Hii ni orodha nzima ya washindi wa KTMA 2015: Mtumbuizaji bora wa muziki wa kiume wa mwaka – Alikiba Mwimbaji bora wa kike Bongo Flava ameshinda – Vanessa Mdee Msanii bora wa kiume Taarab – Mzee Yusuph Mwimbaji bora wa kike Taarab – Isha Mashauz Mwimbaji bora wa kiume bendi – Jose Mara Wimbo bora wa mwaka wa muziki wa Taarab – Mapenzi Hayana Dhamana – Isha Mashauzi Wimbo bora wa mwaka – Mwana (Alikiba)) Wimbo bora wa Kiswahili bendi – Walewale (FM Academia) Wimbo bora wa muziki wa R&B – Sisikii (Jux) Wimbo bora wa Hip Hop – Kipi Sijasikia (Professor Jay) Wimbo bora wa Reggae & Dance Hall – Let Them Know (Maua Sama) Rapper bora wa mwaka, bendi – Ferguson Msanii bora wa Hip Hop – Joh Makini Wimbo bora wa Afrika Mashariki – Sura Yako (Sauti Sol) Mtunzi bora wa mwaka, Taarab – Mzee Yusuph Mtunzi bora wa mw...