Posts

Showing posts from January 26, 2014

ANGALIA PICHA SIMBA WALIVYOICHAPA RHINO RANGERS

Image
 Ramadhani Singano 'Mess' (kulia), akishangilia bao pekee aliloifungia timu yake katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Rhino Rangers ya Tabora katika mchezo uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam..  Ramadhani Singano akishangilia kwa staili ya aina yake baada kuifungia Simba bao pekee.    Ramadhani Singano akiipangua ngome ya Rhino Rangers ya Tabora.  Kipa wa Rhino Rangers, Charles Mpinuki akidaka pelnati ya mshmambuliaji wa Simba, ramadhani Singano 'Mess' katika mchezo wa Ligi Kuu.  Mshabiki wa Simba wakifuatilia mtanange huo. Beki wa Rhino Rangers, Julius Masunga akitafuta mbinu za kumtoka Haruna Chanongo wa Simba. Moja ya Jeka heka zilizotokea katika lango la Rhino Rangers. Mwamuzi wa pembeni, Frank Komba kutoka Pwani alilalamikiwa na wachezaji wa Simba baada ya kukataa moja ya goli lililofungwa na timu hiyo. Beki wa timu ya Rhino Rangers, Julius Masunga akiusindiki...

KOLETA NA MAPENZI YA ‘KURUKA UKUTA’

Image
  BISHOSTI anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ amefunguka kuwa analaani mastaa wanaokubali kutumiwa kimapenzi kinyume na maumbile akidai kuwa wapo ambao wamekuwa wakifanya kitendo hicho kwa tamaa ya pesa. Coletha Raymond ‘Koleta’. Akistorisha na Ijumaa, Koleta alisema anachukizwa na tabia hiyo kwani ni uchafu na kujidhalilisha kulikopitiliza. “Wanaume siku hizi ni matapeli sana, wengi wanataka kuwatumia wanawake kinyume na maumbile hivyo wasanii wa kike tuwe macho. Alishawahi kunitokea mwanaume mwenye heshima zake, alinipigia simu na kuniambia licha ya kuwa na mke kuna vitu anavikosa. “Nilipomuuliza ni vitu gani akaniambia anataka anitumie kinyume na maumbile na nichague zawadi isiyopungua milioni tano aniletee, nikakataa na kumwambia sifanyi biashara hiyo, ukweli mimi nakemea na ninawachukia sana wanaofanya mchezo huo,” alisema Koleta.

LULU AMUANIKA MCHUMBA WAKE LIVE HAYAWIHAYAWI

Image
hatimaye yamekua! Siku chache baada ya sexy lady wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ kutangaza sifa za mwanaume atakayemchumbia, amejitokeza mtu anayetaka kuchukua jumla na si siri tena, Amani limenyetishiwa. Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’. SIFA ZAKE Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa familia ya staa huyo anayekimbiza sokoni na filamu yake ya Foolish Age, mchumba huyo anaitwa Johnson lakini ni maarufu kwa jina la JR na pia ni Mkristo kama ilivyo kwa Lulu. JR ni mfanyabiashara kigogo wa jijini Dar mwenye ‘mahela’ ya kufa mtu. Pia mchumba huyo ni bosi wa kampuni kubwa ya uandaaji, usambazaji wa kazi za sanaa Bongo. ALISHAKWENDA KWA AKINA LULU “Kwa taarifa yenu, tayari JR anafahamika vizuri kwa akina Lulu kwani alishakwenda kujitambulisha na kuna maneno kwamba ndiye aliyempangia nyumba kubwa, Tegeta jijini Dar. “Unajua yule jamaa aliona fursa akaitumia. Baada ya Lulu kutoka mahabusu kwa matatizo ya kifo cha mwandani wake, Steven Kanumba ndipo JR ...

SIKILIZA PINI MPYA -"NJE YA BOX "- Joh Makini, Nikki wa II, Gnako (+playlist)

Image
Audio yake ilitoka February 14 2013 na ikamiliki headlines mpaka kuingia kwenye nyimbo 10 kubwa zilizokaa sana kwenye top20 ya Clouds FM, ‘nje ya box’ inaweza kuwa single pekee ya bongofleva ambayo video yake imefanywa miezi 10 baada ya audio kutoka. Joh Makini na Nikki wa II wamesema watapita hapa baada ya saa 7 kutazama maoni ya watu wa nguvu so usiache kutoa yako ya moyoni hapo chini mtu wangu Audio yake ilitoka February 14 2013 na ikamiliki headlines mpaka kuingia kwenye nyimbo 10 kubwa zilizokaa sana kwenye top20 ya Clouds FM, ‘nje ya box’ inaweza kuwa single pekee ya bongofleva ambayo video yake imefanywa miezi 10 baada ya audio kutoka. Joh Makini na Nikki wa II wamesema watapita hapa baada ya saa 7 kutazama maoni ya watu wa nguvu so usiache kutoa yako ya moyoni hapo chini mtu wangu - See more at: http://shiladeux.blogspot.com/2014/01/mabibi-na-mabwana-hii-ndio-video-mpya.html#sthash.sDBCZiS6.dpuf Audio yake ilitoka February 14 2013 na ikamil...

WASTARA KAZIDIWA NA KUMUANIKA KIDUME MPYAAAA MTANDAONI ....

Image
Msanii Wastara amepost picha hiyo hapo juu aliyokumbatiwa na mwanaume. Mwenyewe ameandika kuwa ameshasahau kukumbatiwa. Kumbatio hilo lilionyesha dhahiri kuwa ameli-feel maana ameonyesha kurembua macho kiasi kwamba inaleta maswali jamaa huyo ni nani kwake?  Tunajaribu kufuatilia na tutakachokipata tutakileta kwenu wadau na wapenzi wa msani huyo,

PENNY AAMUA KUFUNGUKA KUHUSU KUVUNJIKA MAPENZI YAO NA DIAMOND..HUU NDIO UKWELI NA NINI KINAENDELEA SASA.

Image
  Mtangazaji na meneja wa vipindi wa kituo cha runinga cha DTV, Penniel Mwingila aka VJ Penny, amesema kuwa yeye na mpenzi wake, staa wa ‘My Number One’, Diamond Platnumz, wamepeana nafasi ili kila mmoja kutafakari anachotaka maishani. Kauli ya Penny kwenye mahojiano maalum na Bongo5 TV, inajibu maswali ya wengi kuhusiana na kama wawili hao wapo pamoja au wameachana baada ya Diamond na mpenzi wake wa zamani, Wema Sepetu kurudiana tena. Katika interview hiyo, Penny ameongea pia kuanzia historia yake, namna alivyoingia kwenye utangazaji, alivyokutana na Diamond, mapenzi yao yalivyokuwa, alivyojisikia baada ya kuona picha za Wema na Diamond, maisha yake ya sasa na mipango yake ya mwaka huu. Akizungumzia kuhusu alivyojisikia baada ya kuona picha za Diamond akiwa na Wema, Penny amesema yeye pia alishangaa kama watu wengine walivyoshangaa kuziona. “Mimi ni mtu ambaye utaniambia ‘fulani amefariki’ na sitakiamini mpaka nione kabisa huyu hapa amekufa,” amesema Penny. “Ni...