Posts

Showing posts from July 24, 2015

BREAKING NEWS : WEMA ATIKISA UCHAGUZI WA CCM SINGIDA LEO

Image
Ikiwa leo ndio Uchaguzi wabunge wa Viti Maalum Kupitia Chama cha Mapinduzi Nchini katika Mkoa wa Singida Mgombea Wema Sepetu Ametikisa Uchaguzi huo Leo.Wema Sepetu amekuwa Gumzo wakati Akiwasili Katika Uchaguzi Huo Leo na Kuteka Wajumbe wote walioudhuria Uchaguzi huo wakitaka Kusalimiana nae Pamoja na Kupiga nae Picha. Hali Hiyo ilijitokeza wakati Mgombea Huyo Alipowasili kwenye ukumbi wa Mkutano Tayari kwa uchagguzi endelea Kuwa Nasi kwa Matokeo ya uchaguzi huo, Chini Kabis BOFYA KUONA PICHA ZAIDI WEMA ALIVYOWASILI BOFYA HAPA KUONA VIDEO WEMA SEPETU ALIVYOWASILI NA KUZUA GUMZO KWA WAJUMBE WA UCHAGUZI

MASTAA WAMLIZA KAJALA USIKU

Image
Kajala Masanja akibugujikwa na machozi baada ya kufanyiwa sapraizi hiyo. Machozi ya furaha! Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja juzikati alijikuta akiangua kilio baada ya kufanyiwa ‘sapraizi’ na mastaa wenzake katika siku yake ya kuzaliwa. Tukio hilo lilichukua nafasi usiku wa Julai 22, mwaka huu nyumbani kwake Sinza Afrikasana jijini Dar ambapo akiwa hana hili wala lile, mastaa hao akiwemo Jacob Steven ‘JB’, Jennifer Kyaka ‘Odama’, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, Nuh Mziwanda, Leah Richard ‘Lamata’ na wengineo walifika nyumbani hapo mida ya saa 6 usiku kisha wakajibanza nje.  BOFYA KWA PICHA ZAID I

HAKIKA MUZIKI UNALIPA TAZAMA PICHA YA JUMBA LA MSANII LINAH,HONGERA KWA HATUA

Image

Hii ndio Mishahara ya Marais wa Afrika,Rais Kikwete aongoza Afrika ya Mashariki

Image
Chadian President Idriss Deby Itno (L) with President Ali Bongo Ondimba Gabon (R) and Cameroon's Paul Biya (C) on April 3, 2014 at the EU headquarters in Brussels. Salaries of some of the best paid African leaders have been revealed. FILE | NATION MEDIA GROUP When Nigeria's President Muhammadu Buhari recently announced that he and his deputy would take a pay cut, it was not entirely surprising for a man known for his austerity, and who faces a challenge cutting back the excess in the country's finances. But President Buhari is not the first African leader to announce a pay-cut. In fact, it is a popular recourse for others trying to shore up their popularity, or facing tough economic times. In Kenya, President Uhuru Kenyatta and his deputy William Ruto last year announced a voluntary 20 per cent salary cut and invited other top government officials to follow suit. A few did, reluctantly. In Tunisia, former President Moncef Marzouki, then facing a

RAIS JAKAYA KIKWETE KUWA MGENI RASMI KUMBUKUMBU YA MASHUJAA

Image
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Saidi Meck Sadiki akizungumza na waandishi wa habari kuhusu sherehe za maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa zitakazofanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.Bw. Sadiki amefafanua kuwa shughuli zote katika viwanja vya Mnazi Mmoja zitaanza saa mbili Asubuhi na kumalizika saa sita mchana, pia wananchi watakaohudhuria kumbukumbu hiyo watapata fursa ya kushuhudia matukio yatakayokuwa yananendelea uwanjani hapo kupitia Luninga kubwa zitakazokuwepo katika maeneo yote muhimu ya uwanja. Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa katika mazoezi katika viwanja vya Mnazi Mmoja leo jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mwisho ya sherehe za Kumbukumbu ya Mashujaa.Picha na Aron Msigwa. RAIS JAKAYA KIKWETE MGENI RASMI MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA! Na.Aron Msigwa - MAELEZO. 23/7/2015. Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Kikw

UZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI NI KESHO VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR ES SALAAM MAANDALIZI YAMEKAMILIKA WANA MUZIKI LULUKI KUTOA BURUDANI WANDUGU SAIDIA TUTANI UZINDUZI RASMI NI KESHO

Image
 Mshauri wa masuala ya Malaria kutoka Taasisi ya Jhpiego, Jasmin Chadewa (kushoto), akitoa huduma ya kumpa dawa ya vitamini A, mtoto Rahim Simai,  viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi ikiwa ni utoaji huduma wa elimu ya afya kwa wajawazito na matumizi ya dawa aina ya SP, upimaji wa malaria pamoja na matumizi ya vyandarua kama muendelezo wa huduma za afya ya mama mjamzito na mtoto kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili wa Kampeni ya Wazazi Nipendeni utakaofanyika kesho katika viwanja hivyo.  Wakina mama wakisubiri kupata huduma katika moja ya banda yaliyopo viwanja vya Mwembe Yanga.  Maofisa Taasisi ya Center for Comminication Programs Johnns HopKins University wakifunga kitanda cha kujifungulia wajawazito wakati wakitoa huduma mbalimbali viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi tayari kwa uzinduzi wa Kampeni ya Wazazi Nipendeni utakaofanyika katika viwanja hivyo kesho. Mtaalamu wa Maabara Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke, Mbwan

TAKUKURU YAMKINGIA KIFUA MKURUGENZI WA MANISPAA YA TABORA MBELE YA BARAZA LA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA

Image
 Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora, Sipora Liana. Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora, Sipora Liana, akijieleza mbele ya Baraza la  Maadili kwa Viongozi wa Umma Dar es Salaam leo, alipofikishwa kwa tuhuma za kukiuka maadili ya viongozi wa umma alipokuwa Halmshauri ya Manispaa ya Mkuranga mkoani Pwani kabla ya kuhamishiwa Tabora. Jaji Msumi (katikati), akiwa na wenzake akisikiliza shauri hilo. Na Dotto Mwaibale KAMANDA wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Wilaya ya Mkuranga, Damas Pasalau, amemkingia kifua aliyekuwa Mkurugenzi wa Halamashauri ya Manispaa ya Mkuranga Sipora Liana kwa tuhuma zinazomkabili katika Baraza la Maadili ya Utumishi wa Umma. Kwa mujibu wa hati ya mashitaka iliyosomwa katika vikao vya baraza a maadili vilivyoanza jana jijini Dar es Salaam, Sipora ambaye kwa sasa Mkurugenzi wa Manispaa ya Arusha  anakabiliwa na tuhuma za kukiuka maadili. Inadaiwa kuwa mnamo mwaka 2009/2010 Sipora alimchukulia hatua za kinidh

PICHA JINSI KUNDI LA ISIS WANAVYOKATA WATU MIKONO

Image