Binti afumaniwa na mume wa mtu Wakivunja amri ya sita
Sukari hugeuka shubiri pale fumanizi linapochukua nafasi na hiyo ndiyo sababu ya mwanamke anayeitwa Sheila kukiri kwamba mume wa mtu ni sumu kisha kujiapiza kuwa hatarudia tena. Sheila, alifumwa na mume wa mtu anayeitwa Baba Joyce kwenye nyumba moja ya kulala wageni, iliyopo Manzesei. Domo lagu , lilinyetishiwa fumanizi hilo baada ya vurugu kuanza na lilipofika eneo la tukio, lilimkuta mwenye mume, Mama Joyce akimsulubu Sheila kwa makonde, mateke na vichwa. Shuhudia picha hapo chini Asante kwa kutembelea blog yetu, Unaswali ? Wasiliana nasi : shaddyclassic@gmail.com. Tafadhali acha maoni yako hapo chini. Asante na naimani umefurahi...