Posts

Showing posts from March 18, 2014

TANGAZO LA KAZI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA

Image
  Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya va 112(1) va Katiba va Jamhuri va Muungano wa Tanzania va mwaka 1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheri a va Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume va Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo ju¬kumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama. Hivyo, Tume va Utumishi wa Mahakama inawatangazia Wa-tanzania wenve sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi va kazi na ambao wako tavari kutanva kazi katika Ofisi za Mahakama va Tanzania ambazo ziko katika Mikoa na Wilava mbalimbali kuleta maombi vao va kazi. Nafasi hizo na sehemu zilipo ni kama ifuatavyo:-

LAANA!! TAZAMA VIDEO NA PICHA YA HUYU DADA ALIYEAMUA KUTAFUTA WANAUME KWA KUWEKA VIDEO

Image
 Watu wanaposema dunia inaelekea mwisho mie sikatai, dada zetu sijui wamekuwaje. Wako radhi kujidhalilisha ili tu waingize siku, huyu hapa aamua kuweka video akiwa anafanya upuuzi mtandaoni ili kuwavuta wanaume. Ni hatari.  KAMA UNA MIAKA 18 +++ UNARUHUSIWA KUTAZAMA HII VIDEO ************** BOFYA HAPA KUTAZAMA ********ONYO: NI HATARI KWA AFYA YAKO PICHA ZAIDI ZIKO HAPA===>>> BOFYA KUTAZAMA PICHA

HATIMAYE LE WAKAREEZZZZZ WAZIDI KUZIMA MAKELELE YA MILANGO LEO MWAKA-INSTAGRAM ILIKUWA NI BALAHAAAAAA ONA HAPA MWENYE WALICHOTUPIA LIVE!!

Image

ANGALIA HOTUBA YA JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA ALIOWASILISHA RASIMU YA PILI YA KATIKA BUNGENI LEO

Image
BOFYA HAPA KUANGALIA HOTUBA HIYO

MIAKA 10 YA... MATESO KITANDANI

Image
HUJAFA hujaumbika. Hicho ndicho unachoweza kusema ukimuona na baadaye kumsikiliza Disnia Rajabu,32, mkazi wa mtaa wa Geza Ulole mkoani Tanga ambaye anaumwa uvimbe wa mguu kwa muda wa miaka 10 sasa bila kupata nafuu. Disnia hakuzaliwa na tatizo hilo, bali alilipata ukubwani, tena akiwa tayari ameshaolewa, lakini katika hali ya masikitiko makubwa, anadai mumewe alimkimbia mara baada ya kugundua kuwa yupo katika majaribu makubwa kabisa katika maisha yake. Na kutokana na kukimbiwa na mumewe, mwanamke huyo sasa anaishi na wazazi wake, ambao nao wana uwezo mdogo kiuchumi, hivyo licha ya kutopata matibabu ya uhakika, pia maisha yake yeye na watoto wake watatu ni ya kubahatisha, kwani mara kadhaa hukosa kula. “Ni bora nisingezaliwa kwa mateso niliyonayo, sina raha kabisa duniani kwani nina miaka kumi nipo kitandani, huwa nalia wanangu wanaponijia na kunililia kuwa wana njaa hawajui kuwa sina uwezo wa kuwatunza,” anasema mama huyo. Akisimulia kuhusu mume wake, anadai wali...

Mke wa Mbunge wa Chadema achafua hali ya Hewa huko Instagram, Soma hali ilivyo

Image
Nimekutana na hii Hapa Embu jisomee Mwenyewe..maana mweeeee

WOLPER: LAZIMA NIOLEWE NJE YA NCHI

Image
  STAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper ameibuka na kudai kuwa, atafanya kila njia ili aolewe na mwanaume wa nje ya nchi na siyo Wabongo ambao hawathamini mastaa. Akizungumza na Uwazi, Wolper alisema, amefikia uamuzi huo kwa sababu ana uchungu moyoni unaotokana na dhana waliyonayo wanaume wa Kitanzania juu yao, wakiamini kuwa ni wahuni tu hivyo kuwashusha thamani. “Unajua Mtanzania anamchukulia staa kama chombo cha starehe tu na hawezi kumuoa kamwe na hata akimuoa basi hatamthamini kama wanavyothaminiwa wasanii wa huko nje. “Kule bwana (hajataja nchi) mtu akimuoa staa, anampa kipaumbele. Anaweza hata kutumia fedha kuhakikisha anakuwa na staa na maisha ya mke wake yanakuwa yenye amani lakini hapa kwetu tunadharaulika sana ndiyo maana nimefikia uamuzi huu,” alisema Wolper na kuongeza: “Unajua Watanzania wanaamini staa kuandikwa magazetini ni uhuni lakini wanasahau kuwa maisha yake na magazeti ni kitu cha kawaida kwa sababu ya kujulikana. Mimi sina haja ya ...

BABU SEYA, PAPII KOCHA KICHEKO KIPYA

Image
MWANAMUZIKI mkongwe nchini, Nguza Viking ‘Babu Seya’ anayetumikia kifungo cha maisha jela na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ kwa kuwanajisi watoto tisa, wana furaha upya baada ya mwanga wa kuweza kurudi uraiani kuchomoza tena, wakili wao, Mabere Nyaucho Marando amezungumza na Uwazi. Wakili Mabere Nyaucho Marando. KASORO HUKUMU YA MWANZO Akizungumza juzi jijini Dar es Salaam, Marando alisema kwamba katika kesi ya Babu Seya na mwanaye iliyosikilizwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar aligundua kuna vielelezo muhimu ambavyo havikuambatanishwa hivyo kuwa vigumu kwake kuviingiza na kuvitetea katika ngazi ya mahakama ya rufaa iliyoshindilia adhabu dhidi ya wawili hao. Marando alisema mwanga mwingine wa kupitiwa upya wa mashitaka yao umekuja baada ya kuwepo kwa kesi mpya inayofanana na ya akina Babu Seya kwa asilimia mia moja. Alisema kesi hiyo ipo kwenye hatua ya mwisho ambapo ushindi wake utamfanya apate nguvu ya kurudi mahakamani kuwatetea wafungwa hao wal...

ANGALIA VIDEO JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA AKIWASILISHA RASIMU YA PILI YA KATIKA BUNGENI MOJA KWA MOJA MUDA HUU

Image
BOFYA HAPA KUANGALIA HOTUBA HIYO LIVE