Posts

Showing posts from October 11, 2013

Kontena zima lakamatwa na MAFUVU na MIFUPA ya binadamu katika bandari ya Mombasa

Image
Wengi walioipata hii taarifa wanashangaa imekuaje ni viungo tu vya binadamu vimepatikana kwenye kontena zima vikiwa vinaingizwa Kenya? vinakwenda wapi? kazi yake ni nini? Taarifa iliyoripotiwa na Citizen TV Kenya inasema Shehena hii iliyokamatwa baada ya kupitishwa kwenye bandari ya Mombasa inasemekana imesafirishwa na Mwanasiasa maarufu ambae kabla ya kukamatwa alisema ilikua na bidhaa za nyumbani ambapo ilipofika kwenye kituo cha ukaguzi wa mashehena cha Changamwe ilipatikana na vikaragosi vya mafuvu na mifupa ya binadamu ndipo amri ikatoka kontena likamatwe. Baadhi ya mifupa ya binadamu iliyopatikana ni pamoja na mafuvu, miguu na mikono pamoja bidhaa za nyumba ambapo vyote kwa pamoja vilikua vinasafirishwa ambapo Afisa wa maswala ya Uhusiano mwema wa KRA Fatuma Yusuf alithibitisha kwamba hii shehena iliingia kutoka China siku ya pili ya October 2013 kabla ya kugundulika ilikua na vikaragosi vya kutisha ikiwemo mifupa ya binadamu. Mpaka sasa uchunguzi wa shehena hi...

Diwani wa CHADEMA atiwa mbaroni kwa tuhuma za wizi wa milioni 10

Image
WATU tisa akiwemo Diwani wa Kata ya Old Moshi Magharibi, Elisaria Mosha (Chadema) wametiwa mbaroni wakituhumiwa kupokea fedha kwa njia ya udanganyifu kupitia mradi wa umeme mkoani Kilimanjaro. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal, kufanya ziara mkoani Kilimanjaro na kuagiza watu waliofanya hivyo wakamatwe mara moja. Akizungumza na waandishi wa habari jana ofisini kwake, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz alisema diwani huyo anatuhumiwa kujipatia Sh milioni 9.6 kwa njia ya udanganyifu. Wengine wanaoshikiliwa ni Zakayo Kimathi (52) mkazi wa Mandaka, anayedaiwa kupokea Sh milioni 10.3, Oforo Kimambo (56) mkazi wa Mandaka anayedaiwa kupokea Sh milioni 29. Wengine wanaotuhumiwa kupokea malipo hayo kwa njia ya udanganyifu ni Daud Mallya (69) mkazi wa Chekereni aliyepokea Sh milioni 8.6, Richard Mlaki (69) mkazi wa Kiboroloni alipokea Sh milioni 18.6 na Focus Herman (88) mkazi wa Kilototoni aliyepokea Sh milio...

BAKWATA kuyatoa kuhusu tarehe ya sikuu ya EID-EL -HAJJ mwaka huu

Image
Baraza kuu la waislam wa tanzania linafurahi kuwatangazia waislam na wananchi kwa ujumla kuwa sikukuu ya Eid- El-Hajj itakuwa tarehe 16/10/2013

GARI YA BILIONEA ANAYEMILIKI MANCHESTER CITY YAONEKANA DAR, ANAIMILIKI YUSSUF BAKHRESA

Image
Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya Yussuf Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa. Vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum kutengenezewa gari hili na thamani yake jumla si chini ya dola za Kimarekani 500,000. Hii hapa mali ya Yussuf Bakhresa Huyu jamaa ndiye anayeendesha gari la hili la mtoto wa Bakhresa Angalia alivyotulia ndani ya mzigo wa dola 500,000 Ni oda maalum kwa ajili ya Yussuf Bakhresa Bin Zubeiry aliionja kidogo Mwingine mwenye gari kama hii Dar es Salaam nani? Kutoka Manchester hadi Dar es Salaam-BIN ZUBEIRY

Soma Kurasa za mbele katika MAGAZETI ya Leo Ijumaa

Image

TOP 1O MOST POPULAR FILM STARS IN TANZANIA 2012

Image
Nollywood the largest film industry in Africa is in jeopardy due to the increasing popularity of Tanzanian movies(swahiliwood)everyday in east and central African countries and even beyond.In recent years film actors from Tanzania have been welcomed and treated like national leaders in foreign lands like Rwanda,Burundi, DRC and others something even shocked Tanzanian leaders and even nollywood stars like Ramsey Nouh, Mercy Johnson and Inkiru Sylivenus have already worked in Tanzanian films. Tanzanian film stars are many but here we will give you the Top 10 most popular film stars in Tanzania 2012 and since next year we will give you the list of best performances of the year. However the popularity of these celebs throughout the year is due to various reasons like talents and good performances, scandals, both and others issues, and note that this is not the list of best actors though some of them are best actors.----   10:SHILOLE Her popularity this year was...