AISHA MADINDA AMEUAWA, MWANAE ASIMULIA MAMBO MAZITO
Stori:waandishi wetu MENGINE yameibuka! Kifo cha aliyekuwa mnenguaji wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ kimeibua mengine ambapo baadhi ya watu wa karibu wanaamini kimetokana na kudungwa sindano tano za majimaji yenye madawa ya kulevya, ‘unga’ na rafiki yake, Ijumaa ‘Kubwa’ linakupa zaidi. Marehemu Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’enzi za uhai wake. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, Aisha alidungwa kwa makusudi sindano hizo na rafiki yake… Stori:waandishi wetu MENGINE yameibuka! Kifo cha aliyekuwa mnenguaji wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ kimeibua mengine ambapo baadhi ya watu wa karibu wanaamini kimetokana na kudungwa sindano tano za majimaji yenye madawa ya kulevya, ‘unga’ na rafiki yake, Ijumaa ‘Kubwa’ linakupa zaidi. Marehemu Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’enzi za uhai wake. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, Aisha alidungwa kwa makusudi ...