Feza Kessy ayaanika matiti yake nje wakati wa uzinduzi wa Yahaya
Video ya yahala ilizinduliwa rasmi jana pande za nyumbani lounge. Baadhi ya wasanii kama Feza Kessy ambaye alikuwa mgeni rasmi, Vanessa Mdee na Mkolon... Pamoja na kuwa mgeni rasmi, Feza anadaiwa kuwa miongoni mwa wasanii waliokuwa wamevaa vibaya.... Vazi lake lilikuwa likiyaanika matiti yake hadharani, hali ambayo iliwafanya hata watoto wayashuhudie.