Wafanya kazi wa chuo cha CBE wakiwa kwenye msiba wa marehemu Selina Makinga area 'A' wakisubiria kutoa heshima zao za mwisho kabla ya kusafirisha mwili huo kwao Iringa Ndugu, Jamaa na Mrafiki wa marehemu Rais wa COBESO Mhe, Remidus akiwa kwenye msiba wa marehe Selina Makinga , akiwa anahesabu hela ya kutoa rambirambi kiasi kilichofikia Tsh. 78,000/= Familia ya marehemu wakiwa upande mmoja baada ya Padree kuongoza Misa Takatifu ya marehe Selina Makinga Baadhi ya Wakristo wakishiriki kupokea ekaristi Takatifu Marehemu akinyunyiziwa maji ya baraka kwa ishara ya imani yake aliyebatizwa kwa maji ya baraka Muda wakuaga mwili wa marehemu Mama akiangusha kilio baada ya kuaga mwili wa marehemu Mwalimu Ndunguru wa CBE Dodoma akitoa heshima yake ya mwisho kwa marehemu Rais wa COBESO Mhe, Remidius M. Emmanuel akitoa heshima yake ya mwisho kwa marehem...