Mzungu Dar Afumwa Live Akilawitiwa na Vijana 3
Mzungu akilawitiwa, OFM wamfumania. MWANDISHI WETU, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Ushoga? Mzungu mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja lakini akijitambulisha kuwa ni raia kutoka nchini Italia, hivi karibuni alinaswa akiwa katika harakati za kulawitiwa na vijana watatu, Wikienda limeinyaka. Tukio hilo lililotafsiriwa kuwa linakwenda kinyume na msimamo wa Serikali ya Tanzania kuhusu sheria za makosa ya kujamiina, lilijiri Agosti 4, mwaka huu, nyumbani kwa Mzungu huyo, Mikocheni jijini Dar es Salaam. YALIANZA MALALAMIKO Awali, kijana mmoja alipiga simu kwenye ofisi za Global Publishers na kutaka msaada kutoka kwa kitengo maalum cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ na kusema kuwa kuna Mzungu amekuwa akimtaka awapeleke vijana nyumbani kwake kwa ajili ya mambo yasiyopendwa na watu wengi na pia ni kinyume na msimamo wa serikali. Lakini atatoa mshiko wa nguvu. Baada kudakwa na polisi, kupigwa pingu na kupelekwa kituoni. “J...