TAMASHA LA KRISMAS LAZIDI KUPAMBA MOTO UWANJA WA TAIFA
Mgeni rasmi Waziri wa nchi katika ofisi ya waziri mkuu Uratibu wa Sera na Bunge Mh. William Lukuvi akizungumza katika tamasha hilo na kuwashukuru waimbaji wa muziki wa injili kwa kuendelea kuhubiri amani nchini lakini pia akawahakikishia kwamba serikali kitahakikisha amani iliyopo inadumu, kulia ni mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama na katikati ni Ezekiel Maige Mbunge wa jimbo la Msalala hivi punde atapanda jukwaani mwimbaji nguli wa muziki huo kutoka nchini Afrika Kusini Solomon Mahlangu ili kuhitimisha tamasha hilo kwa jiji la Dar es salaam. Mwimbaji Ephraim Sekereti akitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa wakati wa tamasha la Krismas linaloandaliwa na kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dar es salaam lillilofany.ka jioni hii Mwimbaji Ephraim Sekereti akifanya vitu vyake jukwaani jioni hii kwenye uwanja wa taifa Mgeni rasmi Waziri wa nchi katika ofisi ya waziri mkuu Uratibu wa Sera na Bunge Mh. William Lukuvi aki rejea kukaa mara baada ya kuzungumza na wa...