Posts

Showing posts from January 9, 2017

WAWILI WAUAWA KWA KUCHOMWA MOTO KWA TUHUMA ZA UJAMBAZI

Image
Watu wawili wanaodhaniwa kuwa majambazi wameuawa kisha kuchomwa moto katika kijiji cha Ifumbo Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya katika jaribio la kufanya uhalifu eneo la machimbo ya dhahabu ya Kasanga Lupa Market.  Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Afisa Mtendaji wa kijiji cha Ifumbo Emily Rajab amesema waliouawa wametambuliwa kwa majina ya Paschaly Paul Simchimba mkazi wa Ileya Lupa Market na Tegemeo Henus mkazi wa Mjele ambapo waliouawa na wananchi waliamua kujichukulia sheria mkononi walipokuwa wakichukuliwa maelezo katika ofisi ya mtendaji.  Rajabu amesema alitoa taarifa kituo cha Polisi Chunya lakini wakati wakimsubiri kufika wananchi walimtimua Mwenyekiti wa kijiji na yeye kisha kuwafunga kamba majambazi hayo na kuanza kuwapiga kwa silaha mbalimbali kisha kuwachoma kwa kutumia magurudumu ya gari. Polisi walifika walikuta miili imeteketea kabisa.  Uchunguzi wa awali umeonesha marehemu walikuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka thelathini jela mw...

ANGALIA NAFASI YA KAZI KUTOKA UBALOZI WA MAREKANI

Image
EMBASSY OF THE UNITED STATES OF AMERICA The US Mission Dar es Salaam is seeking the eligible and qualified applicants for the pst below POSITION: INFORMATIONS RESOURCES CENTRE DIRECTOR VACANCY NUMBER: 16/137 A copy of the complete position descriptions listing all duties responsibilities and qualifications required is available HERE HOW TO APPLY Effective immediately only online applicants will be acceptable via DarRecruitment@state.gov Applicant must follow instructions in the notice on the website Failure to do will result in incomplete applications Deadline is 19 January 2017 Source Daily News January 5, 2017

ANGALIA NAFASI YA KAZI KUTOKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA UNICEF

Image
Human Resources Officer, NOB, Dar es Salaam, TANZANIA (For Nationals only) Job Number: 502262 Location: United Republic of Tanzania Work Type : Fixed Term Staff If you are a committed, creative professional and are passionate about making a lasting difference for children, the world’s leading children’s rights organization would like to hear from you. For 70 years, UNICEF has been working on the ground in 190 countries and territories to promote children’s survival, protection and development. The world’s largest provider of vaccines for developing countries, UNICEF supports child health and nutrition, good water and sanitation, quality basic education for all boys and girls, and the protection of children from violence, exploitation, and AIDS. UNICEF is funded entirely by the voluntary contributions of individuals, businesses, foundations and governments. Purpose of the Position Under the supervision of the Chief of Operations/HR Manager, manage all...

ANGALIA NAFASI YA KAZI KUTOKA AZANIA BANK

Image
Description Azania Bank Limited is the first indigenous private bank in the United Republic of Tanzania, formerly known as 1st Adili Bancorp Limited established in 1995 following the liberalization of the banking sector. The Bank is currently owned over 90% by Pension funds Azania Bank Limited being a full commercial bank offers a range of banking services, which includes funds transfers domestically and internationally through TISS, Western union and Money gram. At Azania Bank Limited Customers can open Current (Business/ Cheque) accounts and various savings accounts for SMEs, Children and students. Azania Bank Ltd offers a wide range of loan products, such as business loans, Consumer loans and Mortgage facilities. 1.1 MANAGING DIRECTOR 1.1.1 REPORTING Reporting to the Board of Directors, the Managing Director is responsible for providing a strategic direction to the bank by ensuring effective and efficient operations across the bank network. 1.1.2 DUTIES AND RESPONSIBI...

MTABIRI ATABIRI VIFO VYA VIONGOZI ,SIASA WASANII NA WANAHABARI TANZANIA

Image
Mnajimu, Maalim Hassan Yahya Hussein ametabiri vifo vya viongozi mbalimbali wa kidini, kisiasa, wasanii pamoja na wanahabari kama vilivyotokea kwa mwaka 2016. Hassan Hussen ameyasema hayo leo alipokuwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jiji Dar es Salaam kuhusu utabiri wake wa mambo mbalimbali yatakayotokea mwaka huu. Akiwa katika mkutano huo alitaja baadhi ya mambo ambayo anaamini yatatokea mwaka huu ikiwa ni pamoja na kutokea kashfa kubwa sana ya ngono au fumanizi itakayowahusu viongozi wa dini, siasa na wasanii maarufu itakayosababisha viongozi hao kufedheheshwa na kuanguka kabisa katika tasnia zao. Alisema pia kuwa, viongozi wakubwa wa upinzani duniani na Tanzania watarejea kwenye vyama walivyovihama miaka ya nyuma kutokana na sababu mbalimbali. Mwaka huu pia kutakuwa na vifo vya viongozi wakubwa maarufu wa kisiasa na kidini, baadhi ya vifo vitakuwa ni vya ghafla ambavyo vitasababishwa na msongo wa mawazo na shinikizo la damu. Vifo vya ...