Diamond Platnumz na mama wa mtoto wake Zari. D AR ES SALAAM: Nyuma ya pazia la sakata la staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kutaka kummwaga mama wa mtoto wake, Latifah Nasibu ‘Princess Tiffah’, Zarinah Hassan Tiale ‘Zari The Boss Lady’, kuna siri nzito, Amani limenyetishiwa. CHANZO CHAFUNGUKA Habari kutoka kwa chanzo ambacho ni mtu wa karibu wa familia ya Diamond zilieleza kuwa, hivi karibuni kuliibuka madai mazito kuwa, Diamond, kama ilivyo tabia yake ya kutodumu na mwanamke kwenye uhusiano wa kimapenzi, tayari ameonesha ishara zote za kuachana na mama Tiffah. Je, ni skendo ya Diamond ,kutoka na Video Queen wa Bongo, Irene? Zari akiwa na mwanaye, Latifah Nasibu ‘Princess Tiffah’ Kumbe siri ni Tiffah “Kwa taarifa yenu, Diamond hawezi kummwaga Zari kirahisi na siri ni moja tu ni Tiffah. Ukweli ni kwamba, Tiffah ndiye…..” Wema, Pennye na Jokate watajwa ….“Sisi tunamjua jamaa (Diamond), anapotaka kuachana na mwanamke huwa kuna...