Posts

Showing posts from September 24, 2013

IRINE UWOYA AAMUA KUMPARAMIA MANAIKI SANGA ... NI MAHABA MAZITO TU KWENYE PICHA HIZI ...

Image
Wasanii Manaiki Sanga na Irene Uwoya wakiwa kwenye picha za mahaba huku Uwoya akigida bieeeee hadi kuche . Na Mwandishi Wetu Mtandao hatari wa habari wa Xdeejayz kwa mara nyingine umekuwa wa kwanza kunasa picha za wasanii mastaa toka kiwanda cha bongo movie Manaiki Sanga na Irine Uwoya zikiwaonesha wakiwa kwenye mahaba mazito huku Irine akiwa ho kwa kiraji “pombe”. Habari makini toka chanzo chetu makini ambacho ni rafiki wa karibu na Irine Uwoya kilisema Irine na Manaiki kwa sasa wako kwenye mahusiano ya karibu kiasi cha kuzua minong’ono kwa kudhani huenda wanamahusiano ya upande wa pili. Hata hivyo chanzo hicho kiliendelea kusema kwa picha hizo zinadaiwa kupigwa katika viunga vya Club Maisha ambako walienda kula bata usiku kucha na hapo inaonekana ni asubuhi. Aidha xdeejayz ilifanya juhudi za kuwatafuta wasanii hao ili kuweka bayana kuhusu picha zao hizo za mahaba na Uwoya ndiye aliyeanza kuvutiwa waya la

ANGALIA PICHA SHUGHULI ILIVYOKUWA PEVU KUWAKAMATA MAGAIDI NDANI WESTGATE,JESHI LINASTAHILI PONGEZI

Image
Siege: Kenya security personnel take cover outside the Westgate Mall after shooting started inside the mall early Monday morning, Sept. 23, 2013 Assault: Kenya Security personnel take cover outside the Westgate Mall after firing started inside the mall early Monday morning - Kenya's military launched a major operation at the upscale Nairobi mall and said it had rescued "most" of the hostages Ongoing Military Operation: Kenya security personnel take cover outside the Westgate Mall Waiting and Watching: Onlookers gather on a hill to observe the Westgate Mall after a bout of heavy gunfire just after dawn in Nairobi, Kenya Monday, Sept. 23, 2013 kwa picha zaidi bofya soma zaidi Standoff: A Kenyan police officer (L) and a Kenya Defense Forces soldier (R) prepare for an incoming fire at the Oshwal Centre adjacent to the Westgate shopping mall where the hostage situation continues in Nairobi, Kenya on early Monday