Posts

Showing posts from November 22, 2016

Lady Jaydee Kaolewa na Rastaman?

Image
Staa wa Bongo Fleva, Lady Jaydee ‘Anaconda’  akiwa katika matembezi na Rastaman. Wakiwa katika mazungumzo matamatam katika Hoteli ya Serena visiwani Zanzibar. . Akimshangaa Rastaman. STAA wa Bongo Fleva, Lady Jaydee ‘Anaconda’  amenaswa akijiachia na Rastaman huyo sehemu mbalimbali wakiwa pamoja tokea  aachane na aliyekuwa  mume wake mtangazaji wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM,  Gardiner G Habash. Picha hizo zimeibua sitofahamu kwa mashabiki wake wakijiuliza kweli Rastaman huyo  ndiye shemeji yao? Mtandao huu ulijaribu kumtafuta meneja wa msanii huyo Seven kwa kumpigia simu hakupokea na tuliamua kumtumia meseji mpaka tunziweka picha hizi alikuwa ajatoa majibu.

Rais Magufuli Amuapisha Diwani Athumani Kuwa RAS Kagera

Image
    Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

RAIS MPYA WA TCCIA AKUTANA NA MWENYEKITI WA CEO ROUND TABLE

Image
 Ndibalema Mayanja akukutana na Mwenyekiti wa CEO Round Table Ali Mfuruki  ili kukuza mahusiano ya Taasisi hizi nyeti kwa maendeleo ya Biashara, Viwanda na Kilimo. Katika mkutano huo Rais Mayanja aliongozana na Makamu wa Rais wa TCCIA Viwanda Octavian Mshiu, Mkurugenzi Muganda na Mshauri wa TCCIA Imani Kajula.

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA JENERALI FAN CHANGLONG MAKAMU MWENYEKITI WA KAMISHENI KUU YA ULINZI YA JESHI LA UKOMBOZILA WATU WA CHINA (PLA)

Image
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni kuu ya Ulinzi ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China Jenerali Fan Changlong mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni kuu ya Ulinzi ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China Jenerali Fan Changlong mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange kwa mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni kuu ya Ulinzi ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China Jenerali Fan Changlong mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni kuu ya Ulinzi ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa...

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AENDA OFISINI KWAKE DODOMA KWA MGUU

Image
    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  Novemba 21, 2016 asubuhi aliamua kutembea kwa mguu  kutoka makazi  yake yaliyopo Kilimani hadi Ofisini kwake   barabara ya Reli mjini Dodoma .  Pichani, Mheshimwa Majaliwa akilekea Ofisini kwake.  (Picha na Ofisi ya Waziri MKuu).