Posts

Showing posts from December 29, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI MSIBA WA MZEE MAARUFU WA CHATO ADMIRABILIS MBABE MANYAMA (82) CHATO MKOANI GEITA

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole    Bi Mugwe Mbabe ambaye ni Mke mkubwa wa Marehemu Mzee Maarufu Admirabilis Mbabe Manyama(82) mara baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu Chato mkoani Geita.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole Bi. Regina Mbabe mke mdogo wa Marehemu Mzee Maarufu Admirabilis Mbabe (82) Manyama mara baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu Chato mkoani Geita.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Deodatus Manyama wakwanza (kushoto) ambaye ni mdogo wa marehemu Marehemu Mzee Admirabilis Mbabe Manyama(82) mara baada ya kuwasili nyumbani kwa Marehemu Chato mkoani Geita.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Bi. Mugwe Mbabe mke mkubwa wa Marehemu Mzee Admirabilis Mbabe Manyama mara baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu Chato mkoani Geita. ...

SUPERSTAA DIAMOND PLATNUMZ ATOA TOFAUTI HII KUHUSU WATOTO WAKE

Image
Diamond amekuwa ni mmoja kati ya wasanii ambao wanaendesha maisha yao kibiashara, kuthibitisha hilo ni hivi tunavyoona mambo yanayo endelea kwenye familia yake. Kama ni mfatiliaji wa familia ya Bw. Nasib (Diamond) Abdul basi utakuwa tayari ushaona utofuti uliopo baina ya watoto wake wawili, hapa namzungumzia  Princess Tiffah  pamoja na  Prince Nillan. Kipindi mwanae wa kike Tiffah, baada ya kuzaliwa alikuwa ni mtoto ambae kapokea shamra shamra nyingi za hatari kutoka kwenye familia yake na kupata deal kubwa za matangazo katika umri mdogo lakini kwa Nillan ambe ni mdogo wake na Tiffah imekuwa si hivyo tulivyotarajia kuoa tulio wengi. Prince Nillan Je ni kwanini mbwembwe zilizo kuwepo kwa Latifah hazijawa kwa Nillan? Akipiga story na Clouds E! ya Clouds Tv, Diamond alisema  “Wanawake wameumbiwa mashauzi ndio maana Tiffah tumemshauzisha, lile ni dume (Nillan) linawinda, kwanza jina lake kutoka ilikuwa tatizo, tunabishana kila mtu anat...

DIAMOND, ALIKIBA, NAVY KENZO NA HARMONIZE WASHINDA WATSUPTV AFRICAN AWARDS 2016.

Image
Huenda mwaka 2016 ukawa unaenda kuisha vizuri kwa  wakilishi wetu kujinyakulia tuzo huko Ghana.Usiku wa December 28 2016 tuzo za  WatsUp TV Africa Music Video Awards 2016  ndio zilitangazwa  Accra Ghana , washindi 22 walitangazwa kupitia  Press Conference  wakiwemo wasanii wa  Tanzania  waliyofanikiwa kushinda tuzo hizo kwa mwaka 2016. Kama hufahamu  WatsUp TV Africa Music Video Awards  (WAMVA) ni tuzo ambazo zinaandaliwa na  WatsUP TV , zikiwa na lengo la kushawishi au kuhamasisha wasanii kufanya video za viwango vya juu pamoja na ubora. Kama hufahamu  WatsUp TV Africa Music Video Awards  (WAMVA) ni tuzo ambazo zinaandaliwa na  WatsUP TV , zikiwa na lengo la kushawishi au kuhamasisha wasanii kufanya video za viwango vya juu pamoja na ubora. Wametangazwa washindi 22 wasanii na waongozaji wa video 170 waliyokuwa wametajwa kuwania tuzo hizo wakati zinazinduliwa mwezi September 20...