Posts

Showing posts from May 24, 2015

KIONGOZI WA CHAMA CHA UPINZANI BURUNDI AUAWA

Image
Baadhi wananchi wakiwa eneo alipouawa Zedi Feruzi. KIONGOZI wa chama kidogo cha upinzani nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi katika Mji mkuu wa nchi hiyo Bujumbura. Mwili wa Zedi Feruzi amabye alikuwa kiongozi wa Chama cha Union for Peace and Development ulipatikana nje ya nyumba yake kwenye mji wa Bujumbura. Juzi Ijumaa watu wawili waliuawa katika maandamano hayo yaliyochukua wiki kadhaa huku watu zaidi ya 100,000 wakiwa wameihama nchi hiyo kutokana na vurugu hizo za kupinga uamuzi wa Rais Pierre Nkurunziza kuwania urais kwa muhula wa tatu.

TUZO ZA FILAMU 2015 ZAFANA, SERIKALI YAHAIDI NEEMA

Image
Mama yake na Steven Kanumba akipokea tuzo ya mchango mkubwa kwenye filamu aliyotwaa mwanaye (marehemu Kanumba) kwenye tuzo za Filamu 2015. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala akitoa shukrani baada ya kupokea tuzo aliyopewa Rais Jakaya Kikwete na Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFA) kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015. Mama yake na Steven Kanumba akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo ya mwanaye kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana. Mama yake na Steven Kanumba akilia baada ya kuitwa ampokelee tuzo mwanaye. Irene Paul (Best Actress) akipokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana. Irene Paul (Best Actress) akipongezwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana. John Kalage (Best Director) akipokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu...

DON JAZZ ACHUKUA KITU KIPYA KUTOKA GHANA

Image
Super star Donjazz live akiwa na mpenzi wake mpya hatari.

DIAMOND THE PLATNUMZ AINGIA KWENYE TUHUMA NZITO YA KUIGA NGUO YA DESIGNER WA NJE NA KUTOMPA CREDIT

Image
Ujumbe kutoka kwa roperrope kwenda kwa diamondplatnumz na designer wake qboymsafi I usually don't blast people who make or wear fakes of my designs but this person went way to far when they used my logo! diamondplatnumz is wearing fake Roperrope shirt made by a person with bad character and a strong lack or originality! This is not ok! If you steal a design please reframe from using the Designers Logo because it's illegal www.shoproperrope.com Kucopy ama kuiba maarifa mazuri jamani haikatazwi bandugu lakini sasa usiibe kila kitu mpaka logo dooooh ulishindwa kiweka ya wcb_wasafi haya ona sasa hadi mzungu anawafundisha cha kufanya ! Iga ongeza na akili zako kitu kiwe kizuri zaidi usituambie hapo akili zako ndio zilipoishia kufikiria kwanza hujafikiria kitu !!!