Posts

Showing posts from February 16, 2014

AMA KWELI HUYU BLOGGER KIBOKO..CHEKI HIZI PICHA ALIZO PIGA KWA AJILI YA VALENTINE DAY

Image
 DONT YOU WISHHHHHHHHHHHHHHHHHH'''HHAHAAHHAHAAA''  DRUNK IN LOVE''''''''''MAPENZI MAPENZINI'' BABY I WANT YOU ''NANA'NAAAAAAAAAAAAAA''BABY I NEED YOU NANAAAAAA'MCHEZONI USIKU MZIMAAAAAAAAAA'MBUTA NANGA''CHEZEA KULEWA MAPENZI WEWEEEEE''  NAKUWAZA WAZA WEWE MUME WANGU 'NAKUWAZA WEWE'NAKUWAZA WAZA WEWE MUPENZI YANGU NA KUWAZA WEWE'' NAMPENDAJE SASA 'HADI NACHIZIKAA''   NINI MAONI YAKO MDAU WETU

KABLA YA KUJICHORA TATTOO MUWE MNAFIKIRIA ONA MAJANGA YA HUYU DADA.

Image
 Mwandada anekwenda kwa jina la Torz Reynold mwenye umri wa miaka 26 anetokea nchini Uingereza ametoa kali ya mwaka baada ya kulipiza kisasi baada ya kugundua boyfriend wake amekuwa akimcheat. Torz alikuwa amejichora tattoo yene jina la mpenzi wake huyo mkononi na ndipo alipo amua kuuimenya sehemu hiyo ya ngozi yake na kuiweka kwenye chupa na kuifunga kama zawadi na kumtumia huyo jamaa yake posta. Inasemekana huyo bwana alimuwaga mpenzi wake kwamba amepata kazi Alaska na akaondoka huku mpenzi wake huyo alimsindikiza airport. Baada ya muda akisikia kutoka kwa marafiki zake kwamba huyo bwana yuko nchini UK anaishi na mwanamke mwingine.   Mkono wa Torz ukiwa na tattoo yenye jina la ex wake 'Chopper' SOMA ZAIDI  Torz akionyesha kifaa alicho tumia kumenyea ngozi yake hiyo  Torz akionyesha mkono wake baada ya shughul hiyo na kipande cha ngozi alicho menya  Kipande cha ngozi kikiwa kwenye chupa tayari kupelekwa posta  ...

HII NI HATARI LAKINI SALAMA...JIONEE WAREMBO HAWA WANACHOFANYIWA NA TEMBO...!YATAKA MOYO...!

Image
Inasemekana eti hii ndio massage hatari zaidi inayofanywa na tembo kwa watalii baadhi ya nchi za wenzetu...yataka moyo sana kwa anayefanyiwa hii kitu...!!MAJUU KWELI HAMNAZO

ANGALIA PICHA MWANAJESHI ALIYEMPIGIA MAGOTI RAIS MUSEVENI

Image
Mwanajeshi Nchini Uganda apiga magoti kumuomba Rais Museveni agombee tena Urais 2016.  Museveni ameitawala Uganda toka mwaka 1986.

KOMBE LA FA CHELSEA WACHAPWA NA MAN CITY

Image
Manchester City 2-0 Chelsea:  Grinners: Manchester City celebrates their second goal in the 2-0 FA Cup win over Chelsea at the Etihad Breakthrough: Montenegro striker Stevan Jovetic marks putting City in the lead with a precision finish Take that: Jovetic (left) is surrounded by his team-mates after the 16th minute strike Pierced: The marksman slots passed Chelsea keeper Petr Cech and defender César Azpilicueta for 1-0 Pin-point: Jovetic's perfectly placed finish found the inside of the far post as City took the lead Triumphant: Samir Nasri returned from injury to score City's second goal minutes after being substituted on Well-placed: Nasri was on the end of a slick move that started at the back with the final pass from David Silva

FIFA HAIJA MRUHUSU OKWI KUCHEZEA YANGA SC, NAKALA HALISI YA BARUA KUTOKA ZURICH

Image
Okwi akiichezea Etoile msimu huu BARUA ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwenda Shiriksiho la Soka Tanzania (TFF) haijamruhusu moja kwa moja mshambuliaji Mganda Emmanuel Anord Okwi kuchezea Yanga SC, bali imetoa maelekezo ya kufuata. BIN ZUBEIRY imefanikiwa kupata nakala ya barua hiyo iliyotumwa nchini Februari 12, mwaka huu kutoka makao makuu ya shirikisho hilo, Zurich kwenda kwa Katibu Mkuu wa TFF, Celestine Mwesigwa Dar es Salaam na FIFA imesema yenyewe haihusiki na usajili wa mchezaji, bali ni shirikisho la nchi husika. Okwi akiichezea SC Villa Oktoba 22 mwaka jana katika ligi ya Uganda na akafunga bao katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Bright Stars Okwi akishangilia bao lake SC Vill Barua ya FIFA imeiagiza TFF ifuate kanuni na taratibu za usajili katika suala la mchezaji huyo. FIFA pia imesema inatambua Okwi alihamishwa kutoka Simba SC Januari 15, mwaka jana kwenda Etoile du Sahel ya Tunisia kwa Mkataba wa kudumu na baadaye, kufuatia ua...

MHADHIRI WA CBE AFUKUZWA KAZI KWA KUJIHUSISHA NA NGONO NA WANAFUNZI

Image
  Chuo cha Elimu  ya  Biashara (CBE), tawi la Dar es Salaam , kimemfukuza kazi mhadhiri wa chuo hicho anayedaiwa kuhusika na vitendo vya ukiukaji wa maadili ikiwamo kufanya ngono. Mhadhiri huyo ambaye jina halikutajwa alinaswa na kamera  za kisasa za kurekodi matukio za CCTV zilizofungwa kwenye vyumba vya madarasa ili kudhibiti nidhamu, miongoni mwa wanafunzi na wahadhiri.Kamera hizo zimefungwa kwenye vyumba vya madarasa 20 ili kudhibiti vitendo vya ngono baina ya walimu na wanafunzi, wizi wa mitihani na matendo mengine yanayovunja sheria. Hayo yalibainishwa jana jijini na mkuu wa chuo hicho, Profesa Emanuel Mjema (pichani), alipokuwa akizungumza na wanahabari wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene. Profesa Mjema, alisema, walifikia maamuzi  ya  kuweka kamera hizo za kisasa ndani ya madarasa Aprili mwaka jana baada ya kujiridhisha na taarifa za kuwapo matukio ya ukosefu wa maadili miongoni mwa wa...

MASTAA WA KIKE WAMVAA DUDE ... KISA, SOMA HAPA UJUE

Image
WASANII wa kike wanaotamba kwenye filamu za Kibongo, hivi karibuni wamembwatukia staa mwenzao, Kulwa Kikumba ‘Dude’ na kuipinga kauli yake kwamba mastaa wengi wa kike wametokea kwenye uchangudoa na kuvamia tasnia hiyo, shuka na mistari uipate habari hii. Kulwa Kikumba ‘Dude’. Wakizungumza na Risasi Jumamosi, mastaa hao wamemtaka Dude kuacha tabia ya kuropoka kwani kauli yake imewavunjia heshima mbele ya jamii. Baadhi ya mastaa waliotoa kauli za kumbwatukia Dude na kauli zao ziko hapa chini ni hawa wafuatao: Tamrina Poshi ' Amanda". TAMRINA POSHI ‘AMANDA’ “ Ni heri Dude aache kuzungumza vitu visivyokuwa na maana, ajifunze  mambo mazuri kwani ni mtu mzima sasa. Kila mara anatuponda wasanii wa kike, kila mtu ana maisha yake kama wapo wanaofanya uchangudoa hao ni hulka zao, sina tabia hiyo na sanaa nimeianzia kwenye vikundi .” Upendo Mushi 'Pendo'. UPENDO MUSHI ‘PENDO’ “Kauli ya Dude siyo ya kweli kama wapo ni  baadhi na siyo wote, sija...

HII NI TOP 5 YA WABUNGE WAREMBO WENYE MVUTO BUNGE LA TANZANIA.

Image
Kwa kipindi hiki hii ndiyo top 5 ya Wabunge Warembo kabisa katika bunge letu tukufu.                                                          catherine magige(CCM) 2.VICK KAMATA (CCM) 3.JOYCE MUKYA (CHADEMA) 4.MARRY MWANJELWA (CCM) ESTER MATIKO (CHADEMA)

MAKAMBA, WASSIRA NAO WAHOJIWA NA KAMATI NDOGO YA MAADILI CCM

Image
 Naibu Waziri wa Mawasiliano  Sayansi na Teknolojia, January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa White House mjini Dodoma mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili CCM jana. January Makamba akiondoka kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wassira akitoka nje ya ukumbi wa White House baada ya kumaliza mahojiano na Kamati Ndogo ya Maadili CCM mjini Dodoma jana. Stephen Wassira akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ya Chama Cha Mapinduzi. Wassira aliwaeleza waandishi kuwa hakukuwa na tuhuma juu yake. Wassira akifurahia jambo na Kada maarufu wa CCM, Adam Soud mara baada ya kumaliza mazungumzo na waandishi wa habari mjini Dodoma. credit:GPL

ROSE NDAUKA: NUSURA WATOTO WANIVUE NGUO!!!!

Image
  MWIGIZAJI mahiri Bongo, Rose Ndauka amefunguka kuwa amenusurika kuvuliwa nguo na watoto ambao walipandwa na midadi baada ya kumuona ‘live’. Rose Ndauka.   Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika sherehe ya arobaini ya mwanaye iliyofanyika nyumbani kwao, Tandale-Tanesco, jijini Dar ambapo watoto hao walimvizia Rose alipotoka nje, walimvaa na kuanza kumng’ang’ania nguo. “Hawakutegemea kuniona pale, wengi wamezoea kuniona kwenye TV. Daah nilipata wakati mgumu kidogo maana ilibaki kidogo wanivue nguo, lakini nashukuru Mungu niliwatuliza, wakanielewa nikarudi zangu ndani,” alisema Rose.

JE WAJUA NI NINI CHA SIRI SIRI KINAENDELEA KATI YA DIVA WA CLOUDS FM NA RAPA KING CRAZY GK?? TEAM CHAGGA BEYB YAFICHUA, UKWELI MZIMA SOMA HAPA

Image
UJUMBE UNASOMEKA HIVI... Bongo mmeaka? wenzenu ndio kwanza kwa habari moto moto napenda kuwafichulia penzi la siri la muda mrefu  na binti wa clouds fm diva, mtajaza wenyewe huyo wa pembeni wa kuitwa AY  ni shemej wake diva , huyo wapembeni wa kuitwa MwanaFA ni shemeji yake diva ...huyo wa katika mfalme ndio kampa umalkia dada yetu diva, kutoka  kwa mnyetishaji wetu aishie maeneo ya upanga mashariki anasema toka mwaka jana katikati wawili hao wamekuwa kama vifaranga, diva amekuwa akionekana  mara kwa mara nyumbani kwa kina rapper  huyo na wako karibu muda wote  maswali mengi yapo nayo majibu dada wetu wa clouds fm anaye unguruma kila siku  radioni kwa habari Bongo five na ma blog mengine kama Angaza Tz  watajua kwa kupata ukweli, shuzi hilo nim,e lishusha la kuaminika... Diva na akajibu hayo hapo chni

SITAKI KUTONGOZWA MASOGANGE AFUNGUKA

Image
VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ amewajia juu kundi kubwa la wanaume linalomtaka kimapenzi wakati wanatambua vyema kuwa ana mtu wake. Agnes Gerald Waya ‘Masogange’. Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Masogange alisema tangu atoke Sauz aliponaswa kwa msala wa kusafirisha malighafi haramu, wanaume wakware wamekuwa wakimsaka kama fisi aliyeona mfupa kitu ambacho hakubaliani nacho. “Sitaki kutongozwa kabisa, waniache. Kinachonikera zaidi wanaonitongoza wengi wanatambua kabisa nina mchumba wangu (Evance), watu wengine sijui wapoje!” alisema Masogange.