Posts

Showing posts from June 2, 2014

ANGALIA PICHA YANAYOJIRI KIGOMA KATIKA MAZISHI YA MAMA YAKE MH. ZITTO KABWE

Image
         

HII NI SEHEMU INAYOAMSHA 'HISIA ZA MIHEMKO' ZAIDI KWA MWANAMKE KATIKA MAPENZI....

Image
Katika mwili wa mwanamke kuna sehemu nyingi sana zinazoweza kumpa mshawasha na hamasa kubwa wakati wa tendo,achilia mbali sehemu nyingi zilizozoeleka na watu wengi kama vile kisimi , kuna sehemu moja ambayo ni bab kubwa kiasi cha kwamba mwanamke akishughulikiwa ipasavyo anaweza kukojoa mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja  Sehemu hiyo si nyingine bali ni G SPOT au kwa Kiswahili baadhi ya watu huita kipele G, sehemu hii iko ndani ya uke umbali wa kama nchi tatu hivi ukuta wa juu. Sehemu  hii ikiguswa tu mwanamke huhisi msisimuko wa ajabu kutokana na ukweli kwamba sehemu hii inahisia nyingi kuliko kawaida pale inapoguswa. Sehemu hii ni vigumu kidogo kuguswa kisawasawa kwa kutumia uume. Badala yake njia muafaka ni kutumia kidole cha kati pale ambapo  mwanaume unatakiwa uingize kidole chako kwenye uke wa mpenzi wako umbali kama wanchi tatu hivi kisha uwe kama unakunja kidogo kidole kwa juu ili uweze kugusa ukuta wa juu.  Punde tu ukigusa sehemu h...

KIFO CHA TYSON, KUNA KITU!

Image
Tatizo! Huku macho ya waigizaji na wadau wake hayajakauka machozi kufuatia vifo vya ghafla vya mwongoza sinema, Adam Philip Kuambiana (38) na mwigizaji Sheila Leo Haule ‘Recho’ (26), tasnia imempoteza mwingine, mwigizaji, prodyuza na mwongozaji filamu mahiri, George Otieno ‘Tyson’ (41). Jeneza lenye mwili wa George Tyson likiwa limehifadhiwa mochwari katika Hospitali ya Kairuki, Dar. Kufuatia kifo hicho ambacho pia ni cha ghafla, wadau mbalimbali wa filamu, wakiwemo wasanii wenyewe wamesimamia mawazo yao kwamba lazima kuna kitu! Tyson alifariki dunia Ijumaa usiku akiwa njiani kukumbizwa Hospitali ya Mkoa ya Rufaa Mkoa wa Morogoro kufuatia ajali mbaya ya gari iliyotokea maeneo ya Gairo, Morogoro. Katika ajali hiyo, mbali na marehemu walikuwemo watu wengine watatu ambao ni dereva, MC Gladness Chiduo ‘Zipompa’ na mwingine aliyejulikana kwa jina moja la Nick ambao walijeruhiwa vibaya na kupatiwa matibabu ya haraka. Msanii AY akisimamia utaratibu mzima wa kuandaa je...

AFYA:MADHARA YA UVAAJI WA SURUALI NA NGUO ZA NDANI ZINAZO BANA

Image
Dk alisema siyo tu kuhusu suruali za kubana, lakini nguo zozote za kubana siyo nzuri kuwa mavazi ya kila siku.    Alieleza kuwa mwili unahitaji kupumua, hali ambayo hufanyika kupitia kutoka jasho kwenye vinyweleo kwenye ngozi na jasho linatakiwa kukauka lenyewe taratibu. Dk   alisema ikiwa mtu amevaa jinzi ya kubana au nguo ya ndani ya kubana, jasho litagandana kwenye vinyweleo vya ngozi na wakati mwingine inaweza kusababisha magonjwa ya ngozi kama vile ‘fangasi’, maumivu ya mwili na vipele katika mapaja na sehemu zingine za siri. “Wanaume ambao wanavaa suruali za kubana wana hatari ya kupunguza kiwango cha mbegu za uzazi. Na wakati mwingine zinaweza kupungua kwa kiwango kikubwa na kumfanya mwanamume ashindwe kumpa ujauzito mwanamke,” alisema Dk Kafuuza. Dk   alisema suruali za kubana zina kawaida ya kusukuma ndani sehemu zinazotunza mbegu za uzazi za mwanamume, hali inayosababisha matatizo kama vile uvimbe na ngozi kubabuka. ...

ANGALIA PICHA MUME AMPIGA MKE WAKE KWA MCHI KICHWANI

Image
Mke wa mtu anayefahamika kwa jina la Pamela Said (30) anayedai kupigwa mchi kichwani na mumewe wa ndoa aliyemtaja kwa jina moja la Alex.  Mke wa mtu aliyejitambulisha kwa jina la Pamela Said (30) amedai kupigwa mchi kichwani na mumewe wa ndoa aliyemtaja kwa jina moja la Alex kisa kikiwa ni simu aliyopigiwa mumewe na hawara’ke.Tukio hilo la kusikitisha lilijiri Mei 23, mwaka huu nyumbani kwa wanandoa hao, Mwembe-Supu, Ulongoni maeneo ya Gongo la Mboto, Dar muda mfupi baada ya kutoka kwenye bata ndefu usiku. Habari zilidai kwamba kabla ya kugeukia masumbwi, wanandoa hao walikuwa kwenye ‘pub’ yao iitwayo Milano iliyopo maeneo hayo wakijiachia kwa raha zao. Bi. Pamela Said akiwa katika maumivu makubwa. Kwa mujibu wa chanzo chetu, ilibainika kuwa siku hiyo majira ya saa 5:00 usiku, Alex, akiwa amepitiwa na usingizi simu yake iliita huku jina la Salima likionekana kwenye ‘skriini’. Ilisemekana kwamba Salima aliwahi kuwa mfanyakazi katika pub yao ambapo Pamela ...

RAIS KIKWETE NA DIAMOND USO KWA USO, MANHATTAN, NEW YORK JIONEE HAPA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete masaa machache yaliyopita alipokutana na msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, Manhattan, katika jiji la New York.

ANGALIA PICHA DIAMOND ALIVYOWEKA HISTORIA NEW JERSEY‏ NCHINI MAREKANI

Image
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz anayekimbiza vibaya mno kwenye anga za Bongo Flava akipagawisha mashabiki wake New Jersey nchini Marekani. Diamond na madancer wake wakijaribu kukata kiu ya mashabiki wake wa pwani ya mashariki.  Wapenzi wa Diamond wakipagawa na show ya Diamond iliyofanyika All Star Club Elezabeth NJ. Shabiki akidata na show ya prezidaa wa Wasafi. Shabiki mwingine akidatishwa na moja ya wimbo wa Diamond na kushindwa kujizuia kupanda jukwaani. Mashabiki wa Diamond wakipagawa huku wengine wakipata taswira za hapa na pale.  All Star Club Elizabeth New Jersey; Diamond akikamua licha ya show kuchelewa kuanza na wapenzi wa Diamond kushikwa na jazba wakitaka aendelee lakini ikashindika kutokana na muda wa kufunga club kufika.  AJ nae akifanya yake baada ya kupewa nafasi ya ufunguzi katika show hiyo iliyofanyika New Jersey. AJ Ubao na Dirty Hary wakishambulia jukwaa kwenye show ya kufungua p...