Posts

Showing posts from March 6, 2016

MWAMVITA MAKAMBA AJIBU TUHUMA ZA MANGE KIMAMBI,ASEMA JANUARY MAKAMBA HAHUSIKI,MSIKILIZE HAPA

Image
January hausiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni. Hao ni matapeli na wameamua kumtumia tapeli mwenzao huyo anayejiita wa kitaliano. Mahusiano yangu, masuala yangu binafsi hayapaswi kuhusianishwa na kaka yangu January. Mimi nina maisha yangu na yeye ana maisha yake binafsi, mimi nina kazi zangu na yeye ana kazi zake. Puuzeni upuuzi huo unaosambazwa kwa sababu ni wa kupika Kuniuliza Leading Questions halafu kunirekodi ili unilishe maneno ni upuuzi wa kupuuzwa. Mwamvita Makamba

Lulu, Richie washinda Tuzo ya MVCA

Image
Please join me to Salute another Tanzanian hero hapa Lagos Super Star Lulu Michael   kwa kushinda  tuzo ya filamu bora Afrika Mashariki (Best Movie – East Africa) kupitia Mapenzi. Muigizaji huyo alijikuta akilia kwa furaha wakati akishukuru kushinda tuzo hiyo.at "2016 AFRICA MAGIC VIEWERS CHOICE AWARDS"  ....SALUTE SISTER and BRO. RICHIE NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA!   Staa wa Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiongea jambo baada ya kushinda Tuzo ya Africa Magic Viewers Choice (MVCA) zilizofanyika Lagos, Nigeria. Akiwa na tuzo yake. Akifanya mahojiano. Muonekano wa ndani ya ukumbi.  Wasanii wa uigizaji Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ (kulia), Single Mtambalike ‘Rich Richie’ (kushoto) wakiwa Muongozaji filamu anayechipukia kwa kasi, Honeymoon Mohammed (katikati).

RAIS MAGUFULI AHUDHURIA MAZISHI YA KAKA WA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE KIJIJINI MSOGA

Image
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya kaka yake, Mzee Selemani Mrisho Kikwete, wakati wa mazishi kijijini Msoga, Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016. Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akiweka mchanga kwenye kaburi la Mzee Selemani Mrisho Kikwete huko Msoga mkoani Pwani. Mzee Selemani Kikwete alikuwa kaka mkubwa wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Rais wa awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi wakimsikiliza kwa Makini Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati akifafanua jambo huko Msoga Mkoani Pwani. Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimfafanulia jambo Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya mazishi ya Kaka yake Marehemu Mzee Selemani Mrisho Kikwete huko Msoga mkoani Pwani. Rais wa Jamhuri ya Muungano...

DC -PAUL MAKONDA AZINDUA VITAMBULISHO VYA WALIMU KUPANDA DALADALA BURE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Image
  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akimvika kitambulisho Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Turiani, Beatrice Mhina Dar es Salaam leo asubuhi, baada ya kuvizindua vitambulisho hivyo vitakavyotumiwa na walimu kupanda daladala bure wakati wa kwenda kazini kufuatia mpango aliouanzisha wiki iliyopita wa kuwasaidia walimu hao. DC Makonda akimfika kitambulisho Mwalimu Gideon Mwenenyi. DC Makonda akimvika kitambulisho, Mwalimu Ramadhani Korowelle. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wananchi na walimu wakati wa uzinduzi wa vitambulisho hivyo. Ofisa Elimu wa Sekondari wa wilaya ya Kinondoni, Rogers Shemwelekwa (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo. Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari ya Turiani, Alpherio Nchimbi (kushoto), akizungumza kwenye uzinduzi huo. Walimu na viongozi wengine wakiwa kwenye hafla hiyo Wananchi na walimu wakiwa kwenye uzinduzi huo. Wananchi na walimu wakiwa kwenye uzinduzi huo. M...

NAPE NNAUYE:TUTUMIE UTAMADUNI WETU KUJENGA NCHI

Image
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akipiga ngoma alipokuwa akiwasili katika ukumbi wa Golden Jubelee Towers alipokuja kushiriki katika uzinduzi wa Video mpya ya Mshairi Mrisho Mpoto inayoitwa Sizonje .Wengine Pichani ni Mrisho Mpoto,Dr Mwaka na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Sanaa Bi leah Kihimbi. Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye Nape Nnauye akizindua rasmi video ya Sizonje,Kushoto kwake ni Mrisho Mpoto. Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akiinadi video ya Sizonje kwa wadau mbalimbali waliofika kushuhudia uzinduzi huo.Nape aisema video hiyo inawakilisha serikali ya awamu ya tano na utumbuaji wa majipu. Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akimkabidhi cheti cha pongezi kwa Msichana Butogwa Charles Shija aliyeongoza kitaifa katika mtihani wa kidato cha nne. Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akimkabidhi cheti cha pongezi kwa Co...