Posts

Showing posts from October 28, 2013

BBA WINNER, DILLISH POSTS NUDE PHOTO ON INSTAGRAM

Image
  Dillish Matthews, the winner of the last edition of Big Brothe r Africa (BBA The Chase, 2013) seems to be adapting to fame and settling well into her celebrity life. The 22-year-old Namibian seems to be going down the route of most female celebs who once in a while want to show us they've got a fab body by taking her top off. Sad though, Dillish didn't turn around for a 'full disclosure'. Dillish who made a quick trip to Johannesburg but has returned to Nigeria which seems to be the entertainment capital for BBA housemates. Days earlier, Dillish visited Edo State Governor Adams Oshiomole before going to party with fellow BBA housemate Selly at Sofa Lounge, Abuja on October 19, 2013. At least she left some things to the imagination

Waasi wa M23 wameua mwanajeshi wetu mmoja ( JWTZ ) huko kongo

Image
Msemaji wa Umoja wa Mataifa katika taarifa yake ya Jumapili kwa waandishi wa habari amesema kuwa askari mmoja wa Tanzania aliyekuwa akihudumu kwenye kikosi cha mpango wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa MONUSCO huko katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DR Congo), ameuawa wakati akiwalinda raia. Msemaji huyo amemkariri Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon akilaani vikali mauaji hayo yaliyotokea wakati waasi wa M23 waliposhambulia walinda amani hao wa MONUSCO ambao walikuwa wakisaidia jeshi la DR Congo, FARDC kulinda raia huko Kiwanja-Rutshruru, kilometa 25 kaskazini mwa Goma. Ban ametuma rambirambi kwa familia ya askari huyo pamoja na serikali ya Tanzania huku akisema kuwa Umoja wa Mataifa umejizatiti kuchuka hatua zote muhimu kwa mujibu wa azimio namba 2098 la Baraza la usalama kuhusu kulinda raia Mashariki mwa DR Congo. Wakati huo huo, jeshi la DR Congo limewaambia waandishi wa habari kwamba ilikomboa miji miwili mingine ya Rutshuru na Kiwanja, ...

PICHA ZA MATUKIO YANAYOJIRI MSIBANI KWA BABA’KE WEMA MAREHEMU BALOZI SEPETU

Image
Mama mzazi wa Wema akiwa na simanzi baada ya kuondokewa na mumewe mzee Sepetu. Kajala Masanja (kushoto), Wema Sepetu (katikati) na Zamaradi Mketema (kulia) wakiwa katika hali ya majonzi nyumbani kwao Wema Sepetu, Sinza - Mori jijini Dar. Kajala Masanja (kushoto) na Wema Sepetu (katikati) wakiangua vilio. Kulia Zamaradi akijaribu kumtuliza Wema. Ndugu wa karibu wa marehemu akiwa na simanzi nzito STAA wa sinema za Kibongo na Miss Tanzania 2006 Wema Isaac Sepetu, bado yuko kwenye wakati mgumu baada ya leo asubuhi kupatwa na msiba mkubwa wa kuondokewa na baba yake mzazi Balozi Isaac Abraham Sepetu aliyefariki asubuhi ya leo. Kwa sasa kuna watu wengi wamefika kumjulia hali maeneo ya Sinza, Mori jijini Dar, rafiki yake wa karibu Kajala Masanja na Zamaradi Mketema wapo bega kwa bega kuwa naye karibu na vilio vimetawala kila kona ya familia ya marehemu Balozi Sepetu. Bado haijafahamika mazishi yanafanyika lini maana wanasubuliwa wa...

Jamal Malinzi ashinda urais wa TFF

Image
HONGERA Habari tulizozipata ni kwamba Jamal emil Malinzi amefanikiwa kushinda uchaguzi wa TFF kwa nafasi ya urais aliyokuwa anagombea dhidi ya Makamu wa zamani wa Rais wa TFF Athumani Nyamlani. Uchaguzi huo, uliotawaliwa na kashkashi za hapa na pale, ulifanyika katika ukumbi wa NSSF WATER FRONT, Dar es salaam Jamal Malinzi ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha soka cha mkoa wa Kagera ameshinda uchaguzi huo ikiwa ni mara yake ya pili kugombea baada ya kushindwa na Rais wa zamani wa TFF Leodgar Chillah tenga mwaka 2008.   TUPE MAONI YAKO MWANASPOT WETU, NA USISAHAU KULIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK/TWITTER

KURASA ZA KIUDAKUUZZZZ ZA LEO JUMATATU

Image
. . . .

John Mnyika ajitosa kuinusuru CHADEMA....Amejibu tuhuma moja tu ( ya kunga'ng'ania madaraka ) kati ya 6 zilizotolewa.

Image
Mbunge wa jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, ndg John Mnyika amejitosa kukinusuru chama chake baada ya viongozi wakuu wa chama hicho kukabiliwa na tuhuma nzito zikiwemo za wizi wa fedha za wanachama na kung'ang'ania madaraka.... Yafuatayo ni majibu ya John Mnyika baada ya kutandikwa swali na mdau wa Mabadiliko kuhusiana na tuhuma ya kung'ang'ania madaraka kwa kubadili kinyemela baadhi ya vipengele vya katiba ya chama hicho. KUMBU KUMBU MUHIMU: (John Mnyika ni miongoni mwa wajumbe wa timu iliyofanya marekebisho ya Katiba mpya ya CHADEMA ya mwaka 2006.) ******Majibu yake ******** Ni kweli nilikuwa mjumbe kwenye timu zilizohusika na kuandikwa kwa katiba mpya ya CHADEMA ya mwaka 2006, aidha nilikuwepo kwenye mkutano mkuu wa chama uliopitisha katiba mpya tarehe 13 Agosti 2006. Tuhuma ya kwanza toka kwa Mwigamba : “Wakati tukifanya mabadiliko ya katiba mwaka 2006 hatukugusa kipengele kinachomzuia kiongo...