Posts

Showing posts from December 26, 2013

LIGI KUU ENGLANG MAN UTD WAICHAPA HULL CITY 3

Image
Hull 2 Manchester United 3 Time to celebrate: Man United have moved to within five points of leaders Liverpool having played a game more All white on the night: The own goal came from Ashley Young's cross midway through the second half Head in hands: James Chester turns from hero to zero after scoring the decisive goal in the second half Danny Graham spurned a fine chance to equalise in the 87th minute, with Chester also going close at the death after Antonio Valencia picked up a late red card.  Back of the net: The England international watches his first-half strike sail into the top corner On target: Wayne Rooney unleashes from distance to score his 150th Premier League goal for Manchester United Heads up: Chris Smalling rises highest from Rooney's free-kick to score for the visitors with 19 minutes gone Back in the game: The United defender wheels away in celebration after scoring his side's...

MWILI WA ALIYEKUWA KOCHA WA MAKIPA SIMBA MAREHEMU JAMES KISAKA WAAGWA JIJI DAR

Image
  Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Kocha wa makipa wa Simba, marehemu James Kisaka likiingizwa kwenye basi la klabu hiyo, baada ya kutolewa heshima za mwisho katika misa iliyofanyika katika Kanisa la Muhimbili, Dar es Salaam. Marehemu Kisaka atasafirishwa kwenda kwao wilayani Muheza, Tanga kwa mazishi yatakayofanyika kesho.   Benny Kisaka ambaye ni mdogo wa marehemu James Kisaka akisoma wasifu wa marehemu kakake. Aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Simba, Jamhuri Kihwelo 'Julio', (kushoto) akijadiliana jambo na baadhi ya wachezaji wa soka waliokwenda kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu James Kisaka.  Mjane wa marehemu James Kisaka, Teddy Kisaka akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mumewe Mjane wa marehemu James Kisaka, Teddy Kisaka akifarijiana na mtoto wa pili wa marehemu Kisaka, Boniface baada ya kutoa heshima za mwisho.  Ndugu wa karibu wa marehemu Kisaka akilia alipokuwa akitoa heshima za mwisho  Mtoto wa mwisho wa ...

ANGALIA PICHA NAMNA SAMWEL ETOO ALIVYOSHEREHEKEA SIKUKUU YA XMASS

Image

TUFUNGE MWAKA KWA KUJUMUIKA KATIKA MKUTANO MKUU WA MIUJIZA YA BARAKA KATIKA VIWANJA VYA USHIRIKA-MOSHI

Image
Kanisa la CHRIST EMBASSAY MOSHI linapenda kuwaaalika watu wote kujumuika kufunga mwaka kwa Mkutano mkuu  kwa kupokea miujiza ya baraka kutoka kwa wahubiri mashuhuri na kwaya mbalimbali toka ndani na nje ya nchi. kumbuka kuja na ndugu,jamaa, marafikina watu wote katika Viwanja vya ushirika Moshi kuanzia saa 12:00 Asbh mpk 2:00 usiku tarehe 28/12/2013.   WATU WOTE MNAKARIBISHWA KWANI HAKUTAKUWA NA KIINGILIO CHOCHOTE. KARIBUNI TUMSIFU MUNGU KWA SALA NA NYIMBO .

ANGALIA PICHA YANAFANYIKA KWENYE CLUB ZA HUKO KENYA,WANAWAKE WALIVYOWATUPU JUKWAANI

Image
ANGALIA PICHA ZAIDI

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HII MWANAMKE AOZA MAKALIO YALIYOSABABISHWA NA MATUMIZI YA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIO

Image
Adha hii imempata mwanamke huyu baada ya kuanza kuona ngozi yake imeanza kuwa laini kasi kwamba alianza kumomonyoka taratibu mwisho wa  siku alijikuta ameoza wanawake wengi huwa wanajikuta wanaingia katika taabu hizi kwa kufuata mkumbo

MALIKIA LEILA RASHID AKIWADATISHA MASHABIKI WA DAR LIVE...!

Image
Mwimbaji wa Jahazi Modern Taarab ambaye pia ni mke wa Mzee Yusuf, Leila Rashid akiwapagawisha maelfu ya mashabiki waliofurika katika Uwanja wa Burudani wa Dar Live usiku huu. Mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live leo. (PICHA ZOTE NA MUSA MATEJA / GPL)

NJEMBA YAOMBA USHAURI KUHUSU MKEWE KUNG'ANG'ANIZA MAPENZI YA KINYUME NA MAUMBILE MAARUFU KAMA (MINI KABANG...)!

Image
Habari yako Mnyetishaji..... Please hide my name , mimi ni kijana wa kitanzania nina mke na mtoto mmoja kwa muda wa miaka miliwili sasa nimekuwa nikisoma UK Deree yangu ya pili , kwa sasa nimemaliza nimerudi Tanzania , sasa cha ajabu ambacho sikielewi ni kuwa kila nikikutana na mke wangu anataka nimwingilie kinyume na maumbile.. yaani sometimes anaipeleka mwenyewe huko sehemu kwa siku kama mbili nimekuwa nafanya bila kujua imeingia huko... sasa nimejua nimemkalisha kikao lakini haeleweki hajanipa jibu la maana paka sasa... nahisi wakati mimi nipo uk kuna mtu alikuwa anamchezea sasa imekuwa hawezi sikia raha mpaka afanye hivyo .. mimi ninajua madhara ya huo mchezo siwezi kabisa kufanya kwa mke wangu ... swali linakuja hapa sasa nisipomfanyia ina maana ataendelea na hao jamaa zake wanao mfanyia ...sasa sijui nifanyaje ..

HUYU HAPA NDIO DEMU WA MR. BLUE ALIYEZAA NAE .... MR BLUE AMWAGA YOTE KUHUSU WAO LIVE

Image
Mr Blue na mwanae Sameer Hitmaker wa Pesa, Mr Blue aka Kabayser amesema tangu awe baba, maisha yake yamebadilika na haishi kama zamani tena“Nafikiri kwa mimi imenikuza zaidi,” Blue aliiambia tovutui hii . Hata hivyo amesema pamoja na kuwa baba, majukumu aliyonayo hayajabadilika sana japo kwa sasa amekuwa yeye binafsi na familia yake. “Kilichobadilika kwangu ni bidii kuongezeka inabidi niangalie familia yangu iandaje.” Wahyda (mchumba wake na Blue) akiwa na mwanae Sameer “Ni mtu kwakweli kama baba yake na mimi nafurahi,” Blue amemuongea mwanae huyo wa kiume aitwaye Sameer. “Inabidi amrithi baba yake tu kwa uchakarikaji na kila kitu.” Wahyda Katika hatua nyingine Mr Blue amesema tayari amemalizia mjengo wake na anatarajia kuhamia tarehe 1 January 2014