Posts

Showing posts from March 17, 2014

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI STANDARD CHARTERED

Image
Standard Chartered Bank Tanzania Jobs March 2014 WB Business Risk Manager/ UORM Job Description The Business Risk Controller represents the business and supports the Operational Risk function to implement the operational risk aspects of the Bank’s Risk Management Framework, Group Operational Risk strategy and associated operational risk procedures to ensure that operational risk is effectively managed at the business unit level. Specifically, the Business Risk Controller must: 1.Implement the Risk Management Framework (RMF) and where the Business Risk Controller double-hats as the RP, ensure that all aspects of the Wholesale Bank Operational Risk (WB OR) toolkits are completed on time and relevant stakeholders regularly kept apprised. 2.Proactively identify control weaknesses and ensure proper functioning of day-to-day controls and timely resolution of risks/events.  Concurrently, implement controls within the Business Unit to meet all key regulatory and int...

BREAKING NEWS:BUNGE MAALUM LA KATIBA LAAHIRISHWA KUTOKANA NA VURUGU

Image
  Mwenyekiti wa Bunge Mh Samwel Sitta Amelazimika Kuhairisha Bunge Jioni Hiii mara baada ya Kutokea Vurugu.Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katika Jaji Joseph Sinde Warioba Alitakiwa kuwasilisha Rasimu ya Pili katika Bunge Hilo.Wajumbe wa Bunge Walipoingia Ukumbini Ndipo Mwenyekiti wa Bunge Mh Samwel Sitta Alipomwita Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mh Jaji Warioba , Wakati Mwenyekiti Huyo aliposimama Kuanza Kuwasilisha Baadhi ya Wajumbe waliendelea Kugonga Meza  kwa Nguvu Kuhu Wakizomea na Kusababisha Vurugu Ndani ya Ukumbi wa Bunge na Ndipo Mwenyekiti wa Bunge Mh Samweli Sita alipojaribu Kuingilia Kati Lakini ILishindikana Na Ikalzaimu Kuliahirisha Bunge Maalum La Katiba Mpaka hapo Atakapotangaza tena. Mtafaruku huo ni baada ya Wajumbe na Baadhi ya wabunge wa upinzani kupinga Jaji warioba asiwasilishe rasimu ya katiba leo mpaka Rais ahutubie Bunge hilo kwanza.Mwenyekiti wa Bunge akaruhusu Jaji Warioba aendeleee na Uwasilishaji lakini ...

UTAFITI: WANAWAKE MSICHELEWE KUZAA, HAYA NDIYO MADHARA YAKE UNAPOCHELEWA KUZAA...!!

Image
Wanawake wanaochelewa kuzaa wanakabiliwa na tisho la kupata matatizo ya afya ya uzazi. Huu sio utafititi tu balo maoni ya daktari mmoja mkuu mjini Nairobi Kenya. Athari za kuchelewa huko ni pamoja na kukumbwa na utasa, tisho la kupata Saratani ya kizazi na matiti pamoja na matatizo wakati wa kujifungua. Wanawake wengi wanaofanya kazi huchelewa kuzaa mtoto wao wa kwanza hadi wanapofika umri a miaka 35 badala ya kuzaa wakiwa na umri wa miaka 24-28. Hali hii inaweza kusababisha matatizo ya afya ya uzazi. Mtaalamu wa afya ya uzazi mjini Nairobi, Daktari John Ong'ech aliyehojiwa kuhusu hoja hii alinukuliwa akisema kuwa ''wanawake kwanza wanataka kusoma masomo ambayo hayaishi, daima wako madarasani na ofisini na kuahirisha kuzaa mtoto wao wa kwanza hii ni hatari kubwa.'' Bwana Ong'ech alisema kuwa wanaochelewesha kuzaa, wanaweza kupata Fibrio...

JIFUNZE HAPA MBINU 7 ZA KUZUIA MTU ASIINGILIE MAPENZI YENU,

Image
Sio mbaya kwa marafiki wa karibu au ndugu na jamaa kufahamu kushirikiana nanyi katika mapenzi yenu kama vile wakati wa sherehe au msiba.  Pia sio mbaya kujuliana hali na kutambulisha mambo ya msingi yanayoendelea katika mahusiano yako wewe na mpenzi wako.   Hata hivyo kuna wakati watu wengine wa pembeni, wawe majirani, ndugu, wazazi au marafiki wanaweza kuwa ‘sumu’ ya mahusiano yako, hasa pale unapowategemea sana kutoa msaada, maoni au maelekezo katika maisha yako ya mapenzi.    Makala hii inaeleza mambo ya msingi unayoweza kufanya ili kupunguza uwezekano wa rafiki, ndugu, jamaa, au wazazi kuwa ‘sumu’ ya mapenzi yako. 1. Udhibiti wa taarifa kwa wengine:    Kadri unavyoelezea mahusiano yako kwa watu wengine ndivyo unavyowapa nafasi watu kutoa maoni, na hata kudhani kuwa wana dhamana ya kukuelekeza unavyotakiwa kuishi na mwenza wako. Hivyo basi, chukua muda wa kutosha kutafakari na kufanya uchunguzi kuhusu maswal...

HATARI...!! MREMBO HUYU KAAMBUKIZA UKIMWI WATU 324 NA BADO ANAENDELEA....!!! SOMA HAPA UJUE USIJE UKANASA

Image
     Jamani tubaki njia kuu!!! demu mmoja nchini kenya ameripotiwa kutembea na wanaume zaidi ya 300 wakati anajua kabisa ni muathirika wa ukimwi.  Demu huyo aliamua kuchukua uamuzi huo mgumu kama njia ya kulipiza kisasi kwa wanaume baada ya yeye kufanya mapenzi yasiyo salama na mwanaume yaliyopelekea kuambukizwa ukimwi.   Mwanafunzi huyu kutoka Karabak University katika jiji la Nakuru  aliamua kufunguka kupitia facebook na kusema “nimesikia watu mkisambaza kashfa. Mimi nina kashfa kubwa zaidi nataka kuisema.” gazeti la daily post nchini kenya liliripoti. Mwanafunzi huyu aliliambia gazeti la daily post la kenya kwamba ana miaka 19 tu kwasasa, na alikua ni bikira mpaka siku alipoenda club usiku na watu wa miaka ya juu hapo chuoni kwake. Alipoamka aligundua mmoja wa watu hao alifanya nae mapenzi bila ya yeye kujua sababu alikua amelewa kupita kiasi. “tarehe 22 september ni siku ambayo sitakuja kuisahahu” demu huyu alisema. Alisema walipoto...

WEMA NA DIAMOND NI MWENDO WA KUDUNDANA ... SOMA HAPA UJUE KISA KAMILI CHA KUPEANA NAKOZ

Image
                                           Diamond na Victoria   Tayari kimenuka! Habari ya mjini wikiendi iliyopita ni madai ya njiwa wapendanao Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuchapana makofi laivu, Ijumaa Wikienda lina kisa na mkasa. Diamond. TIMBWILI STUDIO Kwa mujibu wa shuhuda wetu aliyekuwa eneo la tukio, timbwili hilo la haja lilijiri usiku mnene kwenye studio ya kurekodia nyimbo za Bongo Fleva za Tanzania House of Talent (THT) ambapo Diamond alikuwa akirekodi wimbo wa kolabo na msanii wa Kenya, Victoria Kimani ‘Vicky’ na Omary Faraji ‘Ommy Dimpoz. Stori ni kwamba wakati wasanii hao watatu wakifanya yao studio, Ommy alichukua kipande cha video kilichowaonesha wakiwa pamoja huku Diamond akiwa ‘veri k...

RAY C AAMUA KUYAANIKA MAPAJA YAKE MTANDAONI LIVE ... ONA UUMBWAJI WA

Image
 RAY C  Mwanamuziki staa wa bongo fleva Rehema Chalamila a.k.a Ray C amepotea katika anga ya muziki kwa kipindi kirefu kutokana na matatizo ya matumizi ya madawa ya kulevya na baada ya kupata tiba sasa mambo yanaonekana kurudi katika hali yake ya kawaida.   Pamoja na ukimya wake katika muziki, Ray C a.k.a kiuno bila mfupa sasa anaonekana kuwa active zaidi katika mitandao ya kijamii hususan Instagram.    Ray C ameshare baadhi ya picha na fans wake kupitia instagram ambazo kwa namna moja au nyingine zinaongea zenyewe (kwa kusindikizwa na captions) juu ya maisha yake ya sasa.    Kwa ufupi ni kuwa Rehema anakula bata tu sasa hivi, thanks kwa shavu alilopewa na Rais Jakaya Kikwete ambaye anamuita ‘Daddy’.  Take a look more pics inside….  

CCM YASHINDA KWA KISHINDO KIKUU JIMBO LA KALENGA

Image
Mbunge mteule wa  jimbo la Kalenga kupitia CCM Bw. Godfrey Mgimwa akibebwa juu na wanachama wa CCM huku wakiserebuka kusherekea ushindi katika ofisi kuu ya CCM mkoa wa Iringa ambapo  CCM imeshinda kwa  mbali katika matokeo ya uchaguzi huo uliofanyika jana kwenye  jimbo la Kalenga  mkoni Iringa, Tume  ya taifa ya uchaguzi imemtangaza Godfrey Mgimwa kuwa mshindi katika uchaguzi huo ambapo CCM  imeshinda kwa kura 22962  huku CHADEMA ikipata 5853 na chama cha CHAUSTA kura 150 Chama cha Mapinduzi  kimefanikiwa kushinda katika kata zote kumi na tatu za jimbo hilo. Watu wengi walijitokeza asubuhi kupiga kura na hali ilikuwa ni ya utulivu kabisa na watu wengi waliopiga kura wameishukuru serikali na tume ya uchaguzi kwa kuandaa utaratibu mzuri na kufanyika kwa uchaguzi wenye utulivu..(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KAlENGA) Mbunge mteule wa jimbo la Kalenga kupitia CCM Bw. Godfrey Mgimwa akipiga picha na wanachama wa Chama cha Map...

MAUAJI YA KUTISHA : MWANAMKE AUAWA KWA KUKATWA NA PANGA SHINGONI.

Image
TAFADHARI PICHA ZILIZOPO HAPA ZINATISHA  Na Mwandishi wetu,Geita yetu Blog    WIKI moja baada ya Tanzania kuungana na nchi nyingine ulimwenguni kuadhimisha siku ya wanawake duniani,kauli mbiu ikiwa ni "chochea mabadiliko kuleta usawa wa kijinsia" mkoani Geita hali imekuwa tofauti baada ya mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Modester Shija (55-60) mkazi wa kitongoji cha Kamlale,kijiji cha Nyawilimilwa kata ya Kagu wilayani hapa kuuliwa kikatili kwa kukatwa mapanga Machi 14,mwaka huu na watu wasiojulikana.   Imeelezwa kuwa Machi 14,majira ya saa 19:30 jioni  Bi.Modester Shija akiwa jikoni anaandaa chakula cha usiku walifika wanaume wawili waliovalia makoti meusi mara baaada ya kukaribishwa mmoja wa wanaume hao aliomba maji ya kunywa mara baada ya kunywa maji aliingia jikoni alikokuwa mama huyo huku akisikika anauliza kwa kisukuma "mayo otale kubiisha? akimaanisha Hujaivisha? kabla ya kujibiwa ilisikika sauti ya kulalamika ya mwan...

MICROSOFT YAWATAKA WATEJA WAKE WAACHE KUTUMIA WINDOWS XP KUTOKANA NA ONGEZEKO LA MASHAMBULIZI YA VIRUSI

Image
KOMPYUTA zinazotumia windows XP hazitoweza kupokea taarifa muhimu na kuongezeka mashambulizi ya virusi vya spyware vinavyoharibu taarifa binafsi na takwimu za kibiashara baada ya mwezi mmoja. Hayo yamebainishwa  jana  na Mkurugenzi wa Microsoft kwa kanda za Afrika Mashariki, Magharibi, Rotimi Olimide. Alisema kuwa utafiti mpya wa Microsoft umeonyesha kuwa Window XP hushambuliwa kirahisi na virusi mara tano zaidi huku usalama wake ukiwa mdogo kiasi cha kuruhusu wizi wa mtandao. Alisema ni vyema ndani ya mwezi mmoja, watumiaji wa window hiyo wakabadilika na kuhamia Window 8 ambayo ina uwezo mkubwa wa kuhimili mshambulizi ya virusi. “Mfumo uliotengenezwa kwenye Window XP ni wa kizamani na uendeshaji wake sio iliyoundwa kujilinda dhidi ya virusi. “Baada ya mwezi mmoja si kuwa huduma ya Window XP haitafanya kazi, unaweza kuendelea nayo lakini usalama na utendaji wake hautakuwa mzuri ,” alisema.    Alisema mfumo wa uendeshaji wa Window...

ANGALIA PICHA CHADEMA WAKIWA KALENGA JANA

Image
Mwenyekiti Mbowe akisikiliza maelezo kutoka kwa Mbunge wa Kawe (CHADEMA), Halima Mdee, namna ambavyo Mbunge Rose Kamili alikuwa akiendelea kupata matibabu katika hospitali hiyo. Mgombea wa CHADEMA, Grace Tendega Mvanda akiwa na Kampeni Meneja wake, Godbless Lema walipokuwa wakizunguka katika ameneo mbalimbali kuangalia shughuli ya upiogaji kura vituoni ilivyokuwa ikiendelea Mwenyekiti Mbowe akizungumza na waandishi wa habari juu ya tukio la kutekwa na kuteswa kwa Mbunge wa Viti Maalum, Rose Kamili lililotokea juzi usiku katika Kijiji cha Kitawaya, Kaa ya Luhota, jimboni Kalenga, wakati alipokuwa akizungumza na mawakala wa CHADEMA, ambapo imedaiwa kitendo hicho kilifanywa na vijana wa ulinzi wa CCM.  helkopta ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) iliyokuwa imembeba mgombea wa chama hicho, Grace Tendega Mvanda na kampeni meneja wake, Godbless Lema, walipokuwa wakizunguka jimboni humo kukagua vituo vya kura na kuangalia shughuli nzima ya upig...