Posts

Showing posts from May 17, 2014

PICHA 8 ZA MSIBA WA AMINA NGALUMA USIKU HUU NYUMBANI KWAKE

Image
Muziki wa dansi Tanzania Mei 15 ulipata msiba ambao umekua ni pigo kwao na Tanzania kwa ujumla,ni msiba wa Amina Ngaluma ‘Japanese’ ambae amefanya kazi kwenye bendi tofauti tofauti hapa Tanzania ikiwemo African Revolution ‘Tam Tam’ pamoja na Double M Sound. Taratibu za mazishi kwa mujibu wa mume wa Marehemu Amina Ngaluma Mr Rashid Sumuni amesema wanasubiri mwili wa marehemu ufike na unategemewa kuingia wiki ijayo kutoka Thailand alipokua akifanyia kazi. Taratibu za mazishi Sumuni amesema kuwa mwili utazikwa maeneo ya huko huko Kitunda Machimbo,millardayo.com imefika hadi nyumbani kwa marehemu ulipo msiba huu ,hizi ni baadhi ya picha za nyumbani kwa marehemu. Nyumbani kwa Amina Ngaluma sehemu ulipo pia msiba huu. Baadhi ya waombolezaji   Baba mzazi wa Marehemu Amina Ngaluma ‘Japanese’   Mume wa Amina Ngaluma Mr.Rashid Sumuni.

BAADA YA KIMNYA CHA MDA MREFU ..IRENE UWOYA ATUPIA PICHA ZA UTATA MTANDAONI

Image
Gal on fire she is back again staa irene uwoya, she was quite for a while, lakini ujio wake mpya alokuja nao umekuwa wa kishindo n people were so suprised, kiukweli to staaz kuvaa taulo na kupiga picha akivaa taulo na kutupia kwenye mitandao ya kijamii ni jambo la kawaida sana, leo mtandao wa makubwa haya tumezinyaka picha hizi kwenye mitandao ya jamii, na funs wakawa wanacoment, kuna wengine walicoment kawaida wengine waliponda, but all in all kwa mastaa kama irene uwoya kuvaa taulo hauni kama ni ki2 cha ajabu coz everybody do so. Alisikika akimalizia kisema hvyo kwa funs wake.

HUYU NDO MCHUMBA WA HASHIM THABEET 'BEE ANDERSON' AKIWA NA MTOTO ALIEZAA NA HASHEEM THABEET HIVI JUZI

Image
     Hasheem Thabeet akiwa girlfriend wa Fox Sports Radio, Bee Anderson. Bee na Hasheem wamepata mtoto wakiume waliempa jina la Prince Thabeet.  Hapa juu ni picha za mtoto akiwa mikononi mwa mama yake Bee Anderson

AUNT EZEKIEL AFANYA KUFURU ILALA ATUNZA MILIONI MOJA NA USHEKHE KWENYE SHUGHULI YA SHOGA YAKE ZAWADI KIBIRITI

Image
Muigizaji wa filamu nchini,  Aunt Ezekiel akiwa ameshika noti kwa ajili ya kumtunza shoga yake Zawadi Kibiriti wakati wa shughuli iliyofanyika Ilala Dar es salaam leo Ezekiel alifunga mtaa kwa utunzaji wake ambapo ametunza shilingi milioni moja na zaidi wakati wa shughuli hiyo iliyoudhuliwa na wakazi wengi wa jiji la Dar es salaam ususani wakazi wa ilala na vitongoji vyake picha na   www.burudan.blogspot.com Muigizaji wa filamu nchini,  Aunt Ezekiel akimtunza kwa mbwembwe Zawadi Kibiriti  picha na  www.burudan.blogspot.com Muigizaji wa filamu nchini,  Aunt Ezekiel akimtunza kwa mbwembwe Zawadi Kibiriti  picha na www.burudan.blogspot.com Muigizaji wa filamu nchini,  Aunt Ezekiel akiwa ameshika noti kwa ajili ya kumtunza shoga yake Zawadi Kibiriti wakati wa shughuli iliyofanyika Ilala Dar es salaam leo Ezekiel alifunga mtaa kwa utunzaji wake ambapo ametunza shilingi milioni moja na zaidi wakati wa shughuli hiyo iliyoudhuliw...

ANGALIA PICHA ZA AJALI MBAYA ZILIZOTOKEA ASUBUHI YA LEO

Image
Toyota Coaster T 916 BQE  ikiwa imetumbukia mtaroni maeneo ya Sinza Mapambano. Ikionekana kwa nyuma ilipokuwa ikivutwa baada ya kutumbukia mtaloni maeneo ya Sinza Mapambano. Gari nyingine aina ya Toyota Coaster T 561 CJA  iliyoacha njia na kuingia mtaloni katika Barabara ya Mandela. Ikionekana kwa nyuma mara baada ya kutumbukia mtaloni kwenye Barabara ya Mandela. Gari ndogo aina ya Toyota Corolla iliyoharibiwa vibaya baada ya kugongwa na Coaster. Wasamaria wema wakisaidia kulitoa gari, Toyota Corolla barabarani. Gari moja lililokuwa likivutwa na ‘Breakdown’ mara baada ya kuharibika njiani. Haikufahamu gari hilo liliharibikia maeneo gani. Ajalli mbaya zimetokea asubuhi hii maeneo ya Sinza Mapambano na baada ya gari kubwa (coaster) kuigonga gar ndogo (teksi) na kuingia mtaoni. Hakukuwa na watu walioumia vibaya. Ajali nyingine imetokea katika Barabara ya Mandela ambapo coaster moja imeacha njia na kutumbukia mtaroni. Hakukuwa na abiria zaidi ya dereva ...

ANGALIA PICHA MWILI WA MSANII ADAMU KUAMBIANA UKITOLEWA HOSPITALI YA MAMA NGOMA, MWENGE DAR

Image
Mwili wa Marehemu  Adam Kuambiana ukitolewa nje ya Hospitali  ya   Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kupelekwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuhifadhiwa leo mchana huu. ...Mwili wa Marehemu  Adam Kuambiana ukiwekwa kwenye gari tayari kupelekwa Muhimbili kuhifadhiwa. Hospitali  ya   Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam alikofia Msanii Kuambiana. ...Msanii aliekuwa akicheza filamu moja na marehemu katika Hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar akilia kwa uchungu nje ya Hospitali ya Mama Ngoma leo mchana huu. ...Wasanii wakilia kwa uchungu nje ya Hospitali ya Mama Ngoma leo mchana huu. (PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL)

RAIS KIKWETE AMFARIJI JAJI WARIOBA KWA KUFIWA NA MKWE WAKE

Image
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu alipokwenda kuhani msiba wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (aliyesimama pembeni) ,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,    Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe   wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji wanafamilia baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe   wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na Jaji Joseph Warioba na mkewe  Mama Evelyne Warioba walipokwenda kuhani na kutoa heshima za mwisho katika msiba wa mama mkwe  ...

BREAKING NEWS: MSANII ADAM KUAMBIANA AFARIKI DUNIA

Image
Adam Kuambiana enzi za uhai wake. MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya kuamkia leo. Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar. Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo.   Marehemu Kuambiana katika muonekano wake wa siku zake za mwisho za uhai wake ...katika pozi na msanii Irene Uwoya   ...(kushoto) akiwa na wasanii wenzake JB (kutoka kulia), Tino na Mtangazaji wa Clouds TV, Zamaradi BAADHI YA KAZI ALIZOCHEZA/KUONGOZA MAREHEMU KUAMBIANA:       R.I.P Adamu Kuambia, we gonna Miss you!  -  MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!