Posts

Showing posts from December 20, 2014

BIRTHMARK ARE DISCOLORED AREA ON THE SKIN THAT APPER AT BIRTH

Image
Birthmarks are discolored areas on the skin that appear at birth or shortly after birth. Most birthmarks are not cause for concern. In most cases doctors don’t know why birthmarks appear, and  there is nothing that can be done to prevent them. Here's the list of the most rare birthmarks that challenged medical science: 1. Zhang Hongming from Chongqing, south-eastern China, is nicknamed “Chimpanzee.” He appealed to doctors for help in getting rid of the thick black hair that covers part of his body. The man has a rare birthmark that also covers a large part of his body. 2. Connie Lloyd was born with a benign tumor that grew to cover her nose. She was told that the rare condition could not be cured. However, the shy little girl has a reason to smile at last after surgeons defied the odds and left her with a “nose like mum’s.” PICHA KIBAO BOFYA HAPA>>

UBOVU WA MELI YA MV VICTORIA WAZUA MAKUBWA, ABIRIA WAANDAMANA HADI KWA MKUU WA MKOA

Image
Meli ya MV Victoria inayofanya safari zake kutoka mkoani Kagera kuelekea jijini mwanza  imezuiliwa kuondoka mjini bukoba kutokana ubovu ilionao hali ambayo imewalazimu wananchi waliokuwa wanataka kusafiri na meli hiyo kuandamana hadi kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kagera kwa ajili ya kutoa malalamiko yao. Wakiongea   nnje ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kagera  John Mongela wananchi hao wamelalamikia kuto kuwepo kwa usafiri wa meli kwa zaidi ya mwezi moja  sasa na kwamba jana meli hiyo imewasili mjini Bukoba na kuambiwa wapakie mizigo yao ndani ya meli hiyo kwaajili ya kuisafirisha  kutoka mkoani kagera kueelekea jijini Mwanza ambapo wamesema wamepakia mizigo yao ndani ya meli hiyo na leo wameambiwa meli hiyo haitosafiri kutokana na meli hiyo kuwa na hitilafu tangu muda mrefu na kwamba mazao yao biashara sasa  yamekuwa yakiharibika ndani ya meli hiyo  hali Ambayo imewalazimu wananchi hao kuandamana mpaka kwenye ofisi za mkuu wa mko...

CHADEMA WATOA MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI KUU

Image
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya chama hicho iliyokutana juzi juzi. Kulia ni Mkurugenzi wa Bunge na Uchaguzi, John Mrema. (Na Mpiga Picha Wetu) Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya chama hicho iliyokutana juzi juzi. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika na kulia ni Mkurugenzi wa Bunge na Uchaguzi, John Mrema.  Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari.

WEMA BADO ANAMUWAZA DIAMOND ,WEMA SEPETU AMEPANIKI

Image
Usiku wa juzi tarehe 18, jiji la Kampala nchini Uganda ulipambwa na “EVENTS” mbili mkubwa kwenye upande wa burudani ambazo ni Show kubwa ya mwanamuziki Jose Chameleone iliyofahamika kama 1Man Show Million na Pati ya mwanamama Zari iliyofahamika kama Zari All White Ciroc Party. Mwigizaji Wema Sepetu na mwanamziki Diamond Platnumuz wote walitua nchi humo na kugawana matukio hayo kama ifuatavyo; Wema Sepetu ambae anadai ni amekuwa shabiki mkubwa wa msanii Jose Chameleone alitokea nchini Ghana na kutua jijini Kampala kuhudhuria show ya mwanamuziki huyo ambayo ilifanyika Serena Hotel. Wakati Diamond Platnumz ambae kwa sasa ana “Le Project” na mwanamama Zari alihudhuria pati ya Zari kama “Special Guest”.Baadhi ya watu wamechukulia kitendo hiki ni kama mwanadada Wema “Amepaniki” hivi, huku wengine wakisema kuwa Wema ana uhuru wa kufanya kile anachokitaka bila ya kuhofia watu watasemaje. Jambo hili halijatokea kwa bahati mbaya kwani wiki kadhaa zilizopita, Diamond alipoon...