Posts

Showing posts from July 14, 2013

PICHA ZA AJALI YA FUSO BAADA YA KUGONGANA NA BASI LA METRO COACH LEO MOSHI

Image
  Huu ni upande wa mbele wa fuso iliyopata hitilafu katika breki na kusababisha ajali.  Hii ni fuso iliyokuja kuchukua (kufaulisha) mzigo uliokua kwenye fuso iliyopata ajali. NA  http://kingjofa.blogspot.com Baadhi ya watu wakiwa katika eneo la ajali wakifaulisha mzigo wa ndizi katika fuso nyingine.   Aliyesimama ni team leader wa #team KINGJOFA akiwa anamujulia hali kondakta wa basi la Metro coach katika hospitali ya rufaa ya KCMC iliyopo mjini Moshi.  Kulia ni King jofa akiwa akipata katika eneo la ajali akipata maelezo kutoka kwa kondakta wa fuso aliyejitambulisha kwa jina la Remeni, muda mfupi baada ya kondakta huyo kuruhusiwa kutoka hospitali.  Haya ni mabaki ya fuso iliyogongana na basi la Metro coach maeneo ya kawawa road nje kidogo ya mji wa Moshi.  Haya ni mabaki ya ndizi yaliyotoka kwenye fuso iliyopata ajali.  Huyu ni dereva wa f...