Posts

Showing posts from November 5, 2017

ZARI THE BOSS LADY AUMBULIWA NA MITANDAO YA HABARI NCHINI UGANDA!MAISHA YAKE YA MTANDAONI NA NYUMBANI KWAO MAZITO YAIBUKA

Image
Mwanamama Zarinah Hassan Tlale almaarufu Zari The Boss Lady. Wakati akitajwa kuwa mmoja wa wanawake masta-watafutaji na matajiri wa Afrika Mashariki, mwanamama Zarinah Hassan Tlale almaarufu Zari The Boss Lady ameumbuliwa, Risasi Jumamosi limetonywa. KIJIJINI MAMBO SI MAMBO Zari anadaiwa kuumbuliwa na mitandao ya habari za mastaa ya nchini Uganda ambayo imeeleza kwamba, pamoja na kuwa na fedha nyingi na maisha ya kufuru, lakini huko nyumbani au kijijini kwao, Jinja nchini Uganda mambo si mambo. Akiwa na watoto wake. Kwa mujibu wa mitandao hiyo iliyoamua kumwanika Zari baada ya kutajwa kuwa na utajiri mkubwa miongoni mwa mastaa wa nchini humo, Jinja ndiko alikozaliwa na kukulia kabla ya kuhamia Kampala, lakini maisha ya ndugu zake hasa makazi ni duni au ya hali ya chini ukilinganisha na mbwembwe za utajiri wake. WATU WANASHANGAA “Kwa tunaofahamu kijijini kwao (Jinja), tunashangaa kama kweli ana utajiri kama anavyojinadi maana maisha ya ndugu zake ni ya chin...

Tume Ya Uchaguzi Yateua Madiwani 3 Wa Viti Maalum

Image
Tume ya Uchaguzi katika kikao chake cha tarehe 3 November 2017 imeteua madiwani watatu kujaza nafasi za Udiwani katika Halmashauri mbili za Tanzania Bara.