Zitto: Tumethibitisha Kampuni ya Boeing wametuuzia ndege ya mwaka 2009

Kwa Mujibu wa Zitto Kabwe ameandika Taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Facebook

"Tumeshathibitisha bila mashaka kuwa Kampuni ya Boeing wametuuzia ndege ya mwaka 2009 Kwa bei ya mwaka 2017. Kazi Kwa Watanzania ni kuishinikiza Serikali iseme imelipa kiasi gani?

Nukuu kutoka mtaalamu wa ndege na picha ya uthibitisho wa terrible teen hiyo.
Ninasikitika Sana kuwa Rais mwenyewe na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha ndio walikutana na watu wa Boeing kuhusu dili hili. Ina maana Boeing wamemdanganya Rais wetu. Sio sawa hata kidogo

"Terrible Teen" LN19 iliondolewa kutoka was 45-12 na itakabidhiwa Air Tanzania itakapokuwa imemalizika mwishoni mwa Mwaka huu "

Comments

Popular posts from this blog