Posts

Showing posts from May 13, 2014

TRAFIKI AFA GHAFLA AKIWA NDANI YA DALADALA ALILOLIKAMATA HUKO MOSHI

Image
Moshi. Ofisa wa polisi mwenye cheo cha Koplo, Wilson Mwakipesile wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Kilimanjaro amefariki dunia ghafla akiwa ndani ya daladala alilokuwa amelikamata. Hata hivyo, haikujulikana mara moja iwapo trafiki huyo alifariki dunia akiwa njiani kulipeleka gari hilo kituo cha polisi, alifariki muda mfupi baada ya kufika kituoni au wakati anapelekwa hospitali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz alisema polisi huyo alikufa ghafla akiwa kazini lakini alikataa kuingia kwa undani wa tukio hilo lilitokea Ijumaa kati ya saa 5:00 asubuhi na saa 6:00 mchana, baada ya trafiki huyo kukamata daladala linalofanya kazi zake kati ya Kiborloni na katikati ya mji. Mmoja wa mashuhuda alisema “Baada ya kuikamata hiyo Hiace (Toyota) pale Kiborloni aliingia kwenye hiyo gari na kukaa kiti cha mbele pembeni ya dereva na kumwamuru kulipeleka kituoni. “Wakati wakiwa njiani kuelekea kituoni ghafla yule trafiki akawa haongei na akawa anamwege...

KANISA KATOLIKI LAFUNGISHA NDOA YA AJABU,WAUMINI NAO WAJAA KANISANI BILA YA KUALIKWA!!!

Image
KANISA la Romani Katoliki Tanzania Jimbo Kuu la Morogoro, Jumamosi iliyopita lilifungisha ndoa iliyotafsiriwa na watu kuwa ni ya ajabu kufuatia bi harusi  kuwa na matatizo ya wazi ya akili, Bibi na bwana harusi wakiwa wenye nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa. Bi harusi huyo anaitwa Maria Omar (25) baada ya kubatizwa siku hiyohiyo ya ndoa. Awali aliitwa Jamini. Bwana harusi anaitwa Adrian Octavian (53). Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa lililopo kwenye  Kituo cha Kulea Wasiojiweza cha Amani kilichopo Chamwino, mjini hapa na mfungishaji alikuwa mtumishi wa Mungu, Padri Beatus Sewando. HISTORIA YA BI HARUSI Habari zilizowazi zinaonesha kuwa, bi harusi huyo amekulia katika kituo hicho ambacho hulea watu wenye matatizo mbalimbali, wakiwemo wenye mtindio wa ubongo kama alivyo bi harusi huyo. Alipelekwa kwenye kituo hicho akiwa na miaka sita baada ya wazazi wake kujiridhisha kwamba alikuwa mgonjwa wa akili. Maria Omar katika pozi baada ya kufunga pingu za ma...

ANGALIA PICHA MAHABUSU AVUA NGUO NA KUBAKI UCHI WA MNYAMA KISHA KUNG'ANG'ANIA BENDERA YA TAIFA ILI KESI YAKE ISIKILIZWE

Image
Inspector Henry akiwasihi mahabusu hao wawili wanaotuhumiwa kwa kesi za mauaji, kuachia mlingoti wa Bendera ya Taifa na kurudi kwenye chumba cha mahakama kwaajiri ya taratibu za kesi. Askari polisi wakiwalinda mahabusu wawili kati ya sita wanaotuhumiwa kwa kesi za mauaji, wakiwa wameng'ang'ania mlingoti wa Bendera ya Taifa huku mnoja akiwa mtupu mara baada ya kutoroka toka kwenye msafara wa mahabusu waliokuwa wakiingia mahakama ya wilaya ya Nyamagana na kisha mmoja wao kuvua nguo. Inspector Henry (shati la bahari) akiwa na Inspector Veda (mwenye koti) wakisikiliza hoja za  Thobiasi Warioba (35), aliyeamua kuvua nguo zote na kubaki mtupu akiwa ameng'ang'ania mlingoti wa Bendera ya Taifa uliopo katika viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mfawidhi Wilaya ya Nyamagana mkoa wa Mwanza, ambaye anakabiliwa na kesi ya mauaji Na. 32/2012. Usha wishi ukiendelea. Mahabusu Thobiasi Warioba (aliye mtupu) pamoja na mwenzake  Hamis Ramadhani katu katu waking...

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA NSSF JIJINI ARUSHA LEO

Image
  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF  Bwana  Crescentius  Magori akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete  katika viwanja vya AICC mjini Arusha ambapo alifungua mkutano Mkuu wa wadau wa NSSF leo jioni. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo muda mfupi baada ya kuwasili katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Arusha AICC mjini Arusha leo ambapo alifungua mkutano wa nne wa wadau wa NSSF.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mages Mulongo, Naibu Waziri wa TAMISEMI Kassim Majaliwa, Waziri wa Kazi na Ajira Gaudencia Kabaka,Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF Bwana Abubakar Rajabu na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa NSSF Bwana  Crescentius  Magori Picha na Freddy Maro.

LAANA HII!!! PICHA 10 ZA UTUPU ZA BINTI ZANASWA KWENYE SIMU YA MUME WA MTU...AIBU TUPU NI DENTI WA UDSM...TAZAMA HAPA

Image
zulekha nassir katika posi akiwa saluni kijitochama Hili ni tukio la aina yake la huyu dada jina kamili anaitwa ZULEKHA NASSIR Lakini facebook anatumia jina la khayrat baibe (KUPITIA FACEBOOK)   Aayeishi DAR kwa sasa lakini ni mtu wa asili kutoka TANGA  Ni msomi ambaye alisoma korogwe girls high school na chuo amesoma UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM biashara!!!   Dada huyu ZULEKHA NASSIR ana tabia chafu, mbaya ya kuulaaniwa ya kuchukua waume za watu na kuwatumia picha za utupu kupitia simu ya mkononi....(mtumizi mabaya ya mtandao haya) Hii ni tabia chafu ambayo haivumiliki.... na Mtandao huu wa paparazi umeamua kuvujisha picha hizo hadharani ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hii ya ZULEKHA NASSIR na wakome wakomae.... Kwa ushahidi zaidi ingia kwenye account yake ya facebook hapa chini ambayo anatumia nick name ya khayrat baibe ... kwa kubofya hapo chini KWA SASA AME DEACTVATE ACCOUNT YA FB AMBAYO ILIKUA KAMA ILIVYO HAPO CHINI......

WAKUBWA TUU!!!! BAADA YA POMBE KUMKOLEA MKE WA MTU APIGWA PICHA ZA UCHI GESTI NA KUFANYA MAPENZI....TAZAMA MAPICHA HAPA NI LAANA TUPU!!!

Image
Wanasema Pombe sio Chai Mke wa mtu aamua kupiga picha za uchi akifanya mapenzi kwenye Gesti maarufu Jijini Mwanza Inshu kamili ilikuwa hivi baada ya kuonekana mwanamke huyo ambaye kwa haraka hakufahamika jina lake aliingia kwenye gesti hiyo ambayo inatoa huduma ya vinywaji na kuanza kupata moja moto moja baridi.baadaye kidogo aliingia mwanaume wa makamo. >>>>PICHA YA 1 >>>>PICHA YA 2 >>>>PICHA YA 3  >>>>PICHA YA 4 >>>>PICHA YA 5  >>>>PICHA YA 6 >>>> PICHA ZAIDI ndipo walipojumuika pamoja na kendelea kugonga glass.mnamo majira ya saa mbili usiku alionekana mwanaume akiingia ndani ya gesti hiyo na mwanamke kumfuata kilichoendelea tazama picha hizo HAPO JUU... USISAHAU KUBOFYA LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPA

MAJINA YA WALIOMALIZA FORM SIX MWAKA 2014 WANAOTAKIWA KWENDA KURIPOTI JESHINI KWA MAFUNZO HAYA HAPA

Image
UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2014. AWAMU YA KWANZA;   VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI. AWAMU YA PILI;   VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 15 MEI 2014 KUANZIA SAA KUMI (10) JIONI. KIJANA YEYOTE MWENYE ULEMAVU UNAOONEKANA ARIPOTI KATIKA KAMBI YA MAFUNZO YA RUVU JKT (832 KIKOSI CHA JESHI). VIJANA WOTE WANATAKIWA KUWA NA VYETI VYA KUMALIZA KIDATO CHA SITA ( LEAVING CERTIFICATE). INASISITIZWA VIJANA WARIPOTI KWENYE MAKAMBI WALIOPANGIWA NA SIO KU...

WAUGUZI WASHEREKEA SIKUKUU YAO NA MR.KIKWETE.

Image
Wauguzi wakiwa wamekaa uku wakimsikiliza raisi Kikwete katika sherehe za wauguzi duniani.  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza kwa makini jinsi wauguzi  wanavyotoa huduma ya afya kwa wagonjwa wakati alipotembelea mojawapo ya mabanda ya maonyesho ya Wauguzi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika kitaifa katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid mjini Arusha leo.  Wauguzi wakiandamana wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani wakiwa na mabango mbalimbali katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha leo.  Wauguzi wakiandamana wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani wakiwa na mabango mbalimbali katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha leo. Picha na Fredy Maro

ANGALIA PICHA ZA OPERESHENI YA MTU WA MADAWA YA KULEVYATUMBONI ZINAVYOTISHA

Image
picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule. Hivi ndio huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya(maarufu kwa jina la Punda)  ni hatari sana kwa afya ya Binadamu,  kijana tuungane kwa pamoja kupinga biashara hii haramu na hatari sana tukishirikiana kwa pamoja  na Serikali kwa pamoja tunaweza kutokomeza madawa haya haramu na hatari sana kwa jamii yetu.   Hii ni picha ya x ray inayoonesha ndani ya tumbo madawa aliobeba. Yanavyoweza kuathili baadhi ya sehemu katika mwili. Operation ikifanyika tayari kuyaondoa madawa hayo yaliompelekea kijana huyu kufariki. Operation ikiendelea hatari sana ndugu zangu. Baada ya utumbo kutolewa tayali kuanza kuyatoa madawa hayo. Kama uonavyo yakiwa ndani ya utumbo mpana. Yakianza kutolewa pamoja na kushafishwa jinsi unavyoona katika picha. Baada ya utumbo kuchanwa tayari kwa kutoa keti hizo. Kabla mtu ajazimeza zinakuwa hivi sasa ebu fikilia mtu an...