDELEA AFRIKA KUSINI KABLA YA UTOAJI TUNZO

Image
credit.BongoClan

ANGALIA PICHA ZINGINE ZA DIAMOND NA KINACHOENDELEA AFRIKA KUSINI KABLA YA UTOAJI TUNZO

Image
credit.BongoClan

ANGALIA PICHA ZINGINE ZA DIAMOND NA KINACHOENDELEA AFRIKA KUSINI KABLA YA UTOAJI TUNZO

Image
credit.BongoClan

ANGALIA PICHA ZINGINE ZA DIAMOND NA KINACHOENDELEA AFRIKA KUSINI KABLA YA UTOAJI TUNZO

Image
credit.BongoClan