Posts
Showing posts from September 22, 2013
Familia ya Nditi yazidi kutesa England
- Get link
- X
- Other Apps
FAMILIA ya kiungo wa zamani wa Kikwajuni na timu ya taifa ya Zanzibar, Eric Nditi inaendelea kutesa katika soka la Ulaya baada ya watoto watatu wengine wa staa huyo kuibukia katika timu ya vijana ya Reading iliyo Ligi Daraja la Kwanza, England. Wakati kaka yao, Adam Nditi akiwa ameingia kikosi cha kwanza cha Chelsea, mdogo wake anayemfuatia, Roberto Nditi (13) yuko katika kikosi cha timu ya Reading chini ya miaka 14, na mapacha wawili (pichani) wanaofuatia, Zion na Paolo (8) wako katika kikosi cha Reading chini ya miaka 10. Akizungumza na Mwanaspoti kutoka Basingstoke, Uingereza, Nditi alisema kwamba watoto wake mapacha walitakiwa na Chelsea lakini akashindwa kuwapeleka kwa sababu ya kushindwa kugawanya muda. "Hawa Zion na Paolo walichukuliwa na Reading ingawa Chelsea iliwataka kwa sababu ningeshindwa kumudu kumpeleka kaka yao Reading kisha niwe nawapeleka wao London. Ndio maana nikaamua wote wakulie Reading," alisema Nditi. Chan
KINANA,NAPE WAZURU KABURI LA BABA WA TAIFA HAYATI JULIUS NYERERE
- Get link
- X
- Other Apps
Katibu Mkuu wa CChama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katikati akiweka shada la maua kwenye kaburi la Hayati. Mwalimu Julius K. Nyerere huku Nape Nnauye Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi akishuhudia tukio hilo. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katikati akiwa katika picha ya pamoja na Andrew Nyerere Mtoto wa Kwanza wa Baba wa taifa Mwalimu Julius K. Nyerere wakati alipozuru kaburi la Mwaasisi huyo wa taifa la Tanzania Mwitongo, Butiama Nyumbani kwa mwalimu Mkoani Mara jana, Kinana alifanyakazi na Andrew Nyerere wakati wakilitumikia Jeshi la Ulinzi la wananchi la Tanzania (JWTZ), Katibu Mkuu huyo jana aliendelea na ziara yake katika wilaya ya Butiama katika kuimarisha chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi, Kinana ataendelea na ziara yake katika Wilaya ya Serengeti leo. Kushoto ni Nape Nnayue Katibu wa (NEC) Itikadi Siasa na Uenezi.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-BUTIAMA MARA
WANAUME WAWILI WAKAMATWA NA KICHWA CHA MTOTO.
- Get link
- X
- Other Apps
Two men were on Friday in Ibadan paraded by the police for possessing a decomposing human head. One of the men, Seyi Akinola, was arrested in an ambush operation by the police while Ajitoni Ogundeji was named by Akinola as his accomplice in the crime. Ogundeji, who is a farmer and a hunter, was alleged to have instructed Akinola to bring a human head to prepare a charm that would protect him from gunshot. Akinola, who is also a hunter, had complained to Ogundeji that he experienced frequent robbery attacks on the road whenever he travelled. While on hunting expedition at night about two weeks ago, Akinola allegedly saw the corpse of a dead mad woman in a bush. He later cut off the head and hid it on a tree to decompose. Ten days later, he returned to pick the head at the place where he kept it but unknown to him, the community had alerted the police after discovering the head on the tree. After walking into the ambush,
VIOJA MAHAKAMANI MTUHUMIWA AJISAIDIA MBELE YA HAKIMU
- Get link
- X
- Other Apps
KIOJA cha mwaka kilitokea Jumatano wiki hii katika Mahakama ya Jiji ya Sokoine Drive jijini Dar es Salaam, baada ya mkazi mmoja wa Buguruni, Hassan Omary kujisaidia haja kubwa kizimbani wakati akisomewa shtaka lake la uzururaji.Mwendesha mashitaka wa mahakama hiyo, Richard Magodi alikuwa akimsomea shtaka hilo, mbele ya Hakimu Mfawidhi, William Mutaki na alipotakiwa kukiri au kukanusha kosa lake, mtuhumiwa huyo alibaki kimya akiwa amemtumbulia macho hakimu. Katika hali isiyotarajiwa, mtuhumiwa huyo alionekana akijikamua kama anayejisaidia na ghafla, harufu kali ya kinyesi ikatanda mahakamani hapo.Hakimu alitahayari kufuatia tukio hilo, kwani aliziba pua yake kwa kutumia koti lake na kuuliza chanzo cha mtuhumiwa kufanya kitendo hicho kortini, lakini katika hali iliyoashiria kama ni kiburi, kijana huyo hakujibu chochote zaidi ya kutazama chini, licha ya swali hilo kurudiwa zaidi ya mar
WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AKIWA ZIARANI KARATU
- Get link
- X
- Other Apps
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza katika Mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika uzinduzi wa Maktaba ya Shule ya Sekondari ya Banjika wilayani Karatu Septemba 20, 2013. Katikati ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya makzi, Profesa Anna Tibaijuka. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo yaMkazi, Profesa Anna Tibaijuka wakitembelea maktaba yaShule ya Sekondari ya Banjika ya wilayani Karatu ambayo ilizinduliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Septemba 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Tangi la Maji katika Kijiji cha Gykrum Arusha wilayni Karatu Septemba 20, 2013. Wapili kushoto ni mkewe Tunu na kushoto ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na
HAPPINESS WATIMANYWA NDIYE MSHINDI WA REDD'S MISS TANZANIA 2013
- Get link
- X
- Other Apps
Happiness Watimanywa akipungia mkono mara baada ya kutangazwa mshindi wa Taji hilo kwa mwaka huu.Kushoto ni mshindi wa pili,Latifa Mohamed na kushoto ni mshindi wa tatu, Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2013 wakiwa jukwaani usiku huu wakati wa Onyesho la Taifa la Urembo linalofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2013 wakifungua shindano la mwaka huu kwa kuonyesha ufundi wao wa kucheza muziki. Shindano la mwaka huu ambalo limedhaminiwa na kampuni ya vinywaji Tanzania.Tanzania Breweries Limited kupitia kinywaji cha Redds limefanyikia katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar-es-salaam. Jumla ya warembo 30 kutoka mikoa mbalimbali,vyuo nk wameshiriki. Warembo walioingia hatua ya kumi na tano bora Jaji Mkuu wa Shindano la Redd's Miss Tanzania,Dkt. Ramesh Shah akitangaza Warembo walioingia hatua ya tano bora. Warembo walioingia hatua ya tano bora
KI- BABU CHA MIAKA 92 CHAFUNGA NDOA NA BINTI ALIYEMZIDI MIAKA 70.
- Get link
- X
- Other Apps
Musali Mohammed al-Mujamaie (kulia) akiwa na mkewe, Muna Mukhlif al-Juburi. Mkulima mmoja nchini Irak mwenye miaka 92 amemuoa mwanamke waliyetofautiana miaka 70 katika ndoa tatu kwa mpigo sambamba na wajukuu zake wa kiume wawili. Musali Mohammed al-Mujamaie alimuoa mke mwenye umri wa miaka 22, Muna Mukhlif al-Juburi katika sherehe iliyodumu kwa masaa manne. Wajukuu zake wa kiume, wenye umri wa miaka 16 na 17, nao walifunga ndoa kwenye sherehe hiyo iliyofanyika kaskazini mwa Baghdad Alhamisi iliyopita, kwa mujibu wa ripoti. Mzee Mujamaie alisema kwenye siku hiyo maalum alikuwa akisubiria kwa muda mrefu kutokana na harusi za wajukuu zake kuwa zinaahirishwa mara kadhaa ili aweze kuunganisha na sherehe yake. Alieleza: "Nina furaha sana kuoa pamoja na wajukuu zangu," Mzee Mujamaie alisema baada ya sherehe hiyo ya masaa manne. "Najihisi kama mwenye umri wa miaka 20!" Mzee Mujamaie aliwalea watoto wake 16 kw
ANGALIA PICHA ZA KUSHANGAZA ZA NDOA YA JINSIA MOJA KWELI DUNIA IMEKWISHA
- Get link
- X
- Other Apps
Mashoga na Wasagaji wamefunga ndoa iliyoshuhudiwa na mamia ya watu katika Kisiwa cha Rhodes Island na Minnesota jana nchini Marekani. UKISTAAJABU YA MUSA, UTAYAONA YA FIRAUNI… Ripoti mbalimbali Agosti Mosi mwaka huu nchini Marekani, zinasema kuwa kwa sasa nchini Marekani zaidi ya robo ya Wamarekani wanaunga mkono ndoa za jinsia moja na makanisa mbalimbali yameingia na kuendelea kufungisha ndoa za aina hiyo. Usiku wa kuamkia leo (kwa saa za Afrika Mashariki) katika Jimbo la Minnesota kumelipuka nderemo na vifijo pale mashoga Zachary Marcus na Gary McDowell walipobadilisha hati za viapo katika ukumbi wa Jiji wa Providence (Providence City Hall) mbele ya Meya wa Jiji hilo Angel Taveras. McDowell (28) mtafiti katika Harvard Medical School aliyezaliwa Northern Ireland na kwa mujibu wa sheria za taifa hizo kwa sasa zinampa haki ya kuweza kuishi na kuwa na maka