Posts

Showing posts from February 16, 2015

Necessary Job Interview Preparations

Image
In the event when you are invited on a job interview, your thoughts become focused on preparing an outstanding presentation. Much like exams during your student days, job interviews are likely to toss you into a stressful state, but if you remain level-headed, chances for achieving success significantly improve. A word of advice, do not strain your mind too much if things go south, since a lot of people get jobs due to their connections, not their qualifications, in other words, you should not allow failure bring you down too much, just find out who got the job, and things may appear much clearer to you. Here are some good suggestions on how to get ready for an upcoming job interview, I am pretty convinced you will find them useful. Think about the Possible Scenario If this is your first job interview , you will find the following paragraph very useful. When you are on the job interview, here are some of the questions your potential employer might ask:  ...

AJINYONGA BAADA YA MATOKEO YAKE YA FORM 4 KUWA MABAYA.. MUANGALIE HAPA

Image
Imekuwa kawaida kila mwaka pale ambapo matokeo yanapotoka watu wengenge utalajia mambo mazuri ata yulealiye kuwa kilaza dalasani naye anaamini atafaulu tu ila matokeo yake mambo yanakuja kutokana na kile ulicho panda kama ulipanda mawe basin ni mawe unatakiwa kuvuna Kinachosikitisha Zaidi ni pale wanapo chukua hatua kama huyu Kijana mmoja ajulikanaye kwa jina John Maduhu wa KIjiji cha Pandagichiza, Wilaya ya Shinyanga vijijini kaamua kujinyonga baada ya matokeo ya kidato cha nne yaliyotoka jana kumjia vibaya, akiongea na mwandishi, kaka wa marehemu alisema kuwa baada ya matokeo kutoka, JOhn alitoweka nyumbani Mungu atusaidie na atusamehe kwa dhambi hizi. NINI MAONI YAKO NDUGU MSOMAJI NA MDAU WETU.?

GADNER G HABASH AWAULIZA MASHABIKI WAKE KUHUSU KUJIBU TUHUMA ZA MALAIKA

Image
Baada ya Mwanamuziki Lady Jay Dee Ambae alikuwa mke wa Gadner G Habash Kufunguka kisa cha kumuacha Habash  Hatimaye Gadner na Yeye amekuja na Hili Hapa Chini: Hivi ndivyo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram: Valentine hii naishi kwa hisani ya Mungu Muumba, napendeza kwa hisani ya @robbyonefashion, nakula kwa hisani ya kazi @efm_93.7 Efm, natamba kwa hisani ya @majizzo, nna amani kwa hisani ya washkaji wangu @abdallah_gunda na @edbyamps na lavi davi kwa hisani ya #VJM. Ndugu zangu na jamaa zangu nawauliza nimjibu au nisimjibu huyo anayedhani yeye malaika anayekosewa yeye tu??

TASWIRA YA MSIBA WA BABA 'AKE DULLY SYKES HUKO KAWE BEACH JIJINI DAR!

Image
Mwanamuziki Dully Sykes akihojiwa na wanahabari (hawapo pichani) huko msibani Kawe Beach jijini Dar. Dully akilia kwa simanzi wakati akipewa pole na waombolezaji waliofika msibani Mbezi Beach, Dar leo mchana. Dully akipewa pole na baadhi ya waombolezaji waliofika msibani leo. Ebby Sykes enzi za uhai wake.  MAZISHI ya mwanamuziki mkongwe nchini ambaye ni baba mzazi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Dully Sykes, Ebby Sykes yatafanyika leo saa 10 jioni katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.  Mzee Sykes alifariki dunia jana mchana akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa vidonda miguuni vilivyopelekea kueneza sumu katika mwili wake na kumsababishia mauti.  Kwa mujibu wa Dully, Mzee Sykes alikuwa akisumbuliwa na vidonda hivyo vilivyoshindwa kupona kutokana na kuvuta sigara. Lakini mbali na hilo hakuwa na tatizo lingine lolote.  Mzee Sykes amefariki akiwa na ...

ANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

Image
Posted by RAHA ZA WALIMWENGU On Monday, February 16, 2015 0 comments    MATOKEO KIDATO CHA NNE 2014  BOFYA  HAPA MATOKEO QT 2014 BOFYA HAPA

CHEK DIAMOND NA ZARI WALIVYO KULA BATA SIKU YA VALENTINE HUKO ZANZIBAR

Image
Photos showing the hot couple in town Diamond Platnumz and Zari in Zanzibar, "She had never been to Zanzibar so i had to take her there to experience the beauty of Tanzania" said Diamond  

MAMA DIAMOND AREJEA NCHINI TANZANIA BAADA YA MATIBABU NCHINI INDIA

Image
Diamond Platnumz na  Mama yake mzazi  Sanura Kassim ‘Sandra’ akirejea kutoka India. mama mzazi wa Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’, amerejeshwa Bongo kutoka India ambapo afya yake imetengemaa, Ijumaa Wikienda lina kitu kamili. Habari kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya familia ya jamaa huyo,  kwamba, tayari  Sandra amesharejea katika hali yake ya kawaida na ndiyo maana akarudi Bongo baada ya kulazwa hospitalini nchini India kwa kusumbuliwa na ugonjwa wa kupooza. Mwanafamilia huyo alisema kwamba, Diamond na mama yake walirejea nchini wikiendi iliyopita baada ya kufanyiwa matibabu ya kina na madaktari kujiridhisha kwa hali ya juu dhidi ya afya yake ambapo waligundua hali aliyonayo kwa sasa imetengemaa hivyo wakamruhusu kurejea kuungana na familia yake. Habari zilieleza kuwa kwa sasa bimkubwa huyo yupo fiti na anaendelea na mazoezi ya kawaida huku akimalizia dawa alizopewa na wataalam hao wa afy...

VIDEO QUEEN MAARUFU BONGO, MCHEKESHAJI WAJIREKODI WAKIFANYA NGONO!

Image
Musa Mateja/Ijumaa Wikienda  Aibu! Mrembo anayeuza nyago (video queen) kwenye video kibao za wasanii wa Bongo Fleva, Tunda Sabasitana na mchekeshaji maarufu Bongo, Stan Bakora wamepiga picha za ngono kisha kusambaa hadi kulifikia deski la Ijumaa Wikienda.  Mrembo anayeuza nyago (video queen) kwenye video kibao za wasanii wa Bongo Fleva, Tunda Sabasitana na mchekeshaji maarufu Bongo, Stan Bakora wakijiachia. Picha hizo chafu zilitua mezani kwetu wikiendi iliyopita ikiwa ni siku mahususi kwa wapendanao. Picha hizo zinawaonesha wawili hao wakiwa kwenye ‘bedi’ huku wakifanya yao. Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Stan na Tunda, wawili hao wemekuwa kwenye ‘malovee’ siku nyingi na kupiga picha za ngono kwao si ishu maana wote hawana mshipa wa aibu kwa kuwa ni wasanii. Ilisemekana kwamba tangu Stan aanze kuigiza amekuwa akifanya mambo ya aibu tofauti na jinsi anavyoonekana. Stan Bakora na mrembo huyo wakiendelea kula ujana. Pia ilidaiwa kwamba Tunda...

PICHA NA MANENO MATAMU WALIYOANDIKIANA AUNTY EZEKIEL NA MOSE IYOBO SIKU YA VALENTINE!

Image
Kuanzia magazeti, mitandaoni mpaka kwenye redio… kwenye mtiririko wa stori za mastaa wa Tanzania zilizoongelewa au kuandikwa sana ndani ya wiki 6 zilizopita, hii ya mwigizaji Aunty Ezekiel kuwa na ujauzito na dancer wa Diamond Platnumz aitwae Mose Iyobo imo kwenye orodha.  Wawili hawa walitajwa kuwa mapenzini kitambo na hata ujauzito wa Aunty iliandikwa kwamba baba kijacho ni Mose japo Aunty mwenyewe alikanusha. Nakumbuka alisema ‘kuhusu taarifa za mimi kupewa ujauzito na Mose Iyobo, hizo taarifa mwenyewe nasoma kwenye magazeti nasikia kwenye Radio kama unavyosema lakini mimi binafsi ndio najua hii mimba ni ya nani‘  Pamoja na kukanusha huko, wawili hawa wameendelea kuchukua nafasi kwenye vichwa vya habari kutokana na post zao wenyewe kwenye page za instagram wanazomiliki ambapo wiki mbili zilizopita Mose aliweka hii picha hapa chini huku Aunty akiwa juu yake kitandani na kuandika ‘Nzi kufa kwenye kidonda sio ufala ila……..? Aunty ambae ni mja...