MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI AKUTANA NA RAIS JAKAYA KIKWETE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (kulia) akibadilishana mawazo na Rais Jakaya Kikwete IKULU Leo Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadili mambo mbalimbali. Rais Jakaya Kikwete akijadiliana na Ujumbe Maalum Ukiongozwa na Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (wa kwanza Kulia) ikulu jijini Dar es Salaam Leo Rais Jakaya Kikwete akipitia baadhi ya sampuli za vitambaa vya nguo vinavyotumiwa na mbunifu wa mavazi wa kimatafaifa Sheria Ngowi (kulia)IKULU Jijini Dar es Salaam LEO,Kushoto ni Makamu wa Rais wa Sheria Ngowi Brand Haki Ngowi. Rais Jakata Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe Maalum Kutoka Sheria Ngowi Brand Ukiongozwa na Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (wa pili kushoto) Makamu wa Rais wa Sheria Ngowi Brand Haki Ngowi (wa pili Kulia) Mkuu wa Kitendo cha Biashara na Matangazo Deo Kessy (wa kwanza kushoto) na Kiongozi wa idara ya habari kutoka Sheria Ngowi Brand Atunza Nkrulu (wa kwanza Ku...