Posts

Showing posts from August 21, 2016

Jeshi la Polisi Likifanya Mazoezi ya Utayari wa Kukabiliana na Uhalifu

Image
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wa wakiwa moja ya maozezi yao ya kupasha viungo kabla ya kuanza mazoezi ya kutuliza ghasia. Askari Polisi wa kikosi maalum cha polisi (CRT) wa mkoa wa Iringa wakiwa katika mazoezi ya utayari wa kukabiliana na matukio yoyote yatakayojitokeza katika maeneo mbalimbali. Askari wa vikosi vya kutuliza ghasia wa mikoa mbalimbali wakiwa na magari yao wakati wa mazoezi ya utayari wa kupambana na matukio mbalimbali ya uhalifu na wahalifu katika maeneo mbalimbali. Askari wa vikosi vya kutuliza ghasia wa wakiwa na magari yao wakati wa mazoezi ya utayari wa kutuliza ghasia na kukabiliana na matukio yoyote ya uhalifu na wahalifu. Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia mkoa wa Lindi wakifanya mazoezi magumu ya kijiweka tayari kukabiliana na matukio yoyote yatakayojitokeza ikiwemo watu wasiotii amri za Jeshi la Polisi ikiwa ni pamoja na kutofuata sheria za nchi. Askari Polisi wa vikosi vya kutuliza ghasia  wa mikoa ya Li...

RAIS OBAMA AFUNGUKA KUHUSU TABIA YA MWANAE

Image
Kama inavyotegemewa kwa baba yeyote duniani, tabia ya binti yake, Malia imemkasirisha vibaya Rais wa Marekani, Barack Obama. Hivi karibuni, Malia alionekana akivuta bangi kwenye tamasha moja maarufu. Kwa mujibu wa tovuti ya RadarOnline, vitendo vya hivi karibuni vya Malia vimemsononesha sana Obama anayemaliza muda wake mwaka huu kama rais wa Marekani. Awali, video ilisambaa mtandaoni ikimuonesha Malia Obama, 18, akionekana kuvuta bangi kwenye tamasha la Lollapalooza huko Chicago mwezi uliopita. Kisha Malia alihudhuria kwenye party iliyopo kwenye kisiwa ambacho familia yake ipo mapumzikoni iliyofungwa na polisi. Malia alihitimu mwaka huu kwenye shule maalum ya Sidwell Friends ya Washington, DC, na anatarajiwa kujiunga na chuo kikuu cha Harvard mwaka 2017

MANCHESTER UNITED WAITANDIKA SOUTHAMPTON

Image
There may have been a moment, after referee Anthony Taylor pointed to the spot, when Wayne Rooney fondly imagined he might still be Manchester United's penalty taker. He eyed the target happily. Here we go. Game over. Manchester United goal No 247, coming right up. And then a giant man with a top-knot calmly collected the ball and placed it on the penalty spot. Rooney lives in Zlatan's world now. And in Zlatan's world only one man gets to take the penalties. Here's a clue: it's not Wayne Rooney. So Zlatan Ibrahimovic stepped up and stuck the ball, smartly, low to Fraser Forster's right. It was his second goal of the night and Manchester United were 2-0 up. Meaning all was right in Zlatan's world.  Zlatan Ibrahimovic rises high to meet Wayne Rooney's superb cross sending a thunderous header towards goal  +21 Ibrahimovic and Pogba watch on as the former PSG striker's bullet header heads for the bott...