AINA 10 ZA WANAWAKE WANAOPENDWA NA SANA NA WANAUME
WAPENDA USAWAA: ina ya pili inayohitajika katika katika ulimwengu wa kimapenzi niwanawake wanaoheshimu usawa wa jinsia, walio tayari kubeba majukumu yakifamilia kwa ulinganifu sawa na wanaume, wenye uwezo wa kuongoza jamiikwa asilimia 50 kwa 50 WANAOJUA MAPENZI :Wanawake wajuzi wa mambo ya faragha wanapendwa sana. Sifa yao kubwa niuwezo wa kuwatosheleza wenzi wao katika tendo la ndoa. Tafiti zinaonesha kuwa wanaume hupenda sana wanawake watundu katika mchezo wa sita kwasita. Mara nyingi wanatajwa kuwa na uwezo wa kuteka akili za wanaumebila kujali sifa zao za nje au za ndani . MARAFIKI :Wanawake wenye sifa sawa na rafiki ni aina ya nne inayowavutia wanaume.Wao hutegemea zaidi nguvu ya kushawishi inayotokana na namna wanavyojali na kujitolea kuhakikisha wanakuwa marafiki wa kweli kwenye shida naraha kwa wapenzi wao. Si wakorofi, ni waungwana na wapenda amani WAPENDA UWAZI: Aina nyingine ya wanawake inayowavutia wanaume ni wenye msimamo nawapenda uwa...