Posts

Showing posts from March 18, 2015

ACHOMWA MOTO NA WANANCHI BAADA YA KUMCHINJA MJOMBA WAKE HUKO MBEYA

Image
Tukio la mauaji limelotokea Mbeya, waliofariki ni mtoto mdogo mwenye umri wa miaka mitano ambaye ameuawa na mjomba wake, wananchi wenye hasira walimkamata mjomba huyo na kumuua pia.Watu hao waliokuja eneo hilo walimkuta mjomba huyo akiwa amemuua mtoto huyo, wakaamua kumpiga mtoto mjomba huyo ana yeye mpaka akafariki, baadaye wakamchoma na moto. Baba wa kijana huyo ambaye ni mjomba wa mtoto huyo amesema kijana huyo alikuwa na matatizo ya kifafa kwa muda mrefu. Baadae wananchi hao walianza kuvamia nyumba hiyo iliyokuwa ikijengwa na kuanza kuivunja na kuiba vitu mbalimbali kwa kuhusisha ujenzi wa nyumba aliyouawa mtoto huyo na imani za kishirikina hadi Polisi walipofika na kupiga bomu la machozi kutawanya watu hao. Fundi aliyekuwa eneo la tukio amesema mtoto huyo alifika eneo hilo wakawa wanazungumza nae, ghafla akatokea mjomba wake akiwa na fimbo akaanza kumuuliza maswali akakimbilia ndani kutafuta mlango wa kutokea, akamkimbiza na kumkamata wakasikia kelele na...

KANISA LAHALALISHA NDOA ZA JINSIA MOJA KUFUNGWA KANISANI

Image
Kanisa la Presbyterian nchini Marekani ambalo lina takriban wanachama millioni 2 ,limebadilisha sheria yake ya ndoa na kuwajumuisha watu wa jinsia moja. Kanisa hilo ambalo linashirikisha idadi kubwa ya wanachama wake duniani lilitoa tangazo hilo baada ya idadi kubwa ya magavana wa majimbo yake 171 kuidhinisha mabadiliko hayo. Sheria yake mpya sasa itasoma kwamba ndoa ni makubaliano ya kipekee kati ya watu wawili ikilinganishwa na makubaliano kati ya mume na mke. Sheria hiyo ilioidhinishwa na baraza kuu la kanis Dismiss a hilo mwaka uliopita ilikubaliwa na zaidi ya nusu ya majimbo ya kanisa hilo. Wapenzi wa jinsia moja Mkutano wa makundi katika jimbo la New Jersy ulikuwa wa 86 kuidhinisha sheria hiyo. Uamuzi huo unatarajiwa kuzua mgawanyiko mkubwa kati ya wanachama wa kanisa hilo ambao wanapinga sheria hiyo. Mwaka uliopita baraza kuu la kanisa hilo lilitoa idhini kwa wachungaji wake kuwafungisha ndoa wapenzi wa jinsia moja katika majimbo ambayo ndoa hizo zinaruhusiwa.

JAMAA AFARIKI DUNIA AKIWA ANAIBA MAFUTA YA TRANSFORMER

Image
KENYA: Mr. Johnson Waweru , is the courageous man who instantly died while stealing transformer oil in Dandora Phase 1… The man was found dangling from a transformer pole… ” The man stepped on live wires then fell onto other live wires leading to his instant death,” said Buruburu OCPD Richard Kerich. ** Warning! Graphic Photos **