Posts

Showing posts from September 9, 2013

DADA ZANGU MKITEGEMEA WANAUME WA MIAKA HII MTALALA NJAA.., ONA KILICHOMKUTA MWENZENU..!

Image
  basi bwana kuna jamaa mmoja bwana nimejuana nae miezi ya karibuni..ofisi zetu zipo jirani so tunakutana saaana lunch time..basi kila siku ananiomba tukutane jioni tupate hata lunch na story mbili tatu!kiukweli nimemtolea nje toka siku nyingi unajua huyu jamaa sio type yangu na mimi sitaki kuingia majaribuni si mnajua tena roho i radhi ila mwili ni dhaifu! yaani the guy ni bonge la hb!financial yupo vizuri magari mazuri ! former mbeba box nk! mimi napenda mwanaume simple hata kama ni kulala nae kwenye mkeka hawa masuperbrand mimi nawaogopa kwa kweli!tuachane na hayo! sasa alhamisi kiukweli akanibembeleza sana toka asubuhi dinner! dinner! !!!!!! basi nikaona ngoja nijiachie wkend nirefresh mind na huyu kijana from obama land nibadilishie mwili vitamin! basi bwana huyu jamaa kama nilivosema ni mjanja mjanja na kuishi mbele huko nikajua nitapata bonge la meal kwa jioni ya jana! kwa hiyo mchana sikula ila tumbo liwe vizuri kupokea vitu vya ukweli!sik...

Yaliyojiri kwenye show ya FUSE ODG viwanja vya USTAWI WA JAMII Dar es Salaam

Image
  Banana Zorro akiwa kwa steji pamoja na B Band Madee na Chidi Beenz kwa steji  Fuse ODG akikamua kwa wakazi wa Dar es Salaam  H.Baba na Penina  Janjaro  Magenge  Mabeste  Wakazi  Tunda Man  Penina  Fuse ODG  Mrap na Dj Choka Jux, Mrap & Pancho Latino  Water Chilambo  H.Baba  Jux  Vaness Mdee  Fuse ODG  Snura  Marco Chali Foundation  Nahreel & Aika  Vanessa Mdee & Gosby  Gosby  Deddy & Mabeste

Picha za UTUPU za wanafunzi wakinyonyana maziwa zanaswa

Image
Picha  chafu  za  wanafunzi  wa  sekondary  moja  maarufu  zimenaswa  na  mpekuzi  wetu  zikipaa  toka  mtandao  mmoja  kwenda  mwingine.... Katika  picha  hizo, wanafunzi  wawili  wakiwa  na  sare  za  shule  wanaonekana  wakinyonyana  maziwa  huku  kamera  yao  iliyoegeshwa  ikiwachukua..... Tumeifunika  picha  kidogo.Ukitaka  ambayo  haijafunikwa, bofya  hapo  chini  ujionee  mambo  ya  aibu..  source: mpekuzi << BOFYA  HAPA  KUIOANA  PICHA>>

Wanafunzi walipukiwa na bomu mkoani Morogoro

Image
Taarifa kwa mujibu wa ITV — Wanafunzi wawili wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Matombo katika wilaya ya Morogoro wamejeruhiwa, baada ya kulipukiwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu, wakati wakitoka shuleni. Wanafunzi hao waliojeruhiwa katika sehemu mbalimbali za miili yao ni Luciani Juma (14) na Anthonia Charles (15), wakazi wa kijiji cha Konde, Tarafa ya Matombo wilayani Morogoro, ambapo Luciani aliyelazwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro kwa matibabu, ameiambia ITV kuwa walikumbwa na tukio hilo wakati wakitokea shuleni, ambapo njiani walikutana na kitu mfano wa balbu ya tochi ambacho hata asubuhi wakati wa kwenda shule walikiona na kukipuuza, ndipo mmoja wawanafunzi alikirushia ganda la muwa aliokuwa akila, na kililipuka na kutoa mshindo mkubwa. Daktari anayemtibu Lucien katika wadi namba moja ya hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro, aliyejulikana kwa jina moja Dk. Francis amesema majeruhi huyo anaendelea vizuri, na amepata majeraha...