Posts

Showing posts from December 4, 2013

MEZA YA MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 04.12.2013

Image
MAGAZETI YA UDAKU . . MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI  

JE! NI KWELIWANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA HAWANA UELEWA WA MAMBO IWE SHULE,OFISINI NA HATA KATIKA MAISHA YA KAWAIDA,KWELI?

Image
 Huyu dada kwa kumtazama tu kwanza alivyokaa comfidence yake ipo nyuma yake,haonekani kama anazingatia changamoto zilizopo mbele yake ana chojali ni hicho kilichopo nyuma... Mimi kiukweli sijui hili kiundani ila watu walikuwa wanabishana ofisini kwamba Wanawake wenye makalio makubwaaa hawana uelewa wa mambo.Kuna makalio makubwaaa,ya katikati na ya kawaida...ila wale wenye makalio makubwa...inasemekana wanajiamini sana kiasi kwamba wanakuwa hawajipi nafasi ya kusoma,kudadisi na kujua mambo mapya na yanayoendelea duniani...wanajiamini tu na makalio yao...eti ni kweli?????samahani kwa nitakae mkera ila nataka tu kujua.... TUPIA MAONI YAKO HAPA, NDUGU MSOMAJI? NA USISAHAU KULIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK

HIZI NDIZO SABABU ZINAZOSABABISHA MWANAUME KUKIMBIWA NA WANAWAKE...!

Image
  1. Wakikosa attention yako.  Wasichana hupenda pale wanapofahamu kuwa unawasikiliza na unafahamu nini wao wanahitaji. Kama kutakosekana mawasiliano mazuri na atagundua hilo atauona uhusiano huo haumtimilizii haja zake. Hata kama kila kitu kinaenda sawa. Msikilize anapoongea. Kama akiona hapati penzi analolihitaji atatafuta mwingine ambaye yupo tayari kumtimizia. 2. Kumuheshimu.  Msichana huwa anajitoa sana awapo katika mahusiano hivyo anategemea mvulana uheshimu hata kwa chochote kidogo anachokufanyia. Mfanye agundue kuwa umeheshimu kile ambacho amekufanyia. 3. Usaliti.  Unaposaliti inamaanisha kuna kitu hakipo sawa katika mahusiano yako hata kama una uwezo wa kushughulikia lakini wewe unaona njia sahihi ni kutoka nje kuwa na mahusiano na msichana mwingine ukidhani ndio unarekebisha. Pale msichana wako akikukamata unamsaliti fahamu hawezi kuvumilia naye atakuacha. 4. Ukosefu wa hisia za kimapenzi.  Msichana hupenda kuona kuwa wan...

KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA MTOTO AMFUMANIA MAMA YAKE AKIJIUZA JIJINI DAR...! PICHA ZA TUKIO HIZI HAPA

Image
Na Issa Mnally na Richard Bukosi SHABAASH! Kijana aliyefahamika kwa jina moja la Hamis mkazi wa Tandale jijini Dar, hivi karibuni alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kumfuma mama yake mdogo akijiuza usiku. Tukio hilo la kufedhehesha lilitokea usiku wa kuamkia juzi (Jumatano) maeneo ya Sinza Mapambano ambapo mapaparazi wetu walikuwa katika operesheni ya kuwasaka wanawake wanaojihusisha na biashara hiyo haramu. Wakiwa maeneo hayo, waandishi wetu walimuona kijana mmoja akiwa amejiinamia baada ya kumfuata na kumhoji kilichompata, alidai kuwa alipewa taarifa juu ya mzazi wake huyo aliyemtaja kwa jina la mama Husna kujiuza na siku hiyo alimuona akiwa kwenye mawindo. “Jamani niacheni maana nilichoshuhudia kimeniumiza sana…mama yangu anafikia hatua ya kuja kijiuza huku?...amekosa nini…au ni huu ugumu wa maisha dah…?” Alisikika kijana huyo aliyekuwa akilia. Katika kuthibitisha kile anachokizungumza, Hamis aliwaonesha waandishi wetu kundi la wanawake waliokuwa ‘so...

RAIS KIKWETE AMTEUA DR. ASHA-ROSE MIGIRO KUWA MBUNGE

Image
Dr. Asha-Rose Migiro. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge. Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar Es Salaam leo, Jumanne, Desemba 3, 2013, na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Dr. Florens Turuka inasema kuwa uteuzi huo umeanza jana, Desemba 2, 2013. Dr. Asha-Rose Migiro ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa katika Chama cha Mapinduzi. Imetolewa na: Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu. Dar es Salaam. 3 Desemba, 2013

HIZI NDIZO SABABU 10 ZA WANAWAKE KUTOKUOLEWA NA KUISHIIA KUSAGANA TU..!!!!

Image
Pamoja na kuwa kuna wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume. Kwa kiasi kikubwa katika suala la kutaka kuingia ndani ya ndoa, wanawake ni wengi ambao hutaka kufunga ndoa kuliko ilivyo kwa wanaume. Hilo tunaliona wazi tokana na shamra shamra awazo nazo mwanamke wakati wa maandalizi ya shughuli za Ndoa na Harusi. Hata hivyo, kwa wale wanawake wachache ambao husuasua kuolewa hizi ni baadhi ya sababu zinazopelekea kusuasua huko. (Izingatiwe hii ni kwa wanawake ambao hawajawahi kuolewa kabisa) . Vigezo vilivyopitiliza viwango (hasa kwa muonekano) Wanawake wengi hasa wa umri mdogo (lakini unatosha kuolewa) hutumia muda mwingi katika kuchagua aina ya mwanaume ambaye angependa awe mume wake.Wanawake hawa hujiamini zaidi na kusimamia sifa zile ambazo huamini ni muhimu mwanaume wa kumuoa awe nazo. Vigezo hivyo huwa hata kwa misingi ya muonekano wa mwanaume huyo – kuna wale ambao hutaka mwanaume huyo wa kumuoa awe na sifa kama...

WAKUTWA WATUPU KWENYE GARI MARA BAADA YA KUVUNJA AMRI YA SITA KUPITILIZA

Image
PICHA AMBAYO AIKUZIBWA IPO HAPO CHINI  NI KWA WENYE UMRI WA