Posts

Showing posts from December 15, 2013

MANENO YA KUMPANDISHA STIMU YA KIMAPENZI MPENZI WAKO HAYA HAPA

Image
Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza kufanya mapenzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi! Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidogo! nayeye hawezi kubaki kimya lazim...

MAZIKO YA NELSON MANDELA KIJIJINI QUNU

Image
  Jeneza lenye mwili wa Mandela likiwa makaburini.   Jeneza lenye mwili wa Hayati Nelson Mandela likipelekwa makaburini tayari kwa maziko.   Hapa ndipo Hayati Nelson Mandela atakapozikwa.   Oprah Winfrey naye ni miongoni mwa waombolezaji. Hapa akielekea eneo la makaburi.   Askofu Desmond Mpilo Tutu ambaye alikuwa rafiki wa karibu wa marehemu Mandela naye akielekea eneo la makaburi.   Jeneza baada ya kuwasili eneo la makaburi. Hapa likifunguliwa kutoka kwenye gari maalum.

ANGALIA PICHA MUME AMUUA MTOTO WA KAMBO KISA UGOMVI WA KIMAPENZI,..

Image
Mwenyekiti wa mtaa wa pangani kata ya Makorongoni mjini Iringa Salum Kibaya akiutazama mwili wa mtoto Raymond Ben Mangungu (2) aliyeuwawa kwa  kukabwa shingo na baba wa kambo wakati wa ugomvi wa kimapenzi kati ya  mwanaume huyo na mama wa mtoto huyo usiku wa leo. Askari polisi akitazama mwili wa mtoto huyo. ANGALIA PICHA ZAIDI

ANGALIA PICHA ZA AWALI KATIKA MAZISHI YA MANDELA

Image
Display: The coffin of former South African President Nelson Mandela is seen draped in a South African national flag during his funeral in his ancestral village of Qunu Respect: Candles are lit under a portrait of Nelson Mandela before his funeral. One for every year of his life Honor: A gun salute is fired as the funeral procession nears the Mandela family compound Dignitaries: Prince Charles, right, arrives for the state funeral on Sunday Historic figure: Thousands of people are paying tribute to South Africa 's first black president State funeral: Mandela's coffin is carried into the white tent for the service Support: African National Congress supporters chant before the start of the funeral Dignitaries: Anti-apartheid activist and friend Ahmed Kathrada, right, with former South Africa president Thabo Mbeki As the state...

AFTER SCHOOL BASH ILIVYOTIKISA

Image
  Mashabiki kibao wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri jukwaani jioni ya leo.   Baadhi ya wasanii chipukizi kutoka anga ya muziki wa Bongofleva pia walipewa nafasi ya kuonesha umahiri wao wa kulishambulia jukwaa vilivyo.  Watangazaji wa Clouds FM,Adam Mchomvu na Dj Fetty wakijadiliana jambo nyuma ya jukwaa.  Mashabiki wakifurahi burudani iliyokuwa ikitolewa juu ya steji  DJ Mahiri kutoka Clouds FM akifanya makamuzi ya nguvu ndani ya Mbalamwezi Beach,wakati wa tamasha la After Skull Bash likiendelea,Tamasha hilo limewakutanisha wanafunzi wa shule mbalimbali jioni ya leo.  Msanii Nguli wa muziki wa kizazi kipya,Chege Chigunda a.k.a Mtoto wa Mama Said akitumbuiza mbele ya mashabiki kibao waliofika kwenye tamasha la After Skull Bash,lililofanyika kwenye ufukwe wa Mbalamwezi,Mikocheni jijini Dar.   Mmoja wa watangazaji mahiri wa Clouds FM,Hamis Mandi a.k.a B Dozen akitoa utaratibu...

Serikali yaipongeza UCA-Tanzania kuwanyanyua wasanii chipukizi

Image
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utamaduni Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Leah Kihimbi kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo. Mkurugenzi Mtendaji wa UCA-Tz, Emmanuel Mushy akizungumza na vijana kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufanya uzinduzi. Baadhi ya wasanii chipukizi wa muziki na sanaa wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi pamoja na baadhi ya viongozi wa UCA-Tanzania. Mmoja wa wasanii wa kuchora akionesha kipaji chake cha kuchora michoro anuai kwa jamii kwenye tamasha hilo (P.T)   Picha mbalimbali juu ni baadhi ya wasanii chipukizi wakionesha vipaji vyao kwenye tamasha hilo. Baadhi ya wasanii chipukizi wakimsikiliza mgeni rasmi kabla ya kuonesha vipaji vyao.     Baadhi ya Wasanii chipukizi mbalimbali waliopata nafasi ya kuonesha vip...