Posts

Showing posts from August 11, 2013

MAN UTD YAICHAPA WIGAN 2 VAN PERSIE ATISHA

Image
Early blow: Robin van Persie headed Manchester United into the lead in the sixth minute In action: Manchester United's Atonio Valencia takes the ball away from Wigan's Jordi Gomez Ahead: The Dutchman arrived late in the penalty area to head Patrice Evra's cross into the bottom corner Joy: United celebrate Van Persie's early goal at Wembley New signings: United's Wilfried Zaha, (left) competes with Wigan Athletic's James McClean The England winger flitted in and out, rather like United as a whole in a largely mundane affair. Elusive: United's new winger Wilfried Zaha escapes the attention of Ben Watson Vocal: David Moyes and Owen Coyle shout out instructions to their teams Welbeck came close to turning home a near-post chance and Van Persie threatened once more. Advantage doubled: Van Persie net's Manchester ...

ANGALIA PICHA ZA SHEIKH PONDA BAADA YA KUWASILI MUHIMBILI

Image
Picha ya juu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda,akipata matibabu  jana muda mfupi baada ya kuumizwa na kitu chenye ncha kali kwenye bega lake la kulia wakati akiekelea katika Msikiti wa Mungu Mmoja Dini Moja wa Mjini Morogoro baada ya kumalizika kwa kongamano ya Dini ya Kiislamu jana Mkasa huo ulitokea janamajira ya saa 12: 15 za jioni eneo la barabara ya Tumbaku karibu na Fire, mara baada ya kumaliza kwa Kongamano la Kiislamu lililofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Kiwanja Cha Ndege, Kata ya Saba Saba , Manispaa ya Morogoro.Picha ya chini baada ya kwanza juu akiwa hospitali ya taifa ya muhimbili mchana huu kwa ajili ya matibabu  KATIBU wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda akiwa anaingizwa katika chumba cha matibabu hospitali ya taifa ya muhimbili -MOI leo mchana, baada ya kupokelewa katika Hospitali ya muhimbili.

NAY WA MITEGO ATEMANA NA DEMU WAKE.....

Image
 JANA  Nay wa Mitego alikuwa akiandika ujumbe wenye mafumbo kwenye Instagram na baada ya kuusoma ndani ya mistari  ilibainika kuwa  huenda mambo si mazuri kati yake na mpenzi wake ambaye hivi karibuni alikuwa akitarajia kumzalia mtoto lakini mimba ikaharibika. Nay ambaye jina lake halisi ni Emmanuel Munisi, jana alianza  kwa kuandika ujumbe huu: Sasa mapenzi basi# by diamond Platnumz..!! Single boy# Ally Kiba#966 ’ Baada ya muda kidogo aliandika tena: "Niko ivi,,, nikikupenda nakupenda kwa asilimia 100# na kila m2 atajua juu ya upendo wangu kwako..!! Bt ukizingua nakuacha na ninakusahau kwa asilimia 200# na kwa muda mchache 2.   "Nikiamua huwa sirudi nyuma..!!# Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake ye mwenyewe# by Linex.#966’

"WASANII WENGI WA BONGO MOVIE NI OMBA OMBA...ACCOUNT ZAO HAZINA KITU"... BATULI

Image
Batulli  ambaye  ni mmoja wa waigizaji wa kike warembo nchini na ambaye jina lake halisi ni Yobnesh Yussuph aka Nesh, amefunguka kwenye Twitter kuwa licha ya soko la movie kupanuka, waigizaji wengi hawana kitu.   “Wasanii wengi wa filamu huwa tunaamka asubuhi hata hatujui tutakula nini. Accounts zetu hazina kitu wakati tuna film nyingi sana sokoni,” ametweet.   “Wenzetu huamka na mipango kamili ya siku iliyopo lakini wasanii wa film huwa tunaamka huku tukiwaza ni nani wa kumpiga kibomu siku iende.   " Jina kubwa umejibana umepata gari yako 1 tena used, siku ikiipeleka garage unashinda na wewe huko huko garage kazi zote unasimamisha #Huruma. ” Batulli ameilalamikia pia mikataba mibovu iliyopo kwenye filamu.   “Mikataba ya kazi za film Tanzania ukiisoma unaweza ukajuta kwanini uliamua kuwa muigizaji, unauza movie yako na haki miliki kwa miaka 50.  "Hakuna anaependa ndio maana tunalia na serikali mikataba ib...

MSANII WA KIKE BONGO MOVIE AMWANDIKIA BARUA RAIS KIKWETE!!

Image
Yobnesh Yusuph(Batuli) ambaye ni actress maarufu Swahiliwood amemuomba Rais Jakaya Kikwete alivunje Baraza la Sanaa la Taifa(BASATA) na kuliunda upya. Leo kupitia akaunti yake ya twitter muigizaji huyo aliyejaaliwa mvuto na kupendwa na mashabiki wengi wa filamu ali-tweet moja kwa moja akimtaja JK kwa kuandika "ujumbe wa sikukuu ya Eid kwako Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzana, vunja baraza la BASATA uliunde upya". Ingawa Batuli hakutaja moja kwa moja kwanini baraza hilo linalosimamia sanaa ikiwemo tasnia ya filamu nchini livunjwe lakini kwa muda mrefu wasanii wakiwemo wa filamu na muziki wamekuwa wakililalamikia baraza hilo kuwa linafanya mambo kienyeji na baadhi ya wasanii kudai kukumbana na urasimu wanapotaka kufanya kazi zao za sanaa. Wengine wanadai hata hatua iliyopigwa sasa katika sanaa nchini ni juhudi za wasanii wenyewe pasipo sapoti ya kutosha kutoka BASATA. Baadhi ya wasanii wa filamu wamekuwa pia wakitaka TAFF ndiyo i...

SIMBA SC ILIVYOONYESHA LEO KWAMBA IKO TAYARI KUBEBA MWALI LIGI KUU BARA MSIMU MPYA

Image
Kiungo wa Simba SC, Amei Kiemba akikokota mpira dhidi ya mchezaji wa SC Villa ya Uganda katika mchezo wa leo wa kirafiki Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 4-1. Betram Mombeki kulia Kocha Msaidizi, Jamhuri Kihwelo akipongezana na wachezaji wake Amri Kiemba vipi hapa Betram Mombeki akipambana Betram ni mpiganaji Issa Rashid 'Baba Ubara' anaosha Haruna Chanongo anamtoka mtu Ramadhan Chombo 'Redondo' anafanya vitu Kutoka kulia, Meneja, Nico Nyagawa, Kocha Msaidizi, Jamhuri Kihwelo, na Kocha Mkuu Alhaj Abdallah Athumani Seif 'King Kibaden' Mashabiki Simba SC leo SC Villa Furaha ya mabao source BIN ZUBEIRY

ROONEY NJE KIKOSI CHA MAN UNITED NGAO YA JAMII LEO WEMBLEY

Image
MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Wayne Rooney ameenguliwa kwenye kikosi kitakachomenyana na Wigan kuwania Ngao ya Jamii leo kwenye Uwanja wa Wembley kutokana na maumivu ya bega. Mchezaji mwenye umri wa miaka 27 amekuwa akifanya mazoezi na wachezaji wa akiba na wiki hii aliteuliwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya England kwa ajili ya mechi na Scotland Jumatano. Rooney amecheza dakika 45 katika mechi za kujiandaa na msimu na huo ulikuwa mchezo wa kirafiki uliochezwa buila mashabiki dhidi ya Real Betis. Majeruhi: Wayne Rooney ameenguliwa kwenye kikosi kitakachomenyana na Wigan leo Rooney aliifungia England dhidi ya Brazil mjini Rio Rooney ameandika shukrani binafsi kwa kocha wa England, Roy Hodgson baada ya kumjumuisha kwenye kikosi hicho. Alisema: "Siwezi kuchelewa kujiunga na kikosi cha England na ninatumai kucheza mechi ya ushindani, wakati wote Scotland wapo dhidi yetu.  "Shukrani kubwa kwa Roy Hodgson kwa kuniteua na kuonyesha imani...

NATAFUTA MWENZA WA MAISHA (MUME)

Image
Habari zenu wanajamii. Jamani maisha ni safari ndefu na inahitaji uvumilivu na ujasiri. Nimetumia ujasiri wangu kwa kujitokeza katika jukwaa hili ili kuweza kupata mwenza ambae atakuwa mume kama Muumba akibariki. Kwa aliye na nia ya dhati haswa naomba tuwasiliane kwa private message. Sifa zangu Umri: Miaka 30 Umbo:Ni wa kawaida sana, na kwa wale wanopenda makalio makubwa, mimi sina jamani, ni bora kuwa mkweli! Urefu: Centimeter158 Rangi: Maji ya maharage Elimu: Degree mbili Kazi: Muajiriwa wa serikali Dini:Islam Sifa za Mtarajiwa Umbo: asiwe na kitambi kwa kweli Urefu: itakuwa vyema kama akinizidi maana isije leta zahma Rangi: yeyote Elimu: Degree Kazi: Ni muhim maana maisha ni magumu sana Dini: Islam, ila uwe hujaoa! Najua kunawatakoleta mzaha, ni kawaida sana kwenye jamii. Nipo tayari kwa maswali mtakayoyauliza. Karibuni! Weka Sifa zako..Acha number ya Simu ama E-mail

KISA CHA SHEIK PONDA KUPIGWA RISASI MKOANI MOROGORO CHABAINIKA.

Image
  Shekh Ponda akisisistiza jambo mbele ya waumini wa Dini ya Kiislamu kwenye Kongamano , Augosti 10, mwaka huu mjini Morogoro   Kutambulishwa jukwaani Shekh Ponda. KATIBU wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda,alijikuta katika wakati mgumu baada ya kuumizwa na kitu kinachodhaniwa kuwa ni risasi kwenye bega lake la kulia wakati akiekelea katika Msikiti wa Mungu Mmoja Dini Moja wa Mjini Morogoro baada ya kumalizika kwa kongamano ya Dini ya Kiislamu. Mkasa huyo ulitokea Jumamosi Augosti 10, mwaka huu majira ya saa 12: 15 za jioni eneo la barabara ya Tumbaku karibu na Fire, mara baada ya kumaliza kwa Kongamano la Kiislamu lililofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Kiwanja Cha Ndege, Kata ya Saba Saba , Manispaa ya Morogoro.  Shekhe  Ponda alishiriki katika Kongamano hilo lililoandaliwa na Umoja wa Wahadhiri wa Dini ya Kiislamu Mkoani Morogoro na kufanyika siku ya Idd Pili kuanza saa nane mchana h...

HAWA NDIO MASTAR WA KIKE WAKALI SANA HAPA BONGO!!???

Image
sintah/ blogger, actress  Wema Sepetu (actress/former miss Tanzania) Bridgitte Alfred (Miss Tanzania 2012) Millen Magese (former miss Tanzania) Jokate Mwegelo (presenter/fashion designer)KIDOTI Teddy Kalonga (model) Mange Kimambi (creative director)muke ya muzungu.. Penny Mungilwa (Mtangazaji)muke ya mwanamuziki mukubwa bongo.. Jackline Ntuyabaliwe (Former Miss Tanzania) Vanessa Mdee (Mtangazaji/Msanii) Salma Msangi (Mtangazaji) Jackie Cliff (model)alekizanda makwinii, BOSS LADYY Hamisa anguwh (model) dada mlezi ahahahahhhh UNAHISI NI YUPI KATI YA HAWA HAPO JUU ALIYEPENDEZA N A MWENYE MVUTO ZAIDI KULIKO MWENZAKE, NA PIA TWAMBIE NI MREMBO YUPI NAE ANASTAHILI KUINGIA KWENYE MTANANGE HUU?