Posts

Showing posts from November 26, 2013

Yafahamu Maneno Yatakayompandisha Hisia Za Mapenzi Yule Umpendae

Image
Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha hisia"nyege" kabla ya kuanza kufanya mapenzi.  Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi!Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano " Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima hukoalipo "Jogoo" awike kidogo! nayeye hawezi kubaki kimy...

ATEMBEZWA MITAANI UCHI BAADA YA KUFUMANIWA

Image
Stori: Makongoro Oging’ WANASEMA za mwizi arobaini, ikiongezeka moja mshukuru Mungu! Novemba 16, mwaka huu ilikuwa siku ya aibu kwa bosi Hussein Shaban (35) kufuatia kudaiwa kufumaniwa katika nyumba ya kiongozi mmoja wa Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Tegeta jijini Dar es Salaam. Hussein Shaban akiwa amevuliwa nguo na kupewa kichapo baada ya fumanizi. Sakata hilo la aina yake lilitokea katika kitongoji cha Nyeishozi, Tegeta kwa kumuhusisha Hussein ambaye ni mfanyabiashara  na mke wa kigogo huyo ambaye jina lake tunalihifadhi kwa sasa. CHANZO CHA FUMANIZI, KUTOWEKA AMANI Akisimulia tukio zima mwanzo hadi mwisho, kiongozi huyo ambaye hakupenda jina lake liandikwe gazetini, alisema miezi miwili iliyopita alianza kuhisi ndani ya ndoa yake kuna jambo lanaloendelea kwa siri baada ya nyumba yake kupoteza amani, mke alibadilika tabia ghafla. Bwana Hussein akitembezwa mitaani. “Siku moja nilikuwa natafuta nyaraka za kazini ambazo nilikuwa nimeziweka kweny...

Pinda afungua Mkutano wa viongozi wa Serikali za Mitaa na Wafanyabiashara wa Tanzania na China

Image
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiimba Wimbo wa Taifa na baadhi ya viongozi wengine kabla ya ufunguzi wa  mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa  Mwalimu  Julius .K. Nyerere jijini Dar es Salaam. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa hotuba ya kufungua  mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa  Mwalimu  Julius .K. Nyerere jijini Dares Salaam. Balozi wa China nchini,  Lu Youqing akitoa hotuba ya kufungua  mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa  Mwalimu  Julius .K. Nyerere jijini Dares Salaam. Baadhi ya wajumbe wakiwa  katika mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China  katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa Mwalimu  Ju...

Mkesha wa Kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Sharo Milionea afariki dunia ulivyokuwa ...

Image
Ilikua ni mwezi november tarehe 26 mwaka 2012 majira ya sa 2 usiku ndipo ziliposambaa taarifa za kifo cha muigizaji na msanii wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo Fleva’ Husein Ramadhan Mkieti ‘SHARO MILIONEA’. Leo tarehe 26 november 2013 familia inafanya kisomo kwa ajili ya kumkumbuku ya Sharo milionea huku nyumbani kwao Lusanga-Muheza,Tanga. Wanafunzi wa madrasa wakiimba kaswida kwenye mkesha huu wa kumuombea marehemu Sharo Milionea Jana tarehe 25 november kulikua na mkesha maalum,Mkesha huu umeambatana na kaswida mbalimbali zinazoimbwa na wanafunzi wa madrasa,Miongoni mwa watu waliohudhuria kisomo hiki ni pamoja na Kitale ambae alikua rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea. Mama mzazi wa sharo milionea katikati ya kitale na rafiki wa kitale millardayo.com imepiga exclusive interview na mama mzazi wa Sharo Milionea pamoja Kitale juu ya kazi zilizoachwa na marehemu Sharo Milionea ikiwemo mikataba mbali mbali na makampuni kama ya Airtel,Azam...

MCHUMBA ALIYEUA NA KUJIUA ILALA, CHANZO PICHA ZA UTUPU

Image
MAPENZI ni sanaa tata sana, inawaumiza wengi, inavunja mioyo ya watu, inakatisha tamaa ya maisha, inaleta umaskini, inasababisha mauaji lakini siyo rahisi kuachana nayo na kwa mantiki hiyo, matukio mengi yataendelea kujiri Christina Newa. Tukio la Gabriel Munisi kuua watu wawili kisha naye kujiua kwa kisa cha mapenzi, ni mwendelezo wa ‘sinema machafuko’ za mapenzi. Nyuma ya tukio hilo kuna mengi yanazungumzwa, ila gazeti hili limenasa habari kuwa picha za utupu na SMS za mapenzi ni chanzo cha kila kitu. Alpha Alfred Newa enzi za uhai wake. NINI HASA CHANZO? Gazeti hili limebaini kuwa tukio hilo la mauaji, lililochukua nafasi alfajiri ya Jumanne iliyopita, chanzo chake ni Gabriel ‘Gaby’, kunasa picha zinazomuonesha mchumba wake, Christina Newa akiwa na mwanaume mwingine. Habari zinaeleza kuwa Gaby alichukua kompyuta mpakato (laptop) ya Christina na kuikagua, ndipo akakuta picha ambazo mchumba wake huyo alikuwa katika hali ya kustarehe na mwanaume mwingine. “Kwanz...