Posts

Showing posts from September 20, 2013

22 TONS OF FAKE BEEF SEIZED IN CHINA

Image
This week, police in Xi'an province reported that they had found and seized more than 22 tons of fake beef at a local factory. Get this: the "beef" was actually made from pork (which is considerably cheaper than beef) that had been treated with chemicals including paraffin wax and industrial salts to make it look like it came from a cow. Shanghiist reports that the factory sold more than 1,500 kilos (3,000 pounds) of the fake beef to local markets at around 25 to 33 yuan ($4 or $5) per kilo. Six workshops that were producing the fake beef have been discovered and shut down. This isn't the first instance of fake meat being sold in China. In May of this year,Medical Daily reported that 904 people were arrested in China for "meat-related offenses" over three months at the beginning of 2013. Included in these arrests was one gang of meat crooks who made o

FILAMU YA "HE HURTS ME" YAZINDULIWA KWA KISHINDO.

Image
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu, Bi. Joyce Fissoo akitoa hotuba kwa washiriki na baadhi ya wasanii waliohudhuria wakati wa uzinduzi wa Filamu ya "He hurts Me" iliyotengenezwa na Bi. Hilda Ngaja, filamu iliyozinduliwa katika Ukumbi wa Mbezi Garden jijini Dar es Salaam. Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu, Bi. Joyce Fissoo akionyesha juu filamu ya "He hurts Me" kuhashiria uzinduzi rasmi wa filamu hiyo uliofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Mbezi Garden jijini Dar es Salaam. Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu, Bi. Joyce Fissoo (kushoto) akiwa pamoja na mtengenezaji wa filamu hiyo Bi. Hilda Ngaja (kuli) wakifurahi kwa pamoja wakati wakiangalia kasha la filamu ya "He hurts Me" mara baada ya uzinduzi wa filamu hiyo. Mtengenezaji wa filamu ya "He hurts Me" Bi. Hilda Ngaja (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mme wake Mr. Mwambene (kulia) wakati wa uzinduzi wa filamu yake uliofanyika kati

JACKSON KISWAGA AWAKUMBUKA WAJAWAZITO NYUMBANI KWAKE ATOA MSAADA WA VITANDA

Image
Mkazi wa jimbo la Kalenga Bw Jackson Kiswaga kushoto akiwa na wafanyakazi wa Hospital teule ya wilaya ya Iringa -Ipamba Diwani wa viti maalum tarafa ya Kalenga Bi Shakra Kiwanga kulia na wafanyakazi wa Hospital Teule ya Iringa wakipokea msaada wa vitanda viwili vyenye thamani ya Tsh milioni 3 kutoka kwa Bw Jackson Kiswaga ambae ni mkuu wa kitengo cha M- Pesa na ukuzaji wa biashara ,msaada ambao ameutoa yeye binafsi kama mkazi wa jimbo la Kalenga Mkuu wa kitengo cha M-Pesa na ukuzaji wa biashara Voda Com Bw Jackson Kiswaga akimfariji Bi Stella Kalinga ambae amelazwa wodi la wajawazito katika Hospital teule ya wilaya ya Iringa jana alipofika kutoa msaada binafsi wa vitanda viwili kwa ajili ya kuongeza idadi ya vitanda kwa wajawazito hospitalini hapo MKAZI wa Kalenga wilaya ya Iringa mkoani hapa Bw Jackson Kiswaga ametoa msaada wa vitenda viwili vyenye thamani ya Tsh milioni 3.6 kwa Hospital teule ya wilaya ya Iringa Hospital ya Ipamba ili ku

Mnigeria ashinda shindano la urembo la kiisilamu

Image
Mwanadada wa Nigeria ndiye mshindi wa shindano la urembo kwa wasichana wa kiisilamu mjini Jakarta Indonesia. Obabiyi Aishah Ajibola, 21, alishinda shindano la kimataifa la wasichana wa kiisilamu kwa jina Muslimah mwaka 2013 siku ya Jumatano. Washindani 20 walishiriki mashindano hayo kuonyesha mitindo ya kiisilamu pamoja na maadili ya kiisilamu wakati wa mashindano hayo. Mashindano yalifanyika kabla ya shindano kubwa zaidi la mwanamke mrembo zaidi duniani, ambalo limeghadhabisha makundi ya watu wenye msimamo mkali nchini Indonesaia kwa kutaka kuandaliwa huko. Waliofuzu kwa fainali ya mashindano hayo, walichaguliwa kutoka miongoni mwa watu 500 waliochaguliwa kwa kutumia njia ya mtandao. Moja ya vikwazo vya kuruhusiwa kushirki kwenye mashindano ilikuwa kusimulia kisa chako na ambavyo ulianza kuvalia Hijab au mtandio, ambacho kilikuwa kikwazo kwa wote waliotaka kushiriki. Washiriki walitoka Bangla

Picha za Agness Masogange akiwa huru mtaani baada ya kutoka MAHABUSU

Image
Watanzania Agness Masogange na Melisa Edward waliokamatwa kwa kutuhumiwa kubeba dawa za kulevya huko Afrika Kusini wameachiwa kwa dhamana.    Mkuu wa Kitengo cha Dawa za Kulevya Afrika Kusini, Kamishna Toto Mangaleni aliithibitishia Mwananchi jana kuwa watuhumiwa hao wameachiwa kwa dhamana,lakini wataendelea kubaki Afrika Kusini wakati kesi yao ikiendelea. Mangaleni alisema wanawake hao ambao juzi pia walipanda kizimbani, walipata dhamana hiyo jana kutoka Mahakama Kuu ya Gauteng iliyoko eneo la Kempton Park jijini Johannesburg.   Hata hivyo, Kamishna Mangaleni alisema hawezi kuzungumzia zaidi kuhusu kesi hiyo kwa sababu hataki kuharibu uchunguzi ambao unaendelea dhidi ya Watanzania hao, ambao ni wasanii.   Marafiki wa karibu wa Masogange wanaoishi maeneo ya Midland Johannesburg ambao walikataa kunukuliwa majina yao, walithibitisha

Hakimu achomwa kisu mahakamani

Image
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo iliyopo eneo la Nguzo Nane, Kata ya Kambarage Mjini Shinyanga, Satto Nyangoha amejeruhiwa kwa kuchomwa kisu katika shavu lake la kushoto baada ya kutoa hukumu ya kesi ya wizi wa baiskeli. Kitendo hicho kinadaiwa kufanywa na mlalamikaji katika kesi hiyo, Emmanuel Izengo (28), mkazi wa Tambukareli, Shinyanga baada ya kutokuridhishwa na hukumu iliyotolewa bila ya mshtakiwa, Daniel Makelezia, mkazi wa Lubaga Shinyanga na mdhamini wake, Marko Nkelezia kuwepo mahakamani. Katika hukumu yake, Hakimu Nyangoha alisema mshtakiwa atakapopatikana atatumikia kifungo cha miaka miwili jela baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa baiskeli hiyo aina ya Neria yenye thamani ya Sh150,000. Awali, ilielezwa kwamba baada ya tukio hilo la wizi lililotokea Agosti Mosi, mwaka huu katika eneo la Nguzo Nane, mshtakiwa alikamatwa na kuwekwa mahabusu na kufunguliwa kesi namba