Posts

Showing posts from May 25, 2014

Idadi ya Wanawake wanaoendesha Ndege, Treni, Malori na Mabasi Tanzania imetajwa na Wizara ya uchukuzi

Image
Ni mara chache sana tunapata takwimu kama hizi kutoka kwenye ngazi ya juu ya serikali ya Tanzania ndio maana hii stori imekua kubwa baada ya kutolewa na Waziri wa uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe bungeni Dodoma May 24 2014. Waziri Mwakyembe amesema pamoja na ugumu wa kazi ya udereva Tanzania kuna madereva Wanawake watatu wa mabasi makubwa na Wanawake wawili wa malori ya mizigo kwenda Lubumbashi Congo. Vilevile kuna Wahandisi Wanawake 15 wa mitambo kuongozea ndege, kuna Wanawake 8 madereva wa Treni, marubani 8 Wanawake, waongoza ndege 16 Wanawake. Huyu ni mmoja kati ya Wanawake Makondakta kwenye jiji la Dar es salaam ambao niliowaona kwa macho yangu ni zaidi ya watatu.

Angalia Picha za show ya KILI TOUR Moshi Kilimanjaro

Image
Ni show ambayo ilifanyika kwenye uwanja wa Ushirika Moshi Kilimanjaro na kuhudhuriwa na idadi kubwa ya watu wa nguvu wanaosupport bongofleva kuona list ya wakali akiwemo Ommy Dimpoz, Ney wa Mitego, Profesa Jay, WEUSI, Ay na FA, As

VIONGOZI WA MBWA MWITU NA PANYA ROAD WATIWA MBARONI DAR

Image
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwakamata viongozi sita wa makundi ya uhalifu maarufu kwa majina ya Mbwa Mwitu na Panya Road.Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kamishna wa Polisi wa kanda hiyo, Suleiman Kova, aliwataja viongozi hao kuwa ni Athumani Said (20), Joseph Ponela, Clement Petter (25) na Romans Vitus (18) wakazi wa Kigogo. Wengine ni Mwinshehe Adamu (37) mkazi wa Temeke na Daniel Petter (25) mkazi wa Yombo, huku kamanda huyo akibainisha kwamba maeneo yenye vijana hao wahalifu ni Kigogo, Magomeni, Tabata, Manzese na Mbagala ambapo askari wa kutosha wapo kwa lengo la kuwadhibiti. aliwaonya wanaoeneza uzushi kwamba makundi hayo ya wahalifu yamevamia maeneo hayo jambo alilodai kuwakosesha wananchi amani huku akisisitiza kuwa si kweli.Alisema uchunguzi wa jeshi hilo umebaini kwamba chanzo cha uvumi huo ni baada ya mauaji ya vibaka wawili walihusishwa na makundi hayo yaliyotokea Mei 18 na Mei 20 mwa...

REAL MADRID YAICHAPA ATLETICO MADRID 4-1 NA KUTWAA `DEBE` LA 10 LA UEFA, BALE NI KIBOKO

Image
Gareth Bale aliifungia bao muhimu Real Madrid katika fainali ya UEFA.  Bale akinyanyua kombe la UEFA Bale akiwa na bendera ya nchi yake wakati akishangilia ushindi wa Real Madrid. Nahodha Iker Casillas akinyanyua kombe

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI TAREHE 25.05.2014

Image
MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI