Posts

Showing posts from January 18, 2018

NI NINI MAANA YA MAPENZI

Image
Katika kuongelea suala zima la mapenzi ni vigumu kujua maana halisi ya mapenzi kwa maana halisi ya mapenzi ni kutokana na mtu mwenyewe anavyoona. Lakini kwa ujumla mapenzi ni ile hali ambayo watu wawili wanaingia katika mahusiano ambayo yanabeba mambo mengi iliwemo uvumilivu,kuchukuliana katika mambo yote yanayo husu maisha kwa ujumla. MSINGI HASA WA MAPENZI  UVUMILIVU HEKIMA BUSARA UPENDO UWAZI HESHIMA 1-Uvumilivu katika mapenzi ni suala la msingi sana kwani kama nilivyotangulia kusema kuwa mapenzi ni kama safari ambayo ina mambo mengi ikiwemo mateso na mabadiko mbali mbali. kwa hiyo bila uvumilivu ni kazi bure. 2-Hekima ni hali ya kunyenyekea. ili mapenzi yaweze kuwa mapenzi lazima kuwe na unyenyekevu wa kutosha. 3 Busara ni hali ya kutengeneza uelewano na kuondoa tofauti eitha ya ki maneno au matendo. 4 Upendo ni hali ya kutengenza imani imara na sawia baina yenu wawili. 5 Uwazi ni hali ya kusomana na kufamiana ki myoyo kimwili na kifikra ...

MAGAZETI YA LEO 18/1/2018

Image